Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Mfano tu mchungaji wa mwisho kuongea nae kuhusu hayo maandiko alinoambia vitu tofauti mfano kwenye swala la goliati hakusema goliati tofauti alisema ni kosa la kibinadamu la uchapishaji [emoji23][emoji23][emoji23]
wachungaji wako wengi hata machumo anawezakuwa mchungaji kwa mtazamo wako sababu tu anatembea na bible.

ukiacha kabisa mawazo ya mchungaji wako huyo,ukarudi kusoma nilichokuagiza utaelewa goriath hakuwa jitu moja,yalikuwa ni majitu yenye sifa hizo na nguvu nyingi.
Kuhusu vitabu vingine kuwa na uongo nimekutana navyo vingi ila waandishi wake hawajawahi kusema vina ukweli wote ila nyie wachungaji mnasema biblia Ina ukweli wote halafu tukisoma tunakuta uongo eti nyoka na punda anaongea [emoji1787]kweli mtu mzima unasema hizi hadithi za kitoto ni ukweli usiopingika
hapa ndio nimekukamata sasa,kwanza hata huelewi tukisema hili ni neno la Mungu tuna maana gani.

humu yapo maandishi ambayo ukiyasoma unaona kabisa ni maswala ya kiroho na kimiujiza si ya kutokea katika hali ya kawaida,kama hata huelewi msingi wa awali kabisa wa bible utacheka sana ukisoma Yesu alikaa njaa siku 40 maana wewe ukishinda bila kunywa chai tu akili zinahama.
Maandiko yalikuwa tayari yameandikwa na waandishi mbalimbali mfano hadithi ya nuhu ilitolewa kwenye hadithi za epic of Gilgamesh ikabadilishwa majina halafu wakasema ilitokea kweli huku sehemu original walioitoa ilikuwa wazi ni hadithi
haya yatabaki kuwa madai tu ya watu walioshiba wakaamua waende na upepo kujipatia umaarufu.nawewe ni miongoni mwa waliofanikiwa kuwaokota.

kwahiyo story na Nuhu si kweli ni Nuhu ila ni hadithi ya gilgamesh,kwanini unakubali hivyo??sababu kuna sehemu umesoma pameandikwa hivyo😂😂😂
Barua ambayo mfalme Constantine alimuandikia Eusebius of Caesarea imehafidhiwa museum na maneno yapo yako wazi, nionyeshe historia yoyote iliohifadhiwa inayoonyesha yesu alikuwepo tofauti na hadithi za biblia
embu leta ushahidi wa hiyo barua ya constantine hata picha au copy yake ambayo wewe umeisoma
sina historia zozote zaidi ya kukwambia Ulimwengu unatambua kalenda hii 2023 baada kuzaliwa kwa kristo.
sawa utasema ni huyu huyu konstantine alichonga hili.

Waliokataa walibandikwa jina "heretics' na adhabu ilikuwa ni kifo. Soma historia ya dark ages uone wakristo walivyokuwa wakatili. Msome William Tyndale alichofanywa Kwa kosa la kutafsiri biblia. Mfano Galileo Galilei walomuua Kwa order ya kanisan Kwa kosa la kusema ni sayari ndio zinazunguka jua sio jua linazunguka sayari (kanisa katoliki lilikiri hili kosa na kuomba msamaha wazi, fatilia kama mimi muongo)
kwahiyo kwa sasa wanaopinga hayo wanafanywaje??

Kanisa la kwanza lilikuwa katoliki (Roman Catholic) makanisa mengine ya kikiristo yaliundwa na watu Kwa kupinga taratibu za kanisa katoliki mfano Martin Luther aliunda Lutheran (hapa bongo ndio KKKT), Elen G White aliunda Adventist church (Sabato) kama Sheria za mwanzoni zilizoendesha kanisa katoliki zilitoka Kwa mungu wote waliozipinga wakaanzisha dini zao tofauti wamepotea wanaenda motoni wote maana ake, sijui unanielewa.
😂😂afadhali umeingia mwenyewe kikaangoni,kwahiyo kwanini unafikiri Lutha pamoja na kuwa mkaidi kwa sheria za ajabu za kanisa hakugeuka jumla na kusema wazi kwamba hizi ni hadithi tu zilizopaliliwa na mtawala kwa mabavu???

