antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kweli kabisaaWakati wa Mungu ni sahihi,
Kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi,
Stand strong.
Nakwambia ni shida kuja kujua starehe ukubwani mpaka sasa akili imejaa mbususu tuuHahahahaha...umeanza kitendo ukubwani
Hahahahaha...zitandike usizione huruma maana zenyewe hazina hurumaNakwambia ni shida kuja kujua starehe ukubwani mpaka sasa akili imejaa mbususu tuu
Mkuu sija wahi halalisha hicho kitu, sheria ni msumeno why ikate upande mmoja???.Okay huwa mnasema ni sawa kwa mwanaume kuwa malaya si ndio, je vipi hayo masuala ya kiroho huwa yanachagua jinsia au, au hii imekaaje
Hahaha uko vizuri, ni nkenda.Hahahahaha...sio nkenda sio leila mitaa yao miyeyusho...
Ah kabisa wacha nizigegede kwa kweli maana kwanza ni tamuuu na usemavyo hazina huruma kabisa so na mie hapana kuzionea huruma. Nikuzipelkea moto na kibamia changu hikiHahahahaha...zitandike usizione huruma maana zenyewe hazina huruma
Wewe ni mdogo angu na unajua fika kaka yako siwez shindwa kulea mkeo na katoto kamoja viwili wewe ukiwa bado unajitafuta kama kisingizio ni maisha .maana ndio sababu pekee vijana watakuambia ukiwauliza kwann hawaanzishi family
Nitafute najitolea ili upate mtoto [emoji1787]Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa[emoji848]
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?[emoji17]
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance [emoji122][emoji3059]
Madam shamba linalo wekwa mbolea ya da ni tofauti na urea.Ndio nikakuuliza huo umalaya (or whatever you call it) una hasara gani kwa mwanamke physically
Yah, ni vyema ukamuacha tu ili walau mada iendelee kuwa salama zaidi ktk mijadala.Ni sahihi kabisa, si kila mwanamke anapaswa kuolewa. na asilimia kubwa ya wadada type yako ni either ni singo maza, feminist, umeolewa na kuachika au mahusiano yako hayana afya. Hapa najua nabishana na mwanamke ambaye ashaharibikiwa, huu ushauri siyo wako na katu huwezi kuuelewa.
Mbona mimi huja niambia hivyoπ€£, Kaka wewe ni mbaguziπWewe ni mdogo angu na unajua fika kaka yako siwez shindwa kulea mkeo na katoto kamoja viwili wewe ukiwa bado unajitafuta kama kisingizio ni maisha .maana ndio sababu pekee vijana watakuambia ukiwauliza kwann hawaanzishi family
Umenchekesha sana mkuu.Miaka yetu pia tulianza na miaka saba.
Sasa hiyo 24 yako ni kwa sababu haikutokea ukarudia darasa au ukapita diploma na pia degree yako pengine ilikuwa ya miaka mitatu. Kunq watu wanamaliza form four tu wanamiaka 20
Kaa huko huko kiongozi..kwani mtu ukifa haujazaa shida ni nini.jamani hamuitaji kwenda mbinguniMarch 07 2024 naingia third floor nipo Ingolstadt Ujerumani currently nafanya Masters in Indutrial E gineering and Management na ninafanya kazi Kiwanda cha matairi cha Continental. Sijaoa wala sina mke huku lakini nimepata demu wa kijerumani kutokana na jitihada zabgu za kufanya kazi .Lakini sijui kama nitamwoa namfikiria. Nategemea kumaliza hii masters mwezi wa kumi maana nilianza mwaka jana mwezi wa tatu. NImejifunza mengi nataka nifanye kazi mwaka mmoja baada ya kumaliza hii masters nije kupiga hela nyumbani.
Iyo 92 ndio mimi nipo fresh tuShemeji yangu kazaliwa 1992 kapata mtoto wake wa kwanza mwaka 2022
Will be waitingNaona unanikanya hadharani na kiutuzima πππ
Uzuri address zako zote ninazo, nitarajie mlangoni pako, iwe home au ofisini muda wowote kuanzia sasa maana umeongea kibabe sana πβπ½βπ½
Case yako wewe ni ngumu mnoo,ππMbona mimi huja niambia hivyoπ€£, Kaka wewe ni mbaguziπ
ndio,,au wewe unaonajeKweli....?
Case yangu ime kaaje??Case yako wewe ni ngumu mnoo,ππ
Mmejenga kiota kwenye uzi.Ila tuna boaππ€£π