Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Ukipanic hutapata kabisa

Binafsi wala sina mpango wa kua na mtoto kwa sasa.
Ila kwa wanawake huwa ni changamoto maana mnapigwa mawe sana huko mitaani ila timiza malengo uliyojiwekea kwanza, kama kipaumbele sio mtoto fanya upasayo kufanya kwanza.

Kama kweli tatizo ni mwenza kama wadau waliogues hapo juu, basi tatizo ni kubwa.
 
Ukipanic hutapata kabisa

Binafsi wala sina mpango wa kua na mtoto kwa sasa.
Ila kwa wanawake huwa ni changamoto maana mnapigwa mawe sana huko mitaani ila timiza malengo uliyojiwekea kwanza, kama kipaumbele sio mtoto fanya upasayo kufanya kwanza.

Kama kweli tatizo ni mwenza kama wadau waliogues hapo juu, basi tatizo ni kubwa.
Naam Katibu wa banyeta 😀
 
Okay wacha tuone. Kinachowafelisha wengi ni kutafta perfect match.
Niliulizwa hivi, ukinioa utakua unanisaidia baadhi ya kazi kama tukitoka kazini, nikamuuliza kama kazi zipi akasema kupika, nikamwambia hizo kwetu nikazi za kike Mimi siwezi kuingia jikoni eti nikupikie ww unaangalia tv eti kisa nakusaidia. Haka katoto kakaniambia hivi eti basi wewe sio type ya mwanamme naemtaka. Nikamwambia ok sawa hii furusa nayokupa kunawanawake kibao wanaitaka, sasa tulia katafute hao unaowataka ambao utaona mta match, baada ya masaa mawili kakanitumia msg sorry baby kama nimekuudhi nisamehe.

Nikamwambia yashaisha hayo we katafute perfect match, kakaomba msamaha yakawa yameisha. Nilichomuuambia baadae nikua ukizaa mtoto wakiume, akaoa ukaenda kumtembelea kwake ukakuta anamsaidia mkewe kumpikia halafu mke wake anaangalia TV utajisikiaje?. Then nikamwambia utakavyojisikia ndivyo mama yangu atajisikia , so kwetu sijaelewa hivyo majukumu ya mwanaume yanafahamika na yamwanamke yanafahamika, Kila mmoja atimize wajibu wake. Otherwise usidhani ntakuja kukusaidia kufanya kazi za kike. Kakawa kapolee, Sasa ndio hapo umesema wengi wanatafuta perfect match.

Hivi mm na umri wangu wa miaka 32 nisaidie Binti wa miaka 23 kupika, kuosha vyombo huku anaangalia TV?. Kama anaumwa ile siriously I can try.
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰

Now Maisha yamechange Sana, sio kama zaman
Watu wengi wa zaman kuanzisha family ilikuwa easy Tu ndio maana walikuwa wanazaa Sana

Mtoto anaweza Kula hata Kwa Jirani, unaweza kusafiri mwez mzima na watoto ukawaacha Kwa rafiki yako,

Kwa sasa hayo mambo hamna, watoto hawachezei tena udongo wanachezea tablet haha

So before ujapanga kuwa na family kwanza jiangalie mwenyewe na jifanyie tathimin je Una uwezo wa kulea familia?

Ela unayo bank?

Una kazi mzuri?
 
Back
Top Bottom