financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
-
- #1,381
Kaongo wewe am sure hatupo pamoja๐Hapana namtia moyo by the way hayupo peke yake tupo pamoja
๐๐๐๐๐Kasongo mbona wewoooAhaaa nakusemelea๐
Tupo pamoja...siku nikiwa na huba Zito hutoniona hapa ๐Kaongo wewe am sure hatupo pamoja๐
Aisee sasa ntajuaje? Jua linazama hili๐Usikute wa kwake alishamkataa kitambo sababu hana gari, nyumba wala kazi ya kueleweka.
Utaimba kasongo mobali nangai๐๐๐๐๐๐๐Kasongo mbona wewooo
Mbona libala eehUtaimba kasongo mobali nangai๐๐
Hapana King, nna wivu ntakua nalia kila siku๐ hivi unakua unapanga siku labda j3 to J5 kwa bibi mkubwa then alhamisi to sunday kwa bi mdogo, aisee ๐Utauweza uke wenza mama...๐
Wivu wa nini sasa, utamu si ule ule tuHapana King, nna wivu ntakua nalia kila siku๐ hivi unakua unapanga siku labda j3 to J5 kwa bibi mkubwa then alhamisi to sunday kwa bi mdogo, aisee ๐
Kasongo mbona wewo mbona wewoooo๐๐Mbona libala eeh
๐๐๐๐๐Kasongo mbona wewo mbona wewoooo๐๐
Tatizo ni kushare huo utamu ndiyo inauma๐Wivu wa nini sasa, utamu si ule ule tu
Unakuwa na muda wako unafyonza hadi kanaishaaaTatizo ni kushare huo utamu ndiyo inauma๐
Ila ipi nzuri? Jamaa awe anapiga kazi za nje kimya kimya au ahalalishe kabisa?Tatizo ni kushare huo utamu ndiyo inauma๐
Bora za nje kimya kimya nisijue, ila kuhalalisha kabisa eti unajua mpo wawili, nyie inauma naweza lia kwa sauti๐Ila ipi nzuri? Jamaa awe anapiga kazi za nje kimya kimya au ahalalishe kabisa?
Hahahahah sasa kizuri utakulaje mwenyewe.Bora za nje kimya kimya nisijue, ila kuhalalisha kabisa eti unajua mpo wawili, nyie inauma naweza lia kwa sauti๐
Wewe unasema tu, tena wanaume ndiyo kabisa hamuwezi ,eti ujue kabisa babe wako kacheat aah mbona moto utwaka humo mdani, ila kwetu mnaona sawa tuHahahahah sasa kizuri utakulaje mwenyewe.
๐๐๐๐๐๐ Mwanaume ndiye anaweza kuwa na many chicks na anaitwa shababi ila mwanamke haruhusiwi kuwa na many dicks, atakuwa malaya direct.Wewe unasema tu, tena wanaume ndiyo kabisa hamuwezi ,eti ujue kabisa babe wako kacheat aah mbona moto utwaka humo mdani, ila kwetu mnaona sawa tu
You see, maisha hayako fair, coz zinazotumika na secret parts zile zile tu, why huyu aitwe shababi, mwingine mhuni๐ค๐๐๐๐๐๐ Mwanaume ndiye anaweza kuwa na many chicks na anaitwa shababi ila mwanamke haruhusiwi kuwa na many dicks, atakuwa malaya direct.
We jaribu uone balaa lake, a man will always be a manYou see, maisha hayako fair, coz zinazotumika na secret parts zile zile tu, why huyu aitwe shababi, mwingine mhuni๐ค
Kuwa na imani ktk Mungu, hakuna linaloshindikana kwa MunguAisee sasa ntajuaje? Jua linazama hili๐