Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

😀😀😀😀
 
Wewe endelea tu kudanga utajuta! Si huwa wanasema majuto mjukuu? Endelea tu! Mwenzio Depal amedanga mpaka umechoka, yaani bila bila mpaka leo!
 
Ukifikisha 50yrs ( ngazi ya 5) bila kuwa 100mil plus.....UTT daaaa.....tafakariiio
 
Nilikutongoza 2 years ago ukaleta ujuaji mwingi
Unaona Sasa uko unahaha mwenyewe
 
Kwa mwanamke ni complicated kidogo kwa sababu nilishawahi kusikia kuwa jinsi mwanamke anavyochelewa kupata mtoto wake wa kwanza ndivyo anavyoongeza chance ya kupata complication zinazohusiana na uzazi. Japo naelewa changamoto za mahusiano kwa sasa lakini kama unahitaji kuna na familia hasa hasa mtoto, jitahidi angalau kabla ya kufika miaka 33 baada ya hapo kuna vitu vitaanza kutokuwa sawa. Kwa wanaume 30 it's ok na wala hakuna shida ya kupanic...
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…