Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Ukihitaji mtoto nitafute nina mbegu nzuri sana!, utapata toto moja zuri, smart na intelligent hutajuta!...😎
 
Tumetofautiana kwa namna tunavyoyatazama mambo...... inawezekana upande uliotazama wewe sio niliotazama mimi hivyo nimeamua kuheshimu maoni yako.........

NB;
Huwezi kujua kuwa dunia ina mambo mpaka likukute jambo.......
Exactly, mimi nilioa binti tena bikra wa miaka 22 lakini hakuwa na uzazi kwa sababu za hormonal imbalance tu na hadi alipofika 30's hola! Ikabidi niingie mfukoni kufanya IVF na ilikula zaidi ya 50m za madafu bahati nzuri round ya kwanza tu akafanikiwa kupata watoto tena mapacha na sasa wana 12yrs. So maisha hayana formula kabisa, kuna wakati nilikua napata frustration za kutosha na hadi nafikiria kwa nini nikalipe mapesa mengi hayo ambayo ningeweza kabisa kuzaa na wengine wasio na shida yoyote na pesa nikafanyia mambo mengine makubwa? Baadaye nakua na huruma nasema hana kosa lolote na wote hatukujua then why nimuhukumu?

Nakubaliana na wewe kabisa kwa uzoefu nilionao! But wanawake ni wasahaulifu sana aisee, baada ya hapo ndoa ndoano tu kama kawa. Naona ni scam tu napiga maisha na umri unasonga, by the way nipo kwenye floor ya 5 sasa.
 
Hongera
 
tiGo unatoa?
 
Dah bado akakuvuruga😁 aisee hapana, hawa watu wauawe tu
 
Nimesoma story yako, ubarikiwe kwa hatua uliyochukua kwe mkeo kipenzi, wengine angeweza kutokujali chochote na kuamua kutafuta watoto nje, hata kama kuna kujisahau ila ukikumbuka huo wema aah unarudi to your senses👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…