Ndukidi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,500
- 1,303
Ushauri mbaya utalipishwa hela nyingi sana na vitu wala havikuwapo uharibifu nk.Kodisha gari(fuso)nenda nalo ofisini kwake;ukifika beba kila utakachokikuta hapo from vifaa vya ufundi mpk bidhaa za wateja wengjne kama madirisha,milango,masofa then peleka kwako,wateja wakianza kumsumbua khs bidhaa zao jamaa lazima akuibukie kwako.
Then hakuna kumpa bidhaa yoyote ya mteja mpk akamilishe hivyo vitu vyako tena anatengenezea hapo hapo kwako,kuwa mbabe kwny hili ni muhimu boss.
Tenga wiki 1 ya kusimamia zoezi hili then leta feedback hapa mkuu,it works.
Ukitaka nenda polisi, au fanya hivi chini ya uongozi wa serikali ya mtaa na mashahidi kikubwa fuata sheria.