Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Jamani tuanze mahusiano basi MissNimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani tuanze mahusiano basi MissNimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
NB: Nimesema Mwanaume aliye timamuMbona mie nina 43 na sina mke wala mtoto na wala sipagawi naona maisha murwa
Msiwafanyie hivyo jamani...!!!utamu ndio msingi wa ndoa, ukikosekana mengine yote hayana maana, wacha tukomae na vigori wakina financial service wasitupigie kelele walitususa na sisi tunawasusa
mimi sina tabia ya kuchagua mkuu, kiufupi wanawake wote wa jf nishawatokea na hakuna hata mmoja aliekubali huo ndio uhalisia, wanawake wa jf unawajua wewe au unawasikia? wanajifanya matawi ya juu hawa kama hawaendi chooniLakini mkuu hata wewe si umemchagua kwa kuwaacha wengine kwenye targets zako, sasa kuna ubaya gani na yeye asipokuweka kwenye targets zake [emoji16][emoji16]
Hata hivyo, kama ana tabia ya kubagua apunguze sana lakini asibebe kila kinachopumua
kwa hiyo sasa unanitaka nijaribu tena kurusha kete? kama ni kweli basi tuanze mchakato na huu uzi ufungweAah mkuu why nitume picha siyo zangu Are you sure?, and why useme uliona tu siyo picha zangu inamaana ulikua na picha yako kichwani ama? Sawa watu tuna mapungufu but lawama zingine mtupunguzie jamani [emoji2296]
Factor ya uchumi haijawahi kuwa kikwazo kwangu as long as tunapendana, pesa zinatafutwa tu. Kuna watu walianza zero pamoja now wako somewhere.
Usijali Miss maana kila mtu anapambama na insecurities, stress na hofu flani za maisha. Cha msingi jijali, jikubali, jipende na usijipe presha. Pia zama katika prayers maana katika muda kama huu, mashetani wengi hujifanya malaika ili watumie desperation yako kuharibu muelekeo wa maisha yako..Nimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
mzabzab ni kweli uyasemayo au changamsha genge tu kama mimi, usikute una watoto 20 plus kila mmoja na mama yakeMbona mie nina 43 na sina mke wala mtoto na wala sipagawi naona maisha murwa
hizo ni account tu lkn unanijua vizuriMh haya ahsante mkuu, but wakati wa "kujionana mimi kama mimi?" Haya ahsante and am sorry kama kuna mtu nilimpuuza pasipo hata kujua labda. Hatupaswi kupuuziana sisi wote viumbe wa Mungu.
Pia umejoin humu 2024 lini nilikupuuza?[emoji25]
dah sea beast matani menine hayafai ujueNB: Nimesema Mwanaume aliye timamu
Thank you so much, ntakua makini mkuuUsijali Miss maana kila mtu anapambama na insecurities, stress na hofu flani za maisha. Cha msingi jijali, jikubali, jipende na usijipe presha. Pia zama katika prayers maana katika muda kama huu, mashetani wengi hujifanya malaika ili watumie desperation yako kuharibu muelekeo wa maisha yako..
Hivyo, kama ni mtu wa indoors, tafuta activities za kuchangamana na watu lakini usisahau prayers,
Hakuna anaekujua humu au anaejua hatma yako kuliko Mungu wako. Jiweke nae karibu zaidi Financy🙏🏽🙏🏽
Ok so umeona ni sawa kunisema kwa kutumia Id nyingine tofauti na uliyokuja nayo hiyo siku unayosema ulipuuzwa?hizo ni account tu lkn unanijua vizuri
Lengo la uzi siyo kutafuta kete mkuu, i just wanted watu watoe ushauri na experience walizonazo.kwa hiyo sasa unanitaka nijaribu tena kurusha kete? kama ni kweli basi tuanze mchakato na huu uzi ufungwe
Unakiwango gani cha elimu?Nimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
Elimu ya Secondary, form 4Unakiwango gani cha elimu?
Wew si ni Cipiiaii?Elimu ya Secondary, form 4
Mbaya zaidi huna huo mpango mpk sasaHabari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Hii zero tunaianza hivi hivi tayari tukiwa wazee.😂😂✌️Kuna watu walianza zero pamoja now wako somewhere.
NB: Nimesema Mwanaume aliye timamu