badala yake akapingana na sheria za ajabu tu za kanisa la roma???
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hutoi facts wala hoja za msingi unatukana tu hii ni jaribio la kuonyesha mimi ni mjinga au mpumbavu kwasababu huna hoja za msingi sawa na wachungaji wengine ukimuuliza swali anasema una pepo.
neno MPUMBAVU sio tusi ni wasifu wa mtu.

huoni hoja,huoni majibu,huoni ufafanuzi na unakataa kuwa kuna wasifu umeukumbatia unatembea nao!!!!
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
wachungaji wako wengi hata machumo anawezakuwa mchungaji kwa mtazamo wako sababu tu anatembea na bible.

ukiacha kabisa mawazo ya mchungaji wako huyo,ukarudi kusoma nilichokuagiza utaelewa goriath hakuwa jitu moja,yalikuwa ni majitu yenye sifa hizo na nguvu nyingi.

hapa ndio nimekukamata sasa,kwanza hata huelewi tukisema hili ni neno la Mungu tuna maana gani.

humu yapo maandishi ambayo ukiyasoma unaona kabisa ni maswala ya kiroho na kimiujiza si ya kutokea katika hali ya kawaida,kama hata huelewi msingi wa awali kabisa wa bible utacheka sana ukisoma Yesu alikaa njaa siku 40 maana wewe ukishinda bila kunywa chai tu akili zinahama.

haya yatabaki kuwa madai tu ya watu walioshiba wakaamua waende na upepo kujipatia umaarufu.nawewe ni miongoni mwa waliofanikiwa kuwaokota.

kwahiyo story na Nuhu si kweli ni Nuhu ila ni hadithi ya gilgamesh,kwanini unakubali hivyo??sababu kuna sehemu umesoma pameandikwa hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]

embu leta ushahidi wa hiyo barua ya constantine hata picha au copy yake ambayo wewe umeisoma
sina historia zozote zaidi ya kukwambia Ulimwengu unatambua kalenda hii 2023 baada kuzaliwa kwa kristo.
sawa utasema ni huyu huyu konstantine alichonga hili.

kwahiyo kwa sasa wanaopinga hayo wanafanywaje??

[emoji23][emoji23]afadhali umeingia mwenyewe kikaangoni,kwahiyo kwanini unafikiri Lutha pamoja na kuwa mkaidi kwa sheria za ajabu za kanisa hakugeuka jumla na kusema wazi kwamba hizi ni hadithi tu zilizopaliliwa na mtawala kwa mabavu???

badala yake akapingana na sheria za ajabu tu za kanisa la roma???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti maswala ya kiroho na kimiujiza (ila mkiugua mnakimbilia kwenye biological sciences Kwa akili ya dawa sio maombi), unawezaje kutofautisha kwamba hili ni swala la kiroho na kimiujiza kwenye biblia na hili sio au kila anae soma anaamua anavyotaka

Onani alielekezwa na mungu ampe mimba mke wa kaka yake lakini yeye akamwaga nje, mungu akghadhabika akaamua (Nisaidie kuamua hili ni la kiroho na kimiujiza au sio? Na kwanini?)

Kuna makumbusho yoyote ya nje ya nchi umewahi kutembelea ndugu? Kama Bado siwezi kukutaftia barua ya Constantine (utapata picha tu za msaada kwenye World history encyclopedia). Kwanini unaamini kwamba Nyerere aliishi Butiama? Kwasababu kuna makumbusho yenye ushahidi wa kihistoria kwamba alikuwa pale, niambie ni wapi Kuna ushahidi wa kihistoria wa yesu wa kutosha kuaminisha watu kama ulivyo wa Nyerere. (Mfano tu).

Umesoma maandiko yoyote ya Luther kwanza? Biblia iliyotumika na kanisa la kilutheri lililoanzishwa na Luther iliachwa na hadithi sawa na zile kwenye biblia ya awali yenye iliyotumika na kanisa katoliki? (Nijibu hili swali Ili nielewe nabishana na mtu aliesoma haya maandiko au vipi?).

