Lidafo
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 889
- 1,789
- Thread starter
- #221
Watu huwa wanaleta hoja kwenye vitu ambavyo vipo sio ambavyo havipo kwa hiyo kuwepo kwa mjadala tu kuhusu Mungu ni hoja tosha kuwa Mungu yupo.Mungu angekua yupo wala kusingekuwa na hoja kumuhusu.
Ndio maana kuna hoja kuhusu bandari turuhusu uwekezaji au tusiruhusu iyoo ni kwasababu bandari ipo.