Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Vikapuku vitakukatisha tamaa nia yao uishi kwa masononeko kama wao, usiwajali

Ushauri wangu ni kucalm down endelea na your daily life mtu sahihi atakuja kwako mtafunga ndoa na utazaa watoto wengi upendavyo, ila ukweli ni kwamba ukifika 36 uzazi unaweza kukusumbua sana....mambo mengine yatakua vile vile zaidi utakua umepevuka kiakili.
 
Early 30s' bado hakuna changamoto, relax utapata hitaji lako, tena unapata mtoto ukiwa matured!!
Wengine tulianza kuzaa kwenye early 20s' utoto ulikuwa mwingi sanaa
Sasa we umezaa na umri mzuri kabisa unampa false hopes mwenzio. Azae haraka kashachelewa huyo. Mwanamke anawahi kuchoka sana kuliko sisi wa kiume. Yani kuanzia 30 mwanaume thamani inapanda sana sababu ndio tuko kwenye peak ya ujana na wahitaji familia wengi wanatazamia kwenye kundi hilo ila wenye chance ni wale walioko below 25 years. Mwanamke wa 30 years and above ni mzee.
 
Kila kitu kinafaida na hasara
Trust me huyo ata make a very good wife and mother, Kwa umri wake...
Kapitia mengi..
Kayajua mengi...
Anajua ninini anahitaji...
Na uwezokano wa kuwa na ndoto mpya mdogo...
So ata stick...na kukishikilia vizuri alichonacho.
 
Okay wacha tuone. Kinachowafelisha wengi ni kutafta perfect match.
 
Usije ukaamua kuwa singo maza tu kwa sababu ya hiyo panic...

Nina cousins zangu wa kike, wanalea watoto tu sasa wasio na address kwa sababu ya pressure hizi za sijui umri kwenda, malengo kutotimia etc...

Ikumbukwe tu kuwa, waoaji nao wamepungua wakati idadi ya wanawake nayo ni kubwa, hivyo soko halipo kwenye uwiano sawa...
Eti children without address😀
 
Tatizo wanawake mkishafika 30 mnaonekana wazee sana hata tukikutana njiani tunahofia kuwasimamisha tunajua tayari ni mke wa mtu

lakini pia Mwanamke Ukifika 30 nafasi ya kuolewa na kijana mwenzako inapungua hapo labda upate mzee wa miaka 50+ ambae nae alishawahi kuwa na familia au anakuongeza mke wa pili
 
Back
Top Bottom