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
lakini ni kweli unalo jibu la hili swali[emoji23][emoji23][emoji23]

au bado unatafiti???
Science inajua vitu vingi kuhusu miti lakini uhakika wa ilikotokea wanasayansi ya mimea hawajui bado. Watu wa dini mmesema mnajua ilikotokea kwamba ni Mungu kaumba kwa maana hiyo ni kazi yenu kutupa ushahidi kwamba ni Mungu? Na ni Mungu yupi? maana kila dini Ina story yake ya uumbaji. Sisi hatujasema mungu hakuumba tupeni tu ushahidi mkiuleta ushahidi wa kueleweka kwamba ni yeye tutakubali sio vitisho wala matusi kama kawaida yenu. Sio kazi yetu kutoa ushahidi kwamba sio yeye hakuumba

Ndo sawa nikwambie Mimi naweza kupaa
Utasema hebu toa ushahidi kwamba unaweza kupaa au paa nione halafu mimi nikwambie hapana we toa ushahidi kwamba siwezi kupaa

Nimalizie Kwa swali Moja tu vipi nikikwambia miti ilikuwepo tu na itaendelea kuwepo na Wala haikuumbwa ilikuja tu yenyewe utakataa?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti maswala ya kiroho na kimiujiza (ila mkiugua mnakimbilia kwenye biological sciences Kwa akili ya dawa sio maombi),
kwani ni kosa kunywa dawa za hospital???
au unataka kusema zimetengenezwa kwa ajiri ya wanaosema bible ni uongo tu maana hawaamini katika maombi😂😂😂
unawezaje kutofautisha kwamba hili ni swala la kiroho na kimiujiza kwenye biblia na hili sio au kila anae soma anaamua anavyotaka
haamui anavyotaka bali anafata andiko lilivyo,akiamua anavyotaka matokeo yake anakuwa na akili kama zako,mpaka anasahau anachotaka kujua😅
Onani alielekezwa na mungu ampe mimba mke wa kaka yake lakini yeye akamwaga nje, mungu akghadhabika akaamua (Nisaidie kuamua hili ni la kiroho na kimiujiza au sio? Na kwanini?)
wewe unaonaje!!kama alizini na mke wa kaka yake kwa lengo maalumu na akaamua kumwaga nje?lengo lake lilikuwa utelezi ama kumpa uzao nduguye???
Kuna makumbusho yoyote ya nje ya nchi umewahi kutembelea ndugu? Kama Bado siwezi kukutaftia barua ya Constantine (utapata picha tu za msaada kwenye World history encyclopedia).
kwahiyo wewe ulikwenda rome ukaingia huko strong room na kusoma ulivyojisikia kusoma!!!ziko makumbusho gani hizo barua?
Kwanini unaamini kwamba Nyerere aliishi Butiama? Kwasababu kuna makumbusho yenye ushahidi wa kihistoria kwamba alikuwa pale, niambie ni wapi Kuna ushahidi wa kihistoria wa yesu wa kutosha kuaminisha watu kama ulivyo wa Nyerere. (Mfano tu).
Yesu alipaa,unataka mfupa wake ama masalia ya nguo alizovaa??

umesema umetembea sana makumbusho kutafiti,ila ukasahau kutazama sanda inayosemekana alivishwa Yesu,au uliikataa katu katu mpaka uletewe DNA😂😂
Umesoma maandiko yoyote ya Luther kwanza? Biblia iliyotumika na kanisa la kilutheri lililoanzishwa na Luther iliachwa na hadithi sawa na zile kwenye biblia ya awali yenye iliyotumika na kanisa katoliki? (Nijibu hili swali Ili nielewe nabishana na mtu aliesoma haya maandiko au vipi?).
linazaliwa swali kulingana na madai yako.tafadhali jibu kwa ufasaha ili hoja zako ziwe kwenye misingi imara.

