Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wakati unasoma methali kuna ile methali pendwa inayoakisi uhalisia...Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
1.Mficha uchi ........
Sasa umefkia wasaa methali imekuwa kweli, somo achia mapaja muda sio rafiki. Maisha ndio haya haya. Game ngumu sikuhizi sio kila mwanamke ataolewa imekuwa ni kama bahati.