Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Motivational speakers bana, sasa huyo right person angekuwepo angekaa hadi hiyo 30s?
 
Sema hii tunawahukumu bure dada zetu sometimes sio kila anaemtafuta ana nia nzuri, kamamimi majuzi nilipata namba lengo langu wala sio niunge nae mahusiano ya kweli bali nipite tu(Mungu anisamehe) kwa kuwa bado sijamla namghairi.

Pia mambo ya uvumilivu aisee inataka moyo sana just imagine nina rafiki yangu wa kike alidate na mchizi jamaa ni chapombe kupindukia mixer kicheche sana na wala hajali kwa lolote, Je ni halali mwanamke aendelee kuvumilia ili tatizo? Mdada alishindwa akambwaga.

Sometime wanawake waangalie nao furaha yao sio tu kumfurahisha kila mtu eti kuhofia ya mbeleni, Mwisho ndoa na watoto ni mipango ya Mungu so unaweza force na usiipate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