wewe ndiye umedai biblia ni uongo,na wapinzani wa kwanza waliuawa kwa nguvu kabisa,lakini luthni miongoni mwao,au ilikuwa ukipinga baadhi sio yote yahusuyo biblia ndipo wauawa!!!
majibu yazingatie idadi ya vitabu alivyochuku lutha ni pungufu.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Science inajua vitu vingi kuhusu miti lakini uhakika wa ilikotokea wanasayansi ya mimea hawajui bado.
sayansi ni elimu tu,ambayo inasaidia kuyaelewa mazingira na kupata matumizi sahihi ya vinavyoyazunguka.

science haijajaja na kitu kipya mkononi,vitu vyote viliishakuwepo,imefanya kuboresha na kuvipa majina kwa ajilo ya matumizi.
rejea kanuni ya neno Matter.
Watu wa dini mmesema mnajua ilikotokea kwamba ni Mungu kaumba kwa maana hiyo ni kazi yenu kutupa ushahidi kwamba ni Mungu?
unataka ushahidi gani??inabidi useme,maana maandishi ndio haya unasema ni uongo,wakati huo wewe mwenyewe rejea unayoitumia ni kisogo kikubwa tu😂😂
Na ni Mungu yupi?
Mungu anayetajwa kuumba ni Mungu muumba.
maana kila dini Ina story yake ya uumbaji. Sisi hatujasema mungu hakuumba tupeni tu ushahidi mkiuleta ushahidi wa kueleweka kwamba ni yeye tutakubali sio vitisho wala matusi kama kawaida yenu. Sio kazi yetu kutoa ushahidi kwamba sio yeye hakuumba
ushahidi upo wewe hutaki,sasa hilo linakuwaje tatizo letu watu wa dini!!!
Ndo sawa nikwambie Mimi naweza kupaa
Utasema hebu toa ushahidi kwamba unaweza kupaa au paa nione halafu mimi nikwambie hapana we toa ushahidi kwamba siwezi kupaa
sasa nikipaa halafu useme hujaona nikipaa sababu wewe ni kipofu,unadhani nakusaidiaje!!!
Nimalizie Kwa swali Moja tu vipi nikikwambia miti ilikuwepo tu na itaendelea kuwepo na Wala haikuumbwa ilikuja tu yenyewe utakataa?
hata science utakuwa umeikataa unaishi kwenye ulimwengu wako wa ufahamu.

science inasema kila kitu chenye uhai kina mwanzo na lazima kiwe na mwsho.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Jifuzeni kujua chazo cha Kila jambo kutokea (pure reasoning).

Tusome vitabu vya Dini mbali mbali (online )Kuna vitu vingi mtang'amua.

Tupunguze mapenzi Kwa Dini zetu za awali, kama unataka kujua ukweli,

Ukweli utakuweka huru, ikiwa kama uko tayar kuupokea.

Hongera holy spirit na wengine ,Kwa kutoa hoja zenye mashiko
 
Kumbe sasa ukweli haungaliwi tena kinachoangaliwa ni mtu kuchagua anataka kuamini nini si ndio?
Kwasababu Yawheh wa wakristo ana sifa hizo hizo, Brahma, Shiva na Vishnu wa wahindi wana sifa hizo hizo, Odin, Thor ambao ni Nordic Hods Wana sifa hizo hizo ila inavyoonekana umemchagua Allah kwasababu umetaka au wazazi walikupeleka au ulishawishiwa ila uhakika wa kwamba ndie mungu sahihi hauna. Kama upo tuambie ndugu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Nimekuuliza swali unakataa kuwa Allah sio Mungu? Hapo jibu ni rahisi tu ndio nakataa au hapana nakubali.
Kama unakubali tupo pamoja hamna ubishi kama unakataa leta hoja kwanini unakataa hayupo ? Vinginevyo itakuwa unamktaa Allah kwa fikra zako tu na huwezi toa hoja za kwanini unamkataa!.
Note: ALLAH afanani na hao kina Brahma , shiva n.k in short Allah Ni tofauti na miungu ya dini nyingine Hinduism ina believe katika polytheism,pantheism and monotheism at the same time Lakini pia wakristo wanaamini katika Mungu mmoja mwenye nafsi tatu hizi zote ni tofauti na uislamu, My friend uislamu unaamini katika monotheism only Yaani Mungu mmoja tu hana wa kufanana naye sasa hao kina shiva sijui nani nani mpaka picha zao zinawekwa kwenye ma-tample Allah afanani na chochote so ata image yake huwezi pata.
Mwisho ni kuwa ikiwa Allah anafanana na hao miungu wengine basi hao wahindu wangekuwa waislamu kwa sababu waislamu tunaamini katika nguzo sita za imani yaani ili uwe muislamu Allah anasema uamini mambo sita kwanza kumuamini yeye Allah hana mshirika, pili kuamini mitume wake ,tatu kuamini vitabu vyake ambavyo ni injili, Zaburi,torati na quran, Haya tubaki hapa kwenye vitabu nielezee hizo dini ulizotaja zinaamini katika hivyo vitabu? Ukileta hoja ya ukristo jibu lake ni kuwa wakristo wanaamini katika injili ila hawaamini qur an sasa wanakuwa wamekosa sifa ya kuwa waislamu na automatically hawamwamini Allah.
Swali langu lipo palepale wewe haumkubali Allah kwa hoja zipi??? Leta hoja tujadili
 
