Ndio nina uthibitisho.
Kwanza, Chukua mfano wa simu yako unayotumia ni wazi kuwa imeundwa na mashine huko viwandani na mashine zimeundwa na binadamu sasa swali ni je mwanadamu Kaumbwa na nani? Hapa ndipo utaona kuna ulazima wa kuwa na mwanzilishi wa kila kitu ambaye ni self sufficient, The most powerful ambaye hategemei the Infinity series kwamaana Yeye ndie Mwanzo wa kila kitu naye ndie Allah.
Pili, Ushahidi wa kuwa kuna Mungu ni wewe mwenyewe i.e you are the proof that God Exist. Look at yourself and asky yourself where you come from and what is your origin.
Lakini pia unapoumwa unaenda kwa daktari kutibiwa kwa kuwa daktari ndiye expert wa magonjwa vivyo hivyo Tumejikuta tumezaliwa na tuna hitaji expert wa kutuelekeza jinsi ya kuishi katika dunia, Expert mwenyewe ndie Allah, Kwa maana anasema katika qur an jinsi ya kuishi katika ulimwengu huu kuwa katuumba lengo kubwa ni sisi kumuabudu yeye lakini pia katuelekeza Tusiibe, tusiue, tusile riba n.k vivyo hivyo katuelekeza tupendane, tusitukanane, tutoe sadaka n.k kwa maana hii ni kuwa Allah hapa yeye ndie Aliyeumba dunia na akatuumba sisi hivyo anajua kipi ni kizuri kwetu na kipi ni kibaya na anaijua saikolojia yetu na kweli yale aliyekataza kama kuua, zinaa na mengine tunaona madhara yake hivyo hainabudi sisi kumuamini kuwa kweli yeye ndie Mungu.
Mwisho niseme kuwa hizo ni hoja zangu zinazonifanya nijue kuwa kuna Mungu na Qur an imeeleza kuwa kuna Mungu sasa wewe njoo na hoja zako kuwa kwanini unasema Allah hayupo?
Note: sijakwambia ukosoe hoja zangu nimekwambia njoo na hoja zako za kupinga kuwa Allah hayupo then tuone na hoja zako mimi za kwangu ndio hizo nasubiri za kwako. Kama unataka kupinga hoja zangu sawa lakini toa hoja zako kwanza then utakuja kupinga zangu nasubiri unijibu kwanini unasema hakuna Allah?