Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Hayo yote uliyotaja ni mema na ndio uislamu unataka kama unafanyaga hayo inshaallah Allah akunusuru karibuni utakuwa muislamu kwa sababu uislamu ndio unaagiza hayo .
Kuhusu kuelekea uarabuni huwa atuelekei uarabuni ni Makka na hiyo ni ibada.
Kuhusu kuwa muislamu sio lazima ujitoe akili ni lazima utoe shahada(Tashahud) karibu unaweza kutoa ata hukohuko tu sema" Ashhadu Anlaa ila ha ila llah wa ashhadu Anna muhammadun rasullullah" tayari ushakuwa muislamu ukisema hivyo karibu niambie location nikuletee kanzu na makobazi .
🤣🤣🤣Mi Mungu wangu sio muarabu asa... Baki na muarabu wenu
 
Msamehe tu ndugu yangu..kuna watu wakishakula ugali na kujamba baasi wanajua ndo wamemaliza kila kitu..
🤣Acha njaa, ujinga ndo umaskini wako..nenda kamtajirishe mwamposa wakati we unauza karanga sawa...
 
Picha ya kwanza inayohusu Adamu na hawa na nyoka story yake naikubali asilimia mia moja kwa sababu story hiyo inapatikana kwenye vitabu vya dini na dini ndio inamtangaza Mungu na Mungu ndio muweza wa yote hivyo anaweza kumuumba nyoka anaeongea
Picha ya pili inayohusu paka na panya story yake siikubali kiuhalisia kuwa panya anaweza ongea kwa sababu muandishi ametumia fasihi kuelezea jamii kuwa linapotokea jambo ni vizuri kukaa kikao kutafuta suluhisho ndio akatumia taswira ya panya kumuwakilisha mwanadamu.
Hivyo basi story ya nyoka kuongea naikubali kwa kuwa aliyetaka nyoka aongee ni Mungu mwenyewe na yeye anaweza kumfanya nyoka aongee.
Kwahiyo nyoka akiongea ndio Mungu hayupo??
Kwa Nini hio story ya nyoka hujasema kuwa ni taswira.. na mbona katika ulimwengu huu wa magazeti, waandishi wa habari, tv, redio na internet nyoka hawaongei Tena...🤣
 
Dini inayo majibu ya kila kitu ila wewe ndio umeamua kuyakataa majibu yanayotolewa na dini.
Ukaamua kufuata njia ya kupinga pasina hoja za msingi na badala yake unatumia ridiculous points kupinga uwepo wa Mungu.
Dini gani Ina majibu Islam au Hinduism
 
L

Leta Aya inayosema jua linazama kwenye matope
Soma Quran..na hadiths sawa.. nimekutumia kuhusu Muhammad kusema jua linaenda kwa Allah usiku kuomba ruhsa kutokea asubuhi umenipotezea....so Sina mda wa kutuma screenshot hovyo hovyo kama husomi...we ni mtaalamu tafuta Aya, una simu, ukipata soma..🤣Mi nitunge Nina faida gani asa napata
 
Biblia huijui na Qur an ndio kabisa huijui yaani kwa kifupi una unachojua about thiolojia.
Yaa mimi nasubiri mabikra 72 inshaallah ..wewe unasubiri kuchomwa daah pole yako, Tubu mrudie Mungu bado una nafasi my friend acha kufuata mkumbo kaburini utakuwa pekee yako.
Alafu nina swali nje ya mada, Mbona unapenda kutumia Emoj ya kucheka kwenye replies zako ni ipi siri yake.?.inaonekana unapenda kucheka mshukuru Mungu mzima wa afya mpaka unacheka kuna wenzako wako ICU now.
[emoji23] Eti atubu, mtu atubu tena kivipi si mnasemaga mungu pekee ndo kakamilika sisi wanadamu hatujakamilika siku zote tunatenda dhambi. Aliyetuumba hatujakamilika ni mungu mwenyewe halafu tena anatulaumu tukitenda dhambi na anatuhitaji tutubu. Yani anatulaumu kwa makosa yake ye mwenyewe.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mimi binafsi nilikuwa naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.

Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Ngoja atakuonyesha kwamba yupo.
 
