Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Mungu angekua yupo wala kusingekuwa na hoja kumuhusu.
Watu huwa wanaleta hoja kwenye vitu ambavyo vipo sio ambavyo havipo kwa hiyo kuwepo kwa mjadala tu kuhusu Mungu ni hoja tosha kuwa Mungu yupo.
Ndio maana kuna hoja kuhusu bandari turuhusu uwekezaji au tusiruhusu iyoo ni kwasababu bandari ipo.
 
Nikuongezee tu sio biblia tu imesema Mungu Kaumba Adam na hawa ata Qur an ya waislamu na talmud za wayahudi zote zinasema Mungu aliumba adam na hawa tu.
Sasa nije kwenye swali lako ilikuwaje kukawa na hizi varieties za races ... Adam na Hawa waliishi mashariki ya kati na walipata watoto wakazaliana sana tu. Lakini Hapa watu wote walikuwa ni wa race moja ya Adamu Lakini watoto wa Adamu walisambaa sana kuna walioenda kuishi palestina wengine iraq na Iran wengine maeneo ya sham na maeneo mengine kumbuka hapa watu wote Ni race moja lakini washatawanyika hivyo mazingira ndio yaliyo sababisha hizo races zikazaliwa kwasababu mazingira yanaweza kumshape mwanadamu na mazingira yanaleta athari kwa mwanadamu mfano mtu anayeishi maeneo ya baridi ni tofauti na anayeishi maeneo ya joto nywele zao na rangi lazima zitofautiane hivi ndiyo races zilivyoanza.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ama kweli, hebu soma tena ulichoandika uje unielewesha upya
 
Sio nahofia nitachomwa ni hakika ukisema Mungu hayupo utachomwa.
Ok wacha tukubaliane kutokukubaliana
Sasa mkuu, Mungu yeye kwa nini ajifiche?

Ana ogopa nini kutambulika hadharani kwa binadamu wote alio waumba yeye?

Yani kaumba viumbe na binadamu ambao hataki wamjue na kumwona hadharani?

Kama Mungu alitaka binadamu wote wamtii na kumwamini, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini muda wote na afute ufahamu wa kutomtambua yeye hayupo?

Yani ange program binadamu wote ufahamu wetu uwe, Kutambua yeye yupo muda wote, pasipo utata.

Kama vile kompyuta au Roboti inavyo kuwa programmed kufuata matakwa ya mtengenezaji na mtumiaji.
 
"Kama vile kompyuta au Roboti inavyo kuwa programmed kufuata matakwa ya mtengenezaji na mtumiaji."....Na yeye ndie Kaumba mwanadamu awe hivi kwa matakwa yake, kusema aumbe mtu hivyo unavyotaka kusingekuwa na malipo siku ya mwisho.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ama kweli, hebu soma tena ulichoandika uje unielewesha upya
Mimi kwa maelezo yangu ndio hayo .
Haya niambie wewe races zimetoka wapi?
 
Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k.

Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k.

Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba kujitibu ni ujinga tena nikihusisha na ushirikina lakini kwa sasa hapana siamini hivyo nimejua kuwa miti na mimea kwa ujumla ina siri nyingi na ni tiba sana.

Vipi wewe kwa upande wako Ulishawahi kubadili mawazo yako na kuacha kuamini kitu ambacho ulikiamini awali ? na Kwanini?
Imani yangu kwamba kuna mbinguni ilashaondoka. Nilisoma bible vizuri nikagundua mawazo ya kawaida ya binadamu kama mimi tu na na mengine yakiwa na uongo ndani yake. Hivyo kanisani naenda kama njia ya ku interact na wanajamii wengine.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mjinga wewe! Bado upo ktk Karne ya giza. Mpaka Leo unaongea upuuzi huo eti hakuna mungu?? Hujiulizi ukiwa UMELALA!! Viungo vyote havifanyi kazi ispokua moyo! Je unajua SIRI YA TUKIO HILO?

Lofaa sana
[emoji1] Eti viungo vyote havifanyi kazi isipokuwa moyo, umeishia la ngapi mkuu. Ndoto ni kazi ya ubongo au ubongo kwako sio kiungo cha mwili. Ukiwa umelala hupumui kwamba mapafu hayafanyi kazi [emoji23]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama kitu hujui unapata wapi legitimate ya kusema claim yake ni ya uwongo.
Ili uweze kusema jambo sio lazima ujue ndio ni ipi sasa wewe hujui alafu unapinga claims za wenzako , Hii ni futui pro max
We humjui mjomba wangu

Mjomba wangu anaishi bila ubongo. Nisikusikie unabisha kwasababu humjui mjomba wangu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
kwani kwa mujibu wa maelezo yako zote hizi ni stori tu??au hadithi??

mkwawa kuchapa wajeruman handsdown,umepokea kama hadithi iliyotokea,ila Yesu kutembea juu ya maji unasema hapana huo ni uongo wa kutunga tu.

historia ndio zinafanya tujue hata ni wapi tunaelekea,kama unazikataa na kuita ni uongo kataa zote.
Vipi ukikutana na kitabu kinachokwambia historia ya vifo vya aina mbili tofauti vya mtu mmoja (Soma biblia yako vizuri Kuna vifo viwilo tofauti vya sauli na yuda)

Academic history inaambatana na fossil evidence, documentary evidence sio kama historia za biblia amabazo ukiuliza unatishwa eti usipoamini utaenda motpni

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
"Kama vile kompyuta au Roboti inavyo kuwa programmed kufuata matakwa ya mtengenezaji na mtumiaji."....Na yeye ndie Kaumba mwanadamu awe hivi kwa matakwa yake, kusema aumbe mtu hivyo unavyotaka kusingekuwa na malipo siku ya mwisho.
Kwa hiyo Mungu aliumba watu ili aje awachome siku ya mwisho, Wakati uwezo wa kuumba binadamu wema tu wasioweza kutenda dhambi na uovu Alikuwa nao?
 
Sikubishii hata mimi nina mjomba wangu anaishi bila kichwa.
Mi nakubishia haiwezekena kwasababu ubongo ndio information centre ya mwili nerves zote zinatolea taarifa hapo bila ubongo huwezi kuishi na ubongo uko kwenye kichwa. Hivyo mjomba wako kama Hana kichwa basi haishi AMEKUFA

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Miti imetokea wapi??
Unauliza miti ilitokea wapi kwasababu mwenzako kasoma biblia ila wewe hujachukua muda wako kusoma evolution ya mimea. Nin uhakika ikijaribu kuongea chochote kuhusu evolution utaongea utopolo. Ila mwenzio maandiko anayaelewa labda uanze kutafuta njia nyingine ya kuyatafsiri kama kawaida yenu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mi nakubishia haiwezekena kwasababu ubongo ndio information centre ya mwili nerves zote zinatolea taarifa hapo bila ubongo huwezi kuishi na ubongo uko kwenye kichwa. Hivyo mjomba wako kama Hana kichwa basi haishi AMEKUFA

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Basi kumbe bila ubongo hauwezi kuishi, basi mjomba wako itakuwa anaishi beyond nature principal Maana yeye hana ubongo na anaishi kwa mujibu wako lakini.
 
Back
Top Bottom