Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Na mimi ndimo humu nimepita ndio maana nashangaamimi la kwanza nimeanza na miaka 7. na bado chuo nimemaliza nikiwa na miaka 23
elimu yetu miaka tunayotumia shule ni 7 + 4 + 2 + 3 = 16 years ukijumlisha na 7 yako ya toka kuzaliwa unamaliza chuo na 23
Okay huwa mnasema ni sawa kwa mwanaume kuwa malaya si ndio, je vipi hayo masuala ya kiroho huwa yanachagua jinsia au, au hii imekaajeMkuu una fahamu tendo la ndoa, sio kimwili na kiroho pia??.
KabisaHahahahaha...wana vikwazo vingi...acha wazeeke majumbani kwao
Hawa watoto wentu tunaonazisha shule wakiwa na miaka 5 wanamaliza vyuo wakiwa even na 20 years.mimi la kwanza nimeanza na miaka 7. na bado chuo nimemaliza nikiwa na miaka 23
elimu yetu miaka tunayotumia shule ni 7 + 4 + 2 + 3 = 16 years ukijumlisha na 7 yako ya toka kuzaliwa unamaliza chuo na 23
Wakaolewe na YesuKabisa
Miaka yetu pia tulianza na miaka saba.Dooh!! Bas sijui ilikuaje na hiyo miaka ya nyuma labda iwe nyuma sana sio hiinya generation yako. Maana nimezaliwa the very late 80's na bado nimehitimu chuo at 24 yrs 2013
Hahaha pole sana mkuu uzuri humu jf kuna watu nafahamiana nao nje ya hapa, na wakisoma haya mawazo yako wanaweza wakacheka na wakakushangaa pia, punguzeni kukariri halafu personal attacks ni ishara kwamba umeshindwa hojaNi sahihi kabisa, si kila mwanamke anapaswa kuolewa. na asilimia kubwa ya wadada type yako ni either ni singo maza, feminist, umeolewa na kuachika au mahusiano yako hayana afya. Hapa najua nabishana na mwanamke ambaye ashaharibikiwa, huu ushauri siyo wako na katu huwezi kuuelewa.
Dau ndio kama hivo ni ndoaHahahaha..hela kivipi sasa iweke sawa...mie nikisikia mdada anapenda hela namkubali sana ila aweke wazi dau lake
Hapana wanaume wa sasa ndio bado hawataki kukubaliana na hali halisiWewe hufai kuwa mke wa mtu. Unaweza kusababisha mauaji.
Vere badi. Form 4 miaka 20 huyu shule lazima aione chungu. Unasomaje physics ikapanda wakat genye ziko kwenye peak😂Miaka yetu pia tulianza na miaka saba.
Sasa hiyo 24 yako ni kwa sababu haikutokea ukarudia darasa au ukapita diploma na pia degree yako pengine ilikuwa ya miaka mitatu. Kunq watu wanamaliza form four tu wanamiaka 20
Hahahahaha...kwahiyo kwa sasa akija na dau anakuchukua ?Dau ndio kama hivo ni ndoa
Ananichukuaje na nimeshaolewa au haujasoma comment ukaielewa?Hahahahaha...kwahiyo kwa sasa akija na dau anakuchukua ?
Safi mkuu akikupa jibu la maana lisilo na mihemko niite mbuzi nimekaa palehuo ni umalaya. kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni uhuni. hata kama unafanya na mwanaume mmoja.
mwanamke mwenye hofu ya Mungu na aliyefunzwa vizuri na wazazi wake huwa hafanyi mapenzi hata na mwanaume mmoja kabla ya ndoa
ukiona mwanamke anafanya mapenzi kabla ya ndoa hiyo tu ni red flag kwamba ni mzinzi
huo ni umalaya. kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni uhuni. hata kama unafanya na mwanaume mmoja.
mwanamke mwenye hofu ya Mungu na aliyefunzwa vizuri na wazazi wake huwa hafanyi mapenzi hata na mwanaume mmoja kabla ya ndoa
ukiona mwanamke anafanya mapenzi kabla ya ndoa hiyo tu ni red flag kwamba ni mzinzi
Si unaona sasa, nilijua tu hakuna kitu, kijana unajua hata maana ya ndoakusema kufunga ndoa kanisani/msikitini hizo ni mbwembwe tuu. Haziwezi kubadilisha tabia ya mwanamke, kama ni malaya ni malaya tuu aijalishi ume mpa cheti cha kanisani/msikitini.
Mimi ndoa ninayoisemea ni mwanamke kujua ya kwamba hili tendo napaswa kufanya na mwanamme mmoja tuu. Binti akiweza kuwa loyal kwa mwanamme wake, ni asilimia kubwa huyo binti ataolewa.
Oooh sawa..sasa mwenzio anakomelea nyumbaniAnanichukuaje na nimeshaolewa au haujasoma comment ukaielewa?
Mimi nimemwambia niliolewa at 26 kwa sababu nilipata mtu yupo vizuri nikaona siwezi kuachia hiyo fursa .
Hakuna Cha gia za kihuni, utakuta kukufata kistaarabu, ila sababu humtaki tu huyo mwanaume, kumkomoa ndo unamuuliza namba yako ametoa wapi mamamzungu
kusema kufunga ndoa kanisani/msikitini hizo ni mbwembwe tuu. Haziwezi kubadilisha tabia ya mwanamke, kama ni malaya ni malaya tuu aijalishi ume mpa cheti cha kanisani/msikitini.
Mimi ndoa ninayoisemea ni mwanamke kujua ya kwamba hili tendo napaswa kufanya na mwanamme mmoja tuu. Binti akiweza kuwa loyal kwa mwanamme wake, ni asilimia kubwa huyo binti ataolewa.
Hahaha wanawake saa ingine mnanifurahishaga, sisemi ukubali kila mtu anaekutongoza, ila utakuta unamfata mdada anakukataa kwa kukwambia ana mtu wake, hiyo kukataliwa ni sawa haina shida, ila sasa ukichunguza, mara nyingi utakuta huyo mtu mwenyewe anaeitwa boyfriend, ukijilinganisha nae unajiona bora hata wewe uliekataliwa, mtu mwenyewe sasaSasa ndugu tutakubali wangapi ina maana kila anaenitafuta basi nikubali tu…
Imagine upo kwenye mahusiano serious then atakee mwanaume anamtafutatafuta mwanamke wako utajisikiaje???
Nyie wanaume mnapenda kuwalaumu wanawake kwa vitu ambavyo kiuhalisia sisi hatuna maamuzi mimi siwezi kumkataa mtu wakati sina mtu ukiona mtu anazingua ujue ana mtu wake sasa unataka amuache mtu wake awe na wewe???
Sio kwamba tunaringa ni vile tu tunaamini kwamba tulio nao watatuoa… kama mtu anajua kabisa huyu mtu awezi kumuoa sidhani kama ataendelea na mahusiano tatizo nyie vijana ni waongoo
Sasa unafaa kuingia kwa ndoa, naona umekomaa kiakili...Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawa[emoji122]