Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

mimi la kwanza nimeanza na miaka 7. na bado chuo nimemaliza nikiwa na miaka 23

elimu yetu miaka tunayotumia shule ni 7 + 4 + 2 + 3 = 16 years ukijumlisha na 7 yako ya toka kuzaliwa unamaliza chuo na 23
Na mimi ndimo humu nimepita ndio maana nashangaa
 
mimi la kwanza nimeanza na miaka 7. na bado chuo nimemaliza nikiwa na miaka 23

elimu yetu miaka tunayotumia shule ni 7 + 4 + 2 + 3 = 16 years ukijumlisha na 7 yako ya toka kuzaliwa unamaliza chuo na 23
Hawa watoto wentu tunaonazisha shule wakiwa na miaka 5 wanamaliza vyuo wakiwa even na 20 years.
 
Dooh!! Bas sijui ilikuaje na hiyo miaka ya nyuma labda iwe nyuma sana sio hiinya generation yako. Maana nimezaliwa the very late 80's na bado nimehitimu chuo at 24 yrs 2013
Miaka yetu pia tulianza na miaka saba.
Sasa hiyo 24 yako ni kwa sababu haikutokea ukarudia darasa au ukapita diploma na pia degree yako pengine ilikuwa ya miaka mitatu. Kunq watu wanamaliza form four tu wanamiaka 20
 
Ni sahihi kabisa, si kila mwanamke anapaswa kuolewa. na asilimia kubwa ya wadada type yako ni either ni singo maza, feminist, umeolewa na kuachika au mahusiano yako hayana afya. Hapa najua nabishana na mwanamke ambaye ashaharibikiwa, huu ushauri siyo wako na katu huwezi kuuelewa.
Hahaha pole sana mkuu uzuri humu jf kuna watu nafahamiana nao nje ya hapa, na wakisoma haya mawazo yako wanaweza wakacheka na wakakushangaa pia, punguzeni kukariri halafu personal attacks ni ishara kwamba umeshindwa hoja
 
Miaka yetu pia tulianza na miaka saba.
Sasa hiyo 24 yako ni kwa sababu haikutokea ukarudia darasa au ukapita diploma na pia degree yako pengine ilikuwa ya miaka mitatu. Kunq watu wanamaliza form four tu wanamiaka 20
Vere badi. Form 4 miaka 20 huyu shule lazima aione chungu. Unasomaje physics ikapanda wakat genye ziko kwenye peak😂
 
huo ni umalaya. kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni uhuni. hata kama unafanya na mwanaume mmoja.

mwanamke mwenye hofu ya Mungu na aliyefunzwa vizuri na wazazi wake huwa hafanyi mapenzi hata na mwanaume mmoja kabla ya ndoa

ukiona mwanamke anafanya mapenzi kabla ya ndoa hiyo tu ni red flag kwamba ni mzinzi
Safi mkuu akikupa jibu la maana lisilo na mihemko niite mbuzi nimekaa pale
 
huo ni umalaya. kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni uhuni. hata kama unafanya na mwanaume mmoja.

mwanamke mwenye hofu ya Mungu na aliyefunzwa vizuri na wazazi wake huwa hafanyi mapenzi hata na mwanaume mmoja kabla ya ndoa

ukiona mwanamke anafanya mapenzi kabla ya ndoa hiyo tu ni red flag kwamba ni mzinzi

kusema kufunga ndoa kanisani/msikitini hizo ni mbwembwe tuu. Haziwezi kubadilisha tabia ya mwanamke, kama ni malaya ni malaya tuu aijalishi ume mpa cheti cha kanisani/msikitini.

Mimi ndoa ninayoisemea ni mwanamke kujua ya kwamba hili tendo napaswa kufanya na mwanamme mmoja tuu. Binti akiweza kuwa loyal kwa mwanamme wake, ni asilimia kubwa huyo binti ataolewa.
 
Si unaona sasa, nilijua tu hakuna kitu, kijana unajua hata maana ya ndoa
 
Hakuna Cha gia za kihuni, utakuta kukufata kistaarabu, ila sababu humtaki tu huyo mwanaume, kumkomoa ndo unamuuliza namba yako ametoa wapi mamamzungu

Sasa ndugu tutakubali wangapi ina maana kila anaenitafuta basi nikubali tu…

Imagine upo kwenye mahusiano serious then atakee mwanaume anamtafutatafuta mwanamke wako utajisikiaje???

Nyie wanaume mnapenda kuwalaumu wanawake kwa vitu ambavyo kiuhalisia sisi hatuna maamuzi mimi siwezi kumkataa mtu wakati sina mtu ukiona mtu anazingua ujue ana mtu wake sasa unataka amuache mtu wake awe na wewe???

Sio kwamba tunaringa ni vile tu tunaamini kwamba tulio nao watatuoa… kama mtu anajua kabisa huyu mtu awezi kumuoa sidhani kama ataendelea na mahusiano tatizo nyie vijana ni waongoo
 
kusema kufunga ndoa kanisani/msikitini hizo ni mbwembwe tuu. Haziwezi kubadilisha tabia ya mwanamke, kama ni malaya ni malaya tuu aijalishi ume mpa cheti cha kanisani/msikitini.

Mimi ndoa ninayoisemea ni mwanamke kujua ya kwamba hili tendo napaswa kufanya na mwanamme mmoja tuu. Binti akiweza kuwa loyal kwa mwanamme wake, ni asilimia kubwa huyo binti ataolewa.

mkuu naona unajichanganya, mwanzoni uliongelea kufanya mapenzi kwenye mahusiano ama dating, ghafla umebadilika unaongelea kufanya mapenzi kwenye ndoa halafu tena unasema binti ataolewa na mwanaume wake. unavyosema binti yupo kwenye ndoa maana yake si ameshaolewa tayari ? ama yupo kwenye ndoa gani unamaanisha

naomba ueleze vizuri
 
Sasa ndugu tutakubali wangapi ina maana kila anaenitafuta basi nikubali tu…

Imagine upo kwenye mahusiano serious then atakee mwanaume anamtafutatafuta mwanamke wako utajisikiaje???

Nyie wanaume mnapenda kuwalaumu wanawake kwa vitu ambavyo kiuhalisia sisi hatuna maamuzi mimi siwezi kumkataa mtu wakati sina mtu ukiona mtu anazingua ujue ana mtu wake sasa unataka amuache mtu wake awe na wewe???

Sio kwamba tunaringa ni vile tu tunaamini kwamba tulio nao watatuoa… kama mtu anajua kabisa huyu mtu awezi kumuoa sidhani kama ataendelea na mahusiano tatizo nyie vijana ni waongoo
Hahaha wanawake saa ingine mnanifurahishaga, sisemi ukubali kila mtu anaekutongoza, ila utakuta unamfata mdada anakukataa kwa kukwambia ana mtu wake, hiyo kukataliwa ni sawa haina shida, ila sasa ukichunguza, mara nyingi utakuta huyo mtu mwenyewe anaeitwa boyfriend, ukijilinganisha nae unajiona bora hata wewe uliekataliwa, mtu mwenyewe sasa

1)Mume wa mtu
2)Babu mzee mstaafu
3)Kijana wa hovyo kitabia, muonekano rafu, anaekaa mtaani bila mishe.
4) Anadai ana mtu wake, ila utaona kabisa huyo mwanaume hamuhudumii huyo mdada, wala kumjali kwa chochote, unaona huyo mwanaume anafata sex tu toka kwa huyo mdada, mdada nywele anasuka twende kilioni, smartphone ina crack za kutosha, unajiuliza boyfriend wa huyu mdada anashindwa kumpa mwanamke wake monthly expenses for her upkeep, mdada apendeze, unajiuliza boyfriend wa huyu mdada haoni thamani ya alicho nacho.

Au utakuta mfano mwanamke anafanya kazi zisizoendana na hadhi yake k.v kuosha nywele saluni za wanaume, au baa, halafu anakukataa kwa kusema ana boyfriend, imagine huyo ni boyfriend wa namna gani.

Basi utakuta mwanaume unakosa cha kufanya, unaangalia tu kwa uchungu, jinsi mdada uliempenda alivomchagua baraba na kumkataa Yesu mamamzungu
 
Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawa[emoji122]
Sasa unafaa kuingia kwa ndoa, naona umekomaa kiakili...
 
Back
Top Bottom