Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Lakini mkuu hata wewe si umemchagua kwa kuwaacha wengine kwenye targets zako, sasa kuna ubaya gani na yeye asipokuweka kwenye targets zake [emoji16][emoji16]

Hata hivyo, kama ana tabia ya kubagua apunguze sana lakini asibebe kila kinachopumua
mimi sina tabia ya kuchagua mkuu, kiufupi wanawake wote wa jf nishawatokea na hakuna hata mmoja aliekubali huo ndio uhalisia, wanawake wa jf unawajua wewe au unawasikia? wanajifanya matawi ya juu hawa kama hawaendi chooni
 
Aah mkuu why nitume picha siyo zangu Are you sure?, and why useme uliona tu siyo picha zangu inamaana ulikua na picha yako kichwani ama? Sawa watu tuna mapungufu but lawama zingine mtupunguzie jamani [emoji2296]

Factor ya uchumi haijawahi kuwa kikwazo kwangu as long as tunapendana, pesa zinatafutwa tu. Kuna watu walianza zero pamoja now wako somewhere.
kwa hiyo sasa unanitaka nijaribu tena kurusha kete? kama ni kweli basi tuanze mchakato na huu uzi ufungwe
 
Nimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
Usijali Miss maana kila mtu anapambama na insecurities, stress na hofu flani za maisha. Cha msingi jijali, jikubali, jipende na usijipe presha. Pia zama katika prayers maana katika muda kama huu, mashetani wengi hujifanya malaika ili watumie desperation yako kuharibu muelekeo wa maisha yako..

Hivyo, kama ni mtu wa indoors, tafuta activities za kuchangamana na watu lakini usisahau prayers,
Hakuna anaekujua humu au anaejua hatma yako kuliko Mungu wako. Jiweke nae karibu zaidi Financy🙏🏽🙏🏽
 
Mh haya ahsante mkuu, but wakati wa "kujionana mimi kama mimi?" Haya ahsante and am sorry kama kuna mtu nilimpuuza pasipo hata kujua labda. Hatupaswi kupuuziana sisi wote viumbe wa Mungu.

Pia umejoin humu 2024 lini nilikupuuza?[emoji25]
hizo ni account tu lkn unanijua vizuri
 
Usijali Miss maana kila mtu anapambama na insecurities, stress na hofu flani za maisha. Cha msingi jijali, jikubali, jipende na usijipe presha. Pia zama katika prayers maana katika muda kama huu, mashetani wengi hujifanya malaika ili watumie desperation yako kuharibu muelekeo wa maisha yako..

Hivyo, kama ni mtu wa indoors, tafuta activities za kuchangamana na watu lakini usisahau prayers,
Hakuna anaekujua humu au anaejua hatma yako kuliko Mungu wako. Jiweke nae karibu zaidi Financy🙏🏽🙏🏽
Thank you so much, ntakua makini mkuu
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Mbaya zaidi huna huo mpango mpk sasa
 
Mwanamke msomi kutake risk kuanzisha maisha na mwanaume kapuku nikazi sana out of 1000 unaweza pata mmoja sii kwasababu ya tamaa au majivuno hapana bali ni mfumo.

Hii inapelekea wengi kuishi maisha ya nadharia na sinema wanakuja kushituka muda umesogea.

Njia rahisi uliobaki nayo nikumuomba tu mungu akutimizie hitaji la moyo wako .

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom