Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

Hebu nieleze hayo mema na mabaya tunayajuaje? Kwa utashi wetu wenyewe tuliopewa (free will) au mungu ndio anaamua sisi tunafata tu? (kumbuka hakosei na hapingwi). Na huyo mungu mtoa maelezo ni mmoja Kwa dini zote? maana kuna baadhi ya dini zinasema kitu fulani sio chema zingine zinasema ni chema

Kuna sect za hinduism zinasema kula nyama ya n'gombe ni dhambi. Kwa utashi wetu kama wanadamu kula n'gombe sio tatizo ila kama watu wa hinduism wako sahihi mungu wao ni wa kweli wote tunaokula tunaenda motoni. Sasa hata nikiwa na free will ya kuchagua niajuaje taratibu sahihi anazozitaka huyo mungu kama kuna maelfu ya dini yana tueleza tofauti kipi kizuri na kipi ni dhambi?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
😂Atakuambia fata ya Muhammad muoa watoto
 
Chukua mfano umeona kitu kipya ambacho hujawahi kukiona kabla unaweza kujua hicho ni kitu gani kwa utashi wako au kwa maelezo kutoka kwa aliyekiunda hicho kitu?.
Logically lazima aliekiunda akupe maelezo juu ya kile alichokiunda na ndio maana ukienda kununua dawa utakuta karatasi ya maelezo na utayafuata huwezi sema mimi nakunywa tu kwa utashi wangu, Vivyo hivoo Mungu ndie aliyeumba dunia na maelezo ya jinsi ya kuishi duniani yeye ndie anayetoa, kwa maana hiyoo ata kujua mema na mabaya ni Mungu ndio anatuambia sio utashi wako. Hapo nimekujibu swali lako la kwanza.
Nije kwenye swali lako la pili, Kuhusu Mbona sasa dini zinatofautiana, Kwanza unatakiwa uelewe dini kutofautiana sio sababu ya Mungu kutokuwepo chukua mfano pia hapa ... Akija mtu akakwambia kuwa unga wa mahindi ni dawa ya malari, mwingine akasema malafin ni dawa ya malaria, Kwa kuwa hawa watu wametofautiana juu ya dawa ya malaria hatuwezi kusema malaria haipo bali ni jukumu letu kutafuta ni ipi ndio dawa ya malaria The same kwenye dini ni jukumu letu kutafuta ni ipi dini ya kweli na haki mbele za Mungu na kwakukusaidia dini hiyo ni uislamu. Hivyo yale yote ambayo uislamu umekataza itakuwa ni mabaya and vice versa.
Asa we ni muislam ndo maana unasema hivyo . Na kila dini ndo inasema Ina maandiko ya Mungu mwenyewe na wengine wote ni waongo...ni sawa ninunue dawa afu nakuta karatasi elfu moja kila moja Ina maelezo yake...ehe unafanyaje apo..😂au unachukua yenye maandishi ya kiarabu
 
Zimepitia process ya authentication...huwezi andika kitabu Cha science au history Leo afu kiwe Cha uwongo afu kipitishwe..Ila bible waliweza coz ni faith based system ...unaamini tu hata Kama ni ujinga na uongo
rejea swali ulilolinukuu.na hata kama umeamua kuacha akili nyumbani bado utakumbuka ktk science kuna theory kibao zipo ktk maandishi lakini ni uongo wa wazi,mfano darwinism ktk evolution.

na bado mpaka dkk hii theory ambayo ina make sense ktk zote juu ya mwanzo wa dunia ni hii ya dini tu.sio bigbang wala nyingine hizo.
 
Acha uwongo...Kama ndo hivyo..nitajie mtu kifo chake recent ambacho kwenye mainstream media wanachanganya cause of death
mbona unabishana kama mtu anayerusha ngumi bila kutazama wapi anapiga!!!unarusha ngumi hewani.

mainstream media ukiifananisha na nini kwa kifo cha yuda miaka 2000 iliyopita??
..hata Hitler kifo chake kinajulikana dunia nzima...acha kusingizia miaka...
huyu huyu hitler kifo chake bado hakifahamiki,kuna dhana 2 kubwa,moja alitumbukia ktk acid,nyingine ni kwamba alitorokea amerika.

huyo Mungu muweza yote hakuona Hilo tatizo..
tatizo gani??
 
rejea swali ulilolinukuu.na hata kama umeamua kuacha akili nyumbani bado utakumbuka ktk science kuna theory kibao zipo ktk maandishi lakini ni uongo wa wazi,mfano darwinism ktk evolution.