Kama alitegemea rejea za mashuhuda kwa maana hiyo unakubali kuna matukio yameandikwa kwenye biblia na yanaweza yasiwe kweli si ndio?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
yanaweza yasiwe ya kweli kwa sababu tu yako kweny biblia???mbona maandishi mengi tu yako kwenye vitabu vingine umeyapokea kama rejea za kweli??
 
Na kama alikuwa eneo la tukio kwanini atoe taarifa zenye utofauti?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
hizo taarifa sio tofauti,bali maelezo ndio tofauti.

taarifa ni kifo cha sauli,maelezo ndio yametofautiana kidogo ila yenye kuendana kabisa.

miaka 50 ijayo wapo watu wataandika JPM alikufa akiwa ameshinda uchaguzi,wengine wataandika alifia nairobi kitandani,na yote yatawekwa sehemu moja.
 
🤣Acha njaa, ujinga ndo umaskini wako..nenda kamtajirishe mwamposa wakati we unauza karanga sawa...
Tunakusamehe tuu ndugu yetu hujui ulisemalo..ikiwa uko na shida ya pesa...kazi..usisite kunipa taarifa najua umekata tamaa ya maisha. Karibu kwa YESU KRISTO
 
yanaweza yasiwe ya kweli kwa sababu tu yako kweny biblia???mbona maandishi mengi tu yako kwenye vitabu vingine umeyapokea kama rejea za kweli??
Vitabu vingine havijawahi kusemwa vina ukweli mtupu tofauti na biblia (pamoja na vitabu vya dini zingine) inayodaiwa kuwa na ukweli usiopingika, hata comment moja ya nyuma mlisema historia zilizomo zimehifadhiwa vizuri. Tatizo ni nyie kutuambia biblia ni ukweli mtupu haina uongo wala kosa lolote.

Je vitabu vingine pia tofauti na vya dini, especially science vinakwambia vimejaa ukweli wa kila kitu usiopingika na vina majibu yote kama ilivyo biblia?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
hizo taarifa sio tofauti,bali maelezo ndio tofauti.

taarifa ni kifo cha sauli,maelezo ndio yametofautiana kidogo ila yenye kuendana kabisa.

miaka 50 ijayo wapo watu wataandika JPM alikufa akiwa ameshinda uchaguzi,wengine wataandika alifia nairobi kitandani,na yote yatawekwa sehemu moja.
Utabisha ila utofauti upo wazi kwenye hadithi ya sauli. Basi ngoja nikupe maandiko mengine na yenyewe tuone utasemaje

1. Mungu anatubu au tuseme anaomba msamaha Kwa kumfanya sauli mfalme(I Samuel 15:10 to 11) [hapo kumbuka anajua kila kitu Kwa hiyo alijua mapema sauli ataharibu anajutia nini sasa]
Huyo huyo samweli tena anasema mungu hawezi kutubu maana sio mwanadamu (I Samuel 15:29)
Tena samweli anasema mungu alitubu au tuseme kuomba radhi au kujuta kumfanya sauli mfalme wa Israeli utafikiri alikuwa hajui kama ataharibu.
(I Samuel 15:35). [emoji23][emoji23] HUYU NI MWANDISHI MMOJA TU.

2. After the feeding of the multitude, Jesus went to Gennesaret. Mark.6:53.
After the feeding of the multitude, Jesus went to Capernaum. John.6:14-17.
Kati ya Luka na Marko nani yuko sahihi Yesu alienda wapi baada ya kulisha umati mmoja anasema Gennesaret mwingine Capernaum

3. Yuda alimbusu yesu? mathayo anasema ndio yohana anasema hakuweza kusogea karibu vya kutosha kumbusu hivyo hakumbusu.
(Matthew 26:48-50)(John 18:3-12)

4.Yesu alikuwa wapi saa la sita la siku ya kusulubiwa Marko anasema kwenye msalaba yohana anasema kwenye mahakama ya pilato
(Mark 15:23) (John 19:14)

5.Nani alimuua Goliati
David (I Samuel 17:23, 50)
Elhanan (2 Samuel 21:19)

6. Kuna mtu apa alimuona mungu na maisha na hakufa Genesis (Mwanzo) 32:30
Yohana alisahau akasema hakuna aliemuona mungu (John 1:18)

Tuanzie hapa kwanza mkuu

Baada ya hapa tutaingia barua za Paulo naona weep ni "mkorintho" kuna barua inakuhusu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom