Aza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2010
- 1,700
- 236
yani umeniua mbavu sina sikutegemea kucheka kwa sauti ivi,umewaqza nini?CCM inawatakia jioni njema.
yani umeniua mbavu sina sikutegemea kucheka kwa sauti ivi,umewaqza nini?CCM inawatakia jioni njema.
hahaaaa jana niliandka hvy kwenye group la familia wakani remove,yani umeniua mbavu sina sikutegemea kucheka kwa sauti ivi,umewaqza nini?
Mpe talaka dada ake.Yaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
Hahahahaha waombe samahanihahaaaa jana niliandka hvy kwenye group la familia wakani remove,
aiseee walikasirika nini?dah umewaza nini kiongozi naiyo sentensi yakoyani umeniua mbavu sina sikutegemea kucheka kwa sauti ivi,umewaqza nini?
Mkuu Godee jr ushauri ni huu japo waweza kuwa hauna manufaa kwako, hebu mwachie Mungu, mlilie Mungu anayejua jasho ulivyolipata, nakuhakikishia Mungu hatakutupa atakupatia riziki nyingine na nyumba yako itaisha utahamia. Huyo shemeji yako hata ukisema ugombane naye italeta ugomvi mkubwa hadi kwa dada yako na wapwa zako.Yaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
Duuh pole sana mkuu? Ilikuaje?Aisee kwenye suala la pesa sitakaa nimuamini mtu yeyote... Mpaka leo bado nina majeraha ya dhuluma niliyodhulumiwa mwezi wa 5. Almanusura nilazwe, niliumwa mno...
Duuh pole sana mkuu? Ilikuaje?
Daah, usijali mkuuAcha tu ndugu, sitaki kukumbuka...
Ingekua mimi angenikoma huyo shemeji, hao watoto na dada wakafie mbeleMfikirie Dada yako kwanza na watoto
Wee kama mimi mkuu,Nimelizwa mpaka sasa simuamini mtu yeyote Yule yaani yeyote Kama ni pesa nitatoa lakini Sio kukopesha
Roho mbaya haijengiIngekua mimi angenikoma huyo shemeji, hao watoto na dada wakafie mbele
Nshakua mwema sana mwishowe wanaishia kuniumiza tuu,Roho mbaya haijengi
Hahahahaaaa mkuu nilkuwa na huzuni ya ajali ya meli ila komenti yako imenichekesha balaa. Utaroga mmoja mmojaNshakua mwema sana mwishowe wanaishia kuniumiza tuu,
Hapa natafuta mganga wa uhakika nianze kuwaloga mmoja baada ya mwingine wawe mashoga haswa.
Acha tu mkuu, kuna watu wanakera kinyamaHahahahaaaa mkuu nilkuwa na huzuni ya ajali ya meli ila komenti yako imenichekesha balaa. Utaroga mmoja mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nshakua mwema sana mwishowe wanaishia kuniumiza tuu,
Hapa natafuta mganga wa uhakika nianze kuwaloga mmoja baada ya mwingine wawe mashoga haswa.
Kwahiyo ulikwichi kwichi chini??Mimi kuna jamaa ndugu yangu nilimpa hela laki 4 anichongee kitanda kizur cha mninga maana nilikuwa nataka kufunga harus kwanza jamaa kaniambia nisimharakishe ana kaz nyingi atakuwa anatengeneza pole pole nikasema poa maana hata harus ilikuwa bado so nikamuacha kama mwez baadae akaniita kaniambia njoo uchek bed lako dah nikaenda nikakuta ni kizur mnoo nikafurah afu kaniambia niazime laki nifanyie finishing ya kitanda ntakurudishia cku unakuja kubeba kitanda nikampa jumla ikawa laki tano, sasa ikawa kama vile ndo nimekiona kwa mara ya mwisho yaan harus inakaribia namwambia jamaa nipe kitanda anasema kitanda bado mpaka nikaowa na mpaka leo hii hata cm yangu hapokei nishampotezeaga tuu