Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Binafsi huwa sina wa kuitwa Best Friend Forever wa kusema sijui huyu ni mwanangu haswaa! Aliwahi kutokea mmoja huyo ingawa haikuwa kiviile na yeye ni sababu tumekulia mtaa mmoja, shule tumesoma darasa moja shule ya msingi akaja kuanza date na dem wangu. Iliniuma, niliumia nilisononeka sana kuwapoteza wote wawili nikakaa sawa, baada ya huyo sinaga rafiki wa karibu hivyo na sijawahi kujihisi mpweke wala kujuta.
 
Kwa hyo mkuu huna rafiki hata mmoja?

Mi siwezi kusema uongo those few friends that I've got wako loyal na kama nikishindwana nao basi ntaishi bila rafiki for the rest of my life
Hongera kwa kua na rafiki. Mie kwa sasa sina labda watu tunaokua pamoja kwenye mambo ya kila siku.. sio muongeaji kiivo
 
Haya maneno hayafanyi kazi kwa mtu anayempenda mtu kweli.
Wanasema "if you love something, fight for it".
Yaani ukae uache kupambana ukidhani kwamba atakuja mwenyewe?.

True say

I have one friend ambaye ilifika kipindi niliona kabadilika completely yaani hatumatch na ilifika hatua ya kusema BHASI and he was okey with it...

Nilipokaa chini na kufikiria nikaona NAH. watu wanabadilika kwa sababu fulani na pengine sio kutokana na spot tuliyonayo katika maisha yao ila situations zao so, nikaamua kujishusha..

After that nikajua tatizo lilikuwa nje ya uwezo wake na tunakaribia 10 years now. We are no longer friends, we are broz. Sometimes tunaona ile decision ya 8 yrs back ingetukosesha mengi coz now tunajionea..

so if it worth it, fight for it.. if its not, dont waste your time, just move on
 
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Nakubaliana na ww katika kupambana Ila sio kwenye mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukweli katika hili
 

kabisa brother...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…