Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Wakati wa Mungu ni sahihi,

Kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi,

Stand strong.
Kweli kabisaa

Na kwa Mungu hakuna kukosa mwenza, labda umkatae mwenyewe (kwa kujua au kutokujua).

Isaya 34:16
Tafuteni katika kitabu cha BWANA mkasome; hapana katika hao wote atakayekosa kuwapo, hapana mmoja atakayemkosa mwenzake; kwa maana kinywa changu kimeamuru, na roho yake imewakusanya.
 
Okay huwa mnasema ni sawa kwa mwanaume kuwa malaya si ndio, je vipi hayo masuala ya kiroho huwa yanachagua jinsia au, au hii imekaaje
Mkuu sija wahi halalisha hicho kitu, sheria ni msumeno why ikate upande mmoja???.
Kama wote mko njia sahihi ni vizuri, na sio Eti mmoja ni royal Afu mwingine burudani kwa wote.

Masuala ya kiroho haya chagui jinsia au umri, ni Kama magonjwa je Yana chagua mgonjwa!!
Ili tuwe na jamii Bora, lazima wote tuwe committed.
Na masuala Kama haya ni matokeo mabovu ya misimamo ya mtu. Jadda
 
Wewe ni mdogo angu na unajua fika kaka yako siwez shindwa kulea mkeo na katoto kamoja viwili wewe ukiwa bado unajitafuta kama kisingizio ni maisha .maana ndio sababu pekee vijana watakuambia ukiwauliza kwann hawaanzishi family

Naona unanikanya hadharani na kiutuzima 😁😁😁
Uzuri address zako zote ninazo, nitarajie mlangoni pako, iwe home au ofisini muda wowote kuanzia sasa maana umeongea kibabe sana 😁✊🏽✊🏽
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa[emoji848]

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?[emoji17]

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance [emoji122][emoji3059]
Nitafute najitolea ili upate mtoto [emoji1787]
 
Ni sahihi kabisa, si kila mwanamke anapaswa kuolewa. na asilimia kubwa ya wadada type yako ni either ni singo maza, feminist, umeolewa na kuachika au mahusiano yako hayana afya. Hapa najua nabishana na mwanamke ambaye ashaharibikiwa, huu ushauri siyo wako na katu huwezi kuuelewa.
Yah, ni vyema ukamuacha tu ili walau mada iendelee kuwa salama zaidi ktk mijadala.
 
Miaka yetu pia tulianza na miaka saba.
Sasa hiyo 24 yako ni kwa sababu haikutokea ukarudia darasa au ukapita diploma na pia degree yako pengine ilikuwa ya miaka mitatu. Kunq watu wanamaliza form four tu wanamiaka 20
Umenchekesha sana mkuu.
 
March 07 2024 naingia third floor nipo Ingolstadt Ujerumani currently nafanya Masters in Indutrial E gineering and Management na ninafanya kazi Kiwanda cha matairi cha Continental. Sijaoa wala sina mke huku lakini nimepata demu wa kijerumani kutokana na jitihada zabgu za kufanya kazi .Lakini sijui kama nitamwoa namfikiria. Nategemea kumaliza hii masters mwezi wa kumi maana nilianza mwaka jana mwezi wa tatu. NImejifunza mengi nataka nifanye kazi mwaka mmoja baada ya kumaliza hii masters nije kupiga hela nyumbani.
Kaa huko huko kiongozi..kwani mtu ukifa haujazaa shida ni nini.jamani hamuitaji kwenda mbinguni
 
Back
Top Bottom