Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Vipi ukikutana na kitabu kinachokwambia historia ya vifo vya aina mbili tofauti vya mtu mmoja (Soma biblia yako vizuri Kuna vifo viwilo tofauti vya sauli na yuda)
biblia si tu kwamba naisoma vizuri kama wewe,naisoma kwa utulivu pia.
usisome huku unakula muwa.

embu eleza vifo vya aina mbili kwa namna gani???
Academic history inaambatana na fossil evidence, documentary evidence sio kama historia za biblia amabazo ukiuliza unatishwa eti usipoamini utaenda motpni
inabidi uwe makini kujenga hoja,unajengaje.

kuhusu imani ni kweli tutakwambia wacha ugumu wa moyo,lakini kuhusu ushahidi tutakwambia acha upumbavu,maana ushahidi wa kihistoria katika biblia umehifadhiwa vyema kuliko historia yoyote unayoijua.

leo tu unahesabu 2023AD halafu kuna BC unajua maana yake???
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nielezee Basi japo kwa ufupi hiyo evolution ya mimea tujue mimea imetoka wapi.
Tupe elimu mkuu.
 
Kwa hiyo Mungu aliumba watu ili aje awachome siku ya mwisho, Wakati uwezo wa kuumba binadamu wema tu wasioweza kutenda dhambi na uovu Alikuwa nao?
Watakae fuata maagizo yake na kuacha makatazo yake hawatachomwa ila watakao kiuka watachomwa na Mungu kampa uwezo mwanadamu wa kufuata au kutokufuata sasa ni wewe kuamua kufuata usichomwe au kukaidi uchomwe.
Mungu angekuwa anakosea kama angemuumba mwanadamu alafu ampe uwezo wa kufanya mabaya tu bila mema alafu aseme ukifanya mabaya atakuchoma hapo ata mimi ningekubali huyu Mungu ni wa mchango lakini amekupa uwezo wa yote mabaya na mema hivyo uamuzi ni kwako si kwake tena.
 
1 SAMWEL 31:4 Sauli alidondokea panga lake mwenyewe (alijiua mwenyewe) Soma sura nzima sio mstari tu
2 SAMWEL 1:1-10 jamaa anamuadithia daudi kwamba alimchinja sauli (slewn by an amalekite)

Si tunafahamu yuda alijinyonga kasome Acts 1:18 (matendo ya mitume) utaona kifo cha yuda hapo kama ni kujinyonga

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
1 SAMWEL 31:4 Sauli alidondokea panga lake mwenyewe (alijiua mwenyewe) Soma sura nzima sio mstari tu
2 SAMWEL 1:1-10 jamaa anamuadithia daudi kwamba alimchinja sauli (slewn by an amalekite)
mimi nikajua moja inasema jamaa alijichoma na upanga nyibgine inasema alijizika akiwa hai😂😂,ndio maana nikasema uwe unasoma kwa utulivu.

panga lililomuua daudi ni la huyu mshika silaha wake si ndio??
Si tunafahamu yuda alijinyonga kasome Acts 1:18 (matendo ya mitume) utaona kifo cha yuda hapo kama ni kujinyonga
hapa pia usiwe na pupa,moja inasena alijinyonga nyingine alianguka matumbo yakapasuka.

swali mtu akijinyonga asishushwe,kinachofanya ni kipi???maana shamba inaonekana lilikuwa ni la kwake kwa kulinunua.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Umehifadhiwa vyema kivipi

Kwenye mlima Ararat ambapo inasemekana safina ya Noah ilisimama hamna mabaki ya aina yoyote ya safina archeologist wamefatilia mpaka basi.

Kuhusu BC (before christ) na Anno Domino (AD) ambayo inafahamika kwamba baada ya yesu zimeshabadilishwa au haufahamu Sasa hivi tunatumia BCE (before common era) na CE (common era) wanawaheshimu waromani tu ila ukweli ni kwamba zilibadilishwa kwasababu hamna ushahidi wa yesu kuwepo

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Zamani nilikua naiamini Sana Simba kumbe Tanzania timu kubwa ni Yanga..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we umekurupuka kusoma naongelea kifo cha sauli sio daudi
Hadithi Moja alidodondekea panga la mshika silaha
Nyingine alichinjwa (slewn)

Kuna kuchomwa na kuchinjwa hapo sio vitu sawa au kwako ni sawa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana nimekwambia soma sura nzima utofauti apo alipojinyonga pesa alirudisha majamaa wakaenda kununua shamba. Kule matumbo yalipomwagika shamba alinunua mwenyewe hakurudisha pesa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Au kudondokea panga mwenyewe Kwa hiari yako na kukatwa na mtu ni vitu sawa ?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Laki kwa lisaa upo vzuri mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we umekurupuka kusoma naongelea kifo cha sauli sio daudi
nisome tena kwa utulivu.
Hadithi Moja alidodondekea panga la mshika silaha
Nyingine alichinjwa (slewn)
ipi aliyochinjwa???moja inaeleza sauli akitoa maelekezi kwa kamanda wake amuue,akagomewa akajichomsha mwenyewe.
nyingine ni daudi akisimuliwa na kamanda husika kilichotokea.

shida yako iko wapi??
Kuna kuchomwa na kuchinjwa hapo sio vitu sawa au kwako ni sawa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kama Mungu alitoa uamuzi wa kuweza kufanya mema au mabaya, Kwa nini aingilie uhuru wa watu kufanya ubaya kwa kuwa adhibu?

Kama Mungu alikuwa hataki tufanye mabaya, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasioweza kutenda mabaya?
 
Ndo maana nimekwambia soma sura nzima utofauti apo alipojinyonga pesa alirudisha majamaa wakaenda kununua shamba. Kule matumbo yalipomwagika shamba alinunua mwenyewe hakurudisha pesa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ndo maana nimekwambia soma sura nzima utofauti apo alipojinyonga pesa alirudisha majamaa wakaenda kununua shamba. Kule matumbo yalipomwagika shamba alinunua mwenyewe hakurudisha pesa

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
kwanza lazima uelewe,hii ni historia na sifa ya historia inakuwa na source nyingi,kulingana na mashuhuda.

ndio maana tunakwenda kwenye hutimisho,nini kilimkuta Yuda???

ndio sababu haya yamejitokeza pia hata ktk muda sahihi wa kusulubiwa Yesu,haiwezekani source 2 au 3 zote zikaandika muda sawa zikiwa katika taharuki na wakari ambao hakuna saa za kutizama.
 
umesoma namba za tarakimu unaona umemaliza, tulia mkuu ukutane na za kirumi utajuta kumkana Mungu
 
Mbona umetaja dini 3, Kati ya 10k zilizopo duniani
 
So ndani ya miaka 2000 tuseme, mtu anaweza kutoka from white tu black...mbona weusi wa marekani hawawi wazungu then...🤣🤣🤣hapa umetuchota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…