Na huko ndio Kuna wale vigori sabini na wawili mlio ahidiwa? huyo Mungu wenu ana upumbavu mwingi sana
Ndio wako huko nikuongezee na mengine huko kuna mito ya asali ,maziwa kuna matunda na hali nzuri ya kufurahisha lakini kubwa zaidi huko hakuna kufa.
Haya niambie wewe ulikuwa unataka Mungu ahaidi nini baada ya wewe kufa??
 
sayansi ni elimu tu,ambayo inasaidia kuyaelewa mazingira na kupata matumizi sahihi ya vinavyoyazunguka.

science haijajaja na kitu kipya mkononi,vitu vyote viliishakuwepo,imefanya kuboresha na kuvipa majina kwa ajilo ya matumizi.
rejea kanuni ya neno Matter.

unataka ushahidi gani??inabidi useme,maana maandishi ndio haya unasema ni uongo,wakati huo wewe mwenyewe rejea unayoitumia ni kisogo kikubwa tu[emoji23][emoji23]

Mungu anayetajwa kuumba ni Mungu muumba.

ushahidi upo wewe hutaki,sasa hilo linakuwaje tatizo letu watu wa dini!!!

sasa nikipaa halafu useme hujaona nikipaa sababu wewe ni kipofu,unadhani nakusaidiaje!!!

hata science utakuwa umeikataa unaishi kwenye ulimwengu wako wa ufahamu.

science inasema kila kitu chenye uhai kina mwanzo na lazima kiwe na mwsho.
Hapo patamu Sasa "kila chenye uhai kina Mwanzo na lazima kiwe na mwisho"

Mungu ana uhai? Kama anao basi tutahitaji kujua Mwanzo mwake
Kama Hana uhai [emoji23][emoji23] apa unaelewa maana yake Sina haja ya kusema

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hapo patamu Sasa "kila chenye uhai kina Mwanzo na lazima kiwe na mwisho"
Mungu ni roho Mungu sio kitu.

unajua hata unachojengea hoja lakini!!!!
ndio maana nakwambia elewa kwanza kwa undani unachokibishia.
Mungu ana uhai? Kama anao basi tutahitaji kujua Mwanzo mwake
Kama Hana uhai [emoji23][emoji23] apa unaelewa maana yake Sina haja ya kusema
rejea moja hapo juu.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nimekuuliza swali unakataa kuwa Allah sio Mungu? Hapo jibu ni rahisi tu ndio nakataa au hapana nakubali.
Kama unakubali tupo pamoja hamna ubishi kama unakataa leta hoja kwanini unakataa hayupo ? Vinginevyo itakuwa unamktaa Allah kwa fikra zako tu na huwezi toa hoja za kwanini unamkataa!.
Note: ALLAH afanani na hao kina Brahma , shiva n.k in short Allah Ni tofauti na miungu ya dini nyingine Hinduism ina believe katika polytheism,pantheism and monotheism at the same time Lakini pia wakristo wanaamini katika Mungu mmoja mwenye nafsi tatu hizi zote ni tofauti na uislamu, My friend uislamu unaamini katika monotheism only Yaani Mungu mmoja tu hana wa kufanana naye sasa hao kina shiva sijui nani nani mpaka picha zao zinawekwa kwenye ma-tample Allah afanani na chochote so ata image yake huwezi pata.
Mwisho ni kuwa ikiwa Allah anafanana na hao miungu wengine basi hao wahindu wangekuwa waislamu kwa sababu waislamu tunaamini katika nguzo sita za imani yaani ili uwe muislamu Allah anasema uamini mambo sita kwanza kumuamini yeye Allah hana mshirika, pili kuamini mitume wake ,tatu kuamini vitabu vyake ambavyo ni injili, Zaburi,torati na quran, Haya tubaki hapa kwenye vitabu nielezee hizo dini ulizotaja zinaamini katika hivyo vitabu? Ukileta hoja ya ukristo jibu lake ni kuwa wakristo wanaamini katika injili ila hawaamini qur an sasa wanakuwa wamekosa sifa ya kuwa waislamu na automatically hawamwamini Allah.
Swali langu lipo palepale wewe haumkubali Allah kwa hoja zipi??? Leta hoja tujadili
Nakujibu swali lako sikubali uwepo wa Allah kwasababu ya hoja zifuatatzo