na bado mpaka dkk hii theory ambayo ina make sense ktk zote juu ya mwanzo wa dunia ni hii ya dini tu.sio bigbang wala nyingine hizo.
😂😂😂Hujui maana ya theory. Gravity ni theory, Kama ni uwongo jitupe ghorofani Kama huanguki... Theory sio hypothesis elewa...theory of demand and supply, elewa maana ya theory ndo uje
 
😂Sio kazi yangu mi kujua mti umetoka wapi unanisaidia Nini kwa mfano..nitakufa nisipojua au, nitaumwa?
lakini unataka kujua ukweli wa madai ya watu wa dini unafikiri utakupeleka wapi??ikiwa hata hujui wapi unaelekea😅😅
 
mbona unabishana kama mtu anayerusha ngumi bila kutazama wapi anapiga!!!unarusha ngumi hewani.

mainstream media ukiifananisha na nini kwa kifo cha yuda miaka 2000 iliyopita??

huyu huyu hitler kifo chake bado hakifahamiki,kuna dhana 2 kubwa,moja alitumbukia ktk acid,nyingine ni kwamba alitorokea amerika.

tatizo gani??
😂😂😂Hizo ni rumors..cause of death ni kwamba alijiua..hizo ni story za mtaani ni sawa bongo waseme magu alilogwa wakati kifo chake kinajulikana official ni nini...Sasa bible Ina story za mtaani kibao ndo maana kila kitabu kina story yake...huwezi kitegemea Kama reference
 
Mimi binafsi nilikuwa naamini mungu yupo ila nikaja kugundua ni hadithi tu za alinacha za kutunga zisizo na ukweli wowote.

Biblia ni kitabu kilichotungwa na watu. Quran kama inavyoeleza yenyewe iliandikwa na watu ambao hawakufika hata darasa la pili, thinking yao ni kama ya watoto wa chekechea.

Mungu hayupo, ni hadithi tu zisizo na kichwa wala miguu.
Mungu (mother nature) yupo lakini Mungu anayekaa kwenye kiti cha enzi, huyo hayupo.

NB: Tubakie na imani zenu, huku tukiheshimu za wengine pia.
 
😂😂😂Hujui maana ya theory. Gravity ni theory, Kama ni uwongo jitupe ghorofani Kama huanguki... Theory sio hypothesis elewa...theory of demand and supply, elewa maana ya theory ndo uje
kaisome theory niliyokutajia usikurupuke kujibu😅😅.

sio kila theory imethibitika ktk vipimo vya kisayansi ili kukubalika,ndio sababu kwenye topic ya genetics kuna thana karibia 4 za mwanzo wa ulimwengu,zimeandikwa zote kwenye vitabu vya sayansi.

ila kuprove sasa.😡😡
 
lakini unataka kujua ukweli wa madai ya watu wa dini unafikiri utakupeleka wapi??ikiwa hata hujui wapi unaelekea😅😅
😂😂😂Yaani mtu yeyote anaweza akaja akasema nimetokewa na Allah sijui Yahweh anataka mfanye hivi...it's too easy .ndo dini na makanisa yanavyoanzishwa .kina zumaridi sijui devi hivyo hivyo... it's too easy afu watu walivyokua wajinga wanafata tu...so siwezi kukaa kubishana na mtu sijui dunia imetokea wapi...even if it demands creator sio lazma awe wa kitabu chako Cha chai na juice
 
kaisome theory niliyokutajia usikurupuke kujibu😅😅.

sio kila theory imethibitika ktk vipimo vya kisayansi ili kukubalika,ndio sababu kwenye topic ya genetics kuna thana karibia 4 za mwanzo wa ulimwengu,zimeandikwa zote kwenye vitabu vya sayansi.

ila kuprove sasa.😡😡
Bora niamini something that makes sense kuliko a naked couple in a magical garden with a talking snake...hii ni story za watoto wa chekechea
 
😂😂😂Hizo ni rumors..cause of death ni kwamba alijiua..hizo ni story za mtaani ni sawa bongo waseme magu alilogwa wakati kifo chake kinajulikana official ni nini
official kwa maana ya tangazo la serikali ama kwa maana ya uhalisia!!!!

