Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mambo ya La Mujer De Mi Vida hayo 😂😂😂
 
Yaani watu wanapenda kujipa presha na kujinyima raha kwenye maisha yao.......

Ukitaka uishi maisha ya tabu ,sonona na msongo wa mawazo hata kufa mapema basi wakabidhi walimwengu hizo funguo.......

Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa asilimia 90 ya mambo yanayotokea maishani mwetu si kwa mipango yetu....ndio maana unapanga ufanye jambo fulani wakati fulani alafu ukajikuta hata hujafanya.......

Jikabidhi kwa Mungu ili upate furaha na amani ya moyo....yeye ndio anajua kusudio la maisha yako na yeye ndio anajua amekupangia nini.....

Wapo waliowahi kuzaa na watoto wote wakafariki......

Wapo waliowahi kuoa au kuolewa wakaambulia mateso mpaka wakazikimbia ndoa........

Kwa Mungu hakuna kuchelewa au kuwahi kwani kila kiumbe humrudhuku kwa wakati anaoona unafaa.......

Wapo watu ni wagumba kabisa na hawakuchagua kuwa hivyo lakini wanaishi maisha yao kwa raha na furaha......

Na wapo watu sio wagumba lakini Mungu anaamua kuwapa watoto uzeeni.....

Ulimwengu una mambo mengi sana

Acha kujipa stress....Acha kukusanya maoni na mitazamo ya watu juu ya maisha yako.....enenda katika njia ya Mungu kwani kila mtu kampa njia yake
 
Huyo baba bora anaetafutwa anawindwa na wanawake kama buku hivi hivyo kumpata pia ni zali. Baba bora wanaemtaka awe ana mawe kama GSM ni ngumu kumpata kizembe.
 
Ndio Kuna Jamaa nafikir ni COUNTRY nani alisema hawa watoto wakike wanafikir maisha waliyoishi chuo ndio yakwenye ndoa, Yale yakusaidiana kupika, kuongozana kununua chakula sokoni .
😂😂😂😂😂😂 kuna mtu nilimsikia akiongea hayo nadhani kwenye interview ila ndoa ni whole different thing. Maisha ya chuo na ndoa yana differ lazma muwe flexible.
 
Mwanamke ambaye anafika 30+ hana mahusiano kuna mawili aidha amejitunza sana au ana tabia mbovu ambazo hawezi kumkeep mwanaume. Huo kifupi ni mtego
 
Kwa hili la ku~make a good wife and a mother nakubaliana na wewe 100%, hawa wanaoolewa early 20s mara nyingi wanaichukulia ndoa poa sana, ila mdada anaingia kwa ndoa akiwa 33 lazima aone thamani ya kile alichofanya, ataitunza ndoa, anajua kulea so chances za kuwa mama bora ni kubwa.
 
Kabisa kabisa, maana ndoa ni package aisee...!!
Ina vitu vingi!! Achaa
 
Niliulizwa hivi, ukinioa utakua unanisaidia baadhi ya kazi kama tukitoka kazini, nikamuuliza kama kazi zipi akasema kupika, nikamwambia
Haha. Sio kwamba alisema akiwa katika love language? Kwamba babe we unakata vitunguu, mm nablend juice? Ila hayo yafanyike familia ikiwa bado na watu wawili yaan mke na mume.

Mkiongezeka hapo baba ana majukumu yake nje kutengeneza garden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…