Chanzo cha Quran ni kwamba Muhammad alikuwa anapokea revelation kutoka Kwa Allah. Wakati Muhammad anaanzisha uislamu (kwasababu kabla ya Muhammad hakuna ushahidi wowote wa kuwepo kwa uislamu ushahidi uliopo ni Quran yenyewe kusema kwamba mitume wa zamani walikuwa waislamu hakuna ushahidi mwingine). Muhammad alipigwa vita na Pagans ambao walikuwa wakazi wa Mecca Kwa wakati huo kabla hajalichukua eneo kivita hata Kaaba na lile jiwe vilimilikiwa na wapagani walikuwa wakilizunguka mara Saba kuwaenzi miingu yao Saba (wapagani hawakuwa watu wasio na mungu kama wengi wanavyodhani)

Hatua ya Muhammad kuvamia Mecca ni wazi kuwa ni kulipiza kisasi Kwa wapagani kumpiga vita Kwa kuanzisha Imani yake (simlaumu ni wazi alichokozwa) ndio sababu alileta haya maandiko lengo ilikuwa kuteka akili za watu waje kwenye uislamu Ili awapoge vita wapagani kama walovyompiga, lengo ilikuwa atengeneze empire na alichokifanya ni technique ya kisaikolojia tu kukamata akili za watu waje chini yake

Kwa maana hiyo ni wazi haya maneno hakuyatoa Kwa mungu (Allah) yoyote ni yeye mwenyewe lakini alitumia kivuli cha Allah kukamata akili za watu Ili kuhakikisha Imani zingine zinafutwa unabaki uislamu.

SWALI LA MUHIMU

Kama kweli Allah yupo na ana nguvu na angeweza kujidhihirisha kulikuwa na sababu gani ya kutumia mabavu kusambaza uislamu si angemlinda tu Muhammad na dini ya kweli na haki?

Jibu liko wazi apa hii ilikuwa mipango ya binadamu tu alietaka kujenga utawala wake kama ilivokuwa Alexander the great, Napoleon Bonaparte

Maandiko hayo hapo, sijui kiarabu nimeyaweka kwa kiingereza

Quran-9:29: Fight those who do not profess the true faith (Islam) till they pay the polltax (jiziya) with the hand of humility.
Quran-9:5: Then, when the sacred months have passed, slay the idolaters wherever ye find them and take them captive, and besiege them and prepare for them each ambush….
Quran-47:4: When you meet the unbelievers in the Jihad strike off their heads….
Quran-2:191: And slay (kill) them wherever ye catch them, and turn them out from where they have turned you out such is the reward of those who suppress faith.
Quran-8: 65: O Apostle! Rouse the believers to the fight…(against) unbelievers.

HII NI WAZI HAKUNA ALLAH ALIEMUONGOZA MUHAMMAD. TUANZIE HAPA NALETA NA HOJA ZINGINE

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni roho Mungu sio kitu.

unajua hata unachojengea hoja lakini!!!!
ndio maana nakwambia elewa kwanza kwa undani unachokibishia.

rejea moja hapo juu.
Hiyo roho Ina uhai?