...Sasa bible Ina story za mtaani kibao ndo maana kila kitabu kina story yake...huwezi kitegemea Kama reference

unataka kutegemea kama reference ukiwa unatafiti jambo gani??la kiimani ama kihistoria??
 
uligunduaje mkuu kwamba ni hadithi za kutunga!!!

wewe umetunga kitabu gani???

vipi historia ya mkwawa na kinje nayo unaionaje si ni hadithi iliyotungwa pia au???
Ndugu Ndg.Evil Geius, from now on you are no longer Evil Genius but Fool Evil.My God forgive you 🤔
 
Ndio nina uthibitisho.
Kwanza, Chukua mfano wa simu yako unayotumia ni wazi kuwa imeundwa na mashine huko viwandani na mashine zimeundwa na binadamu sasa swali ni je mwanadamu Kaumbwa na nani? Hapa ndipo utaona kuna ulazima wa kuwa na mwanzilishi wa kila kitu ambaye ni self sufficient, The most powerful ambaye hategemei the Infinity series kwamaana Yeye ndie Mwanzo wa kila kitu naye ndie Allah.

Pili, Ushahidi wa kuwa kuna Mungu ni wewe mwenyewe i.e you are the proof that God Exist. Look at yourself and asky yourself where you come from and what is your origin.
Lakini pia unapoumwa unaenda kwa daktari kutibiwa kwa kuwa daktari ndiye expert wa magonjwa vivyo hivyo Tumejikuta tumezaliwa na tuna hitaji expert wa kutuelekeza jinsi ya kuishi katika dunia, Expert mwenyewe ndie Allah, Kwa maana anasema katika qur an jinsi ya kuishi katika ulimwengu huu kuwa katuumba lengo kubwa ni sisi kumuabudu yeye lakini pia katuelekeza Tusiibe, tusiue, tusile riba n.k vivyo hivyo katuelekeza tupendane, tusitukanane, tutoe sadaka n.k kwa maana hii ni kuwa Allah hapa yeye ndie Aliyeumba dunia na akatuumba sisi hivyo anajua kipi ni kizuri kwetu na kipi ni kibaya na anaijua saikolojia yetu na kweli yale aliyekataza kama kuua, zinaa na mengine tunaona madhara yake hivyo hainabudi sisi kumuamini kuwa kweli yeye ndie Mungu.

Mwisho niseme kuwa hizo ni hoja zangu zinazonifanya nijue kuwa kuna Mungu na Qur an imeeleza kuwa kuna Mungu sasa wewe njoo na hoja zako kuwa kwanini unasema Allah hayupo?
Note: sijakwambia ukosoe hoja zangu nimekwambia njoo na hoja zako za kupinga kuwa Allah hayupo then tuone na hoja zako mimi za kwangu ndio hizo nasubiri za kwako. Kama unataka kupinga hoja zangu sawa lakini toa hoja zako kwanza then utakuja kupinga zangu nasubiri unijibu kwanini unasema hakuna Allah?
😂Fyn tufanye tumeumbwa...hizo sheria za huyo mwarabu mjinga tunajuaje ni za Mungu
 
Hao nyani wenye mikia wametoka wapi?
Na mbona sasa hivi kuna nyani wenye mikia lakini hawabadiliki kuwa binadamu ? Why evolution stopp??
Umeishi duniani miaka mingapi..Kama ni less than a million. Then goodbye sir
 
😂😂😂Yaani mtu yeyote anaweza akaja akasema nimetokewa na Allah sijui Yahweh anataka mfanye hivi...it's too easy .ndo dini na makanisa yanavyoanzishwa .kina zumaridi sijui devi hivyo hivyo... it's too easy afu watu walivyokua wajinga wanafata tu...so siwezi kukaa kubishana na mtu sijui dunia imetokea wapi...even if it demands creator sio lazma awe wa kitabu chako Cha chai na juice
ndio maana nitakusihi kwamba mambo usiyoyaamini yasikuumize kichwa,sababu once you stape in utakula za uzo sababu unajaribu kuingiza dhana zako ambazo hazifanyi kazi huko.

sisi wenzako mtu akisema katokewa na Mungu tunasubiri ishara za kimungu.wewe unasubiri akuletee chakula mezani.
 
Ulianza vizuri na mfano ila umekuja kuhitimisha vibaya.

Mtu aliyetengeneza simu anathibitishika, na viwanda vipo vinathibitishika.

Elimu ya utengenezaji simu ipo na inafundishwa.

Kwa maana hiyo ukisikia kauli kuwa simu imetengenezwa basi moja kwa moja hiyo ni fact based on proof.

Sasa unaposema mtu aliumbwa, rejea yako inakuwa nini?

Kuna kiwanda chochote ambacho kinafanya uumbaji wa watu ili tutumie hiyo kama reference?

Je kuna uumbaji wowote ambao umewahi kushuhudiwa au kurekodiwa ambao uko supoorted na uthibitisho ili kweli tukubali uumbaji upo na hivyo watu wameumbwa?
Swali zuri sana
 
Back
Top Bottom