Genesis 3:8, it says, "And they heard the sound of the Lord God walking in the garden in the cool of the day."

Kwenye hili andiko mungu anatembea bustanini na sauti ilisimama akitembea. Kwa hiyo hebu nieleweshe hiyo roho Ina miguu. Maana pia nafahamu tumeumbwa Kwa mfano wake maana yake anaweza kuwa na muundo kama sisi

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Naye huyo nampinga.

Una uthibitisho wa kuonesha yupo?
Ndio nina uthibitisho.
Kwanza, Chukua mfano wa simu yako unayotumia ni wazi kuwa imeundwa na mashine huko viwandani na mashine zimeundwa na binadamu sasa swali ni je mwanadamu Kaumbwa na nani? Hapa ndipo utaona kuna ulazima wa kuwa na mwanzilishi wa kila kitu ambaye ni self sufficient, The most powerful ambaye hategemei the Infinity series kwamaana Yeye ndie Mwanzo wa kila kitu naye ndie Allah.

Pili, Ushahidi wa kuwa kuna Mungu ni wewe mwenyewe i.e you are the proof that God Exist. Look at yourself and asky yourself where you come from and what is your origin.
Lakini pia unapoumwa unaenda kwa daktari kutibiwa kwa kuwa daktari ndiye expert wa magonjwa vivyo hivyo Tumejikuta tumezaliwa na tuna hitaji expert wa kutuelekeza jinsi ya kuishi katika dunia, Expert mwenyewe ndie Allah, Kwa maana anasema katika qur an jinsi ya kuishi katika ulimwengu huu kuwa katuumba lengo kubwa ni sisi kumuabudu yeye lakini pia katuelekeza Tusiibe, tusiue, tusile riba n.k vivyo hivyo katuelekeza tupendane, tusitukanane, tutoe sadaka n.k kwa maana hii ni kuwa Allah hapa yeye ndie Aliyeumba dunia na akatuumba sisi hivyo anajua kipi ni kizuri kwetu na kipi ni kibaya na anaijua saikolojia yetu na kweli yale aliyekataza kama kuua, zinaa na mengine tunaona madhara yake hivyo hainabudi sisi kumuamini kuwa kweli yeye ndie Mungu.

Mwisho niseme kuwa hizo ni hoja zangu zinazonifanya nijue kuwa kuna Mungu na Qur an imeeleza kuwa kuna Mungu sasa wewe njoo na hoja zako kuwa kwanini unasema Allah hayupo?
Note: sijakwambia ukosoe hoja zangu nimekwambia njoo na hoja zako za kupinga kuwa Allah hayupo then tuone na hoja zako mimi za kwangu ndio hizo nasubiri za kwako. Kama unataka kupinga hoja zangu sawa lakini toa hoja zako kwanza then utakuja kupinga zangu nasubiri unijibu kwanini unasema hakuna Allah?
 
Kulikua na nyani wenye mikia
Hao nyani wenye mikia wametoka wapi?
Na mbona sasa hivi kuna nyani wenye mikia lakini hawabadiliki kuwa binadamu ? Why evolution stopp??
 
Hiyo roho Ina uhai?
roho bila uhai hiyo sio roho.
kwa asili yake roho ni uhai,hata unapofariki ni roho inayoacha mwili peke yake.
Genesis 3:8, it says, "And they heard the sound of the Lord God walking in the garden in the cool of the day."
so!!!!!
Kwenye hili andiko mungu anatembea bustanini na sauti ilisimama akitembea. Kwa hiyo hebu nieleweshe hiyo roho Ina miguu. Maana pia nafahamu tumeumbwa Kwa mfano wake maana yake anaweza kuwa na muundo kama sisi
roho si tu ina miguu,hii roho ya Mungu sehemu nyingi sana imeonekana na maumbo mbali mbali.
hata ikitaka kuingia kwenye fridge likaanza kuongea inawezekana.

so usishtuke sana kusikia hatua za Mungu bustanini,sauti pia ilisikika na hujauliza kama Mungu ana koo,umesahau au???
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom