Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,202
Nimelizwa mpaka sasa simuamini mtu yeyote Yule yaani yeyote Kama ni pesa nitatoa lakini Sio kukopesha
Mkuu comment yako imenichekesha sana...mama angu mimi kanitapeli milioni mbili mwaka huuhuu...hata huwa hainiumiDuuh!! Hivi shuhuda zote hizi kuna siku nitaja tapeliwa kizembe tena na watu uchwara wanaojiita ndugu zangu? Haitokaa itokee asee!
Labda mama yangu ndo anitapeli maana mpaka umri huu sina ndugu wa dhati kama yeye! Yeye hata aje ale 50M zangu haitaniuma!
Ndugu wengine siwakopi hela bali nitawapa as a grant na haitozidi 10k maana hata asiporudisha haitoniuma kivile!
Mkuu alimroga au alichanganyikiwa?Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee
TiririkaKwa kuwa nimesamehe tu na ninamwomba Mungu anipe neema ya kusahau vinginevyo ningetiririka hapa mpaka asubuhi
Msaidie sana kuiunganisha familia yakeAnaona aibu sana ingawa najaribu kumtafuta
Leo hii nimepita karibu na nyumba yake ya zamani ingawa nasikia haishi tena na mke wake, na watoto watakuwa wamekuwa sasa maana ni kitambo
Mali sio kila kitu ila uungwana ni muhimu sana you never know nani atakusaidia siku moja katika maisha yako kwani hatujui ya kesho.
Nashukuru kwa kuliona hilo
Usifanye hiviHahahahaha wazo zuri hili
Ntafanya hivyo mkuuMsaidie sana kuiunganisha familia yake
Mwenyenzi Mungu Mkuu amekupa vingi sana toka ulipopoteza
Unamoyo wakimalaika sana ndugu yangu
🤣🤣🤣🤣kwakweli inauma kuuwaamini ndugu unaweza kujinyonga, inaniuma mno kwa hasara hii nakumbuka ilikuwa tarehe 12/7/2015 na baadae 25/10/2015 nikamwamini mtu wangu wa karibu Magufuli tukampa nchi kwakweli yanayoendelea mungu ndo anajua
cc tindo
Kweli mkuuWala usikubali. Wengine ni matapeli tu mjini hapa, wanajifanya mafundi kumbe sio.
Mwambie dadako akomae na mumewe akulipe vifaa vyako, bila hivyo unavunja udugu!!
peleka polisi alipe usisamehe hiyo helaYaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
peleka polisi alipe usisamehe hiyo helaYaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
matapeli kazini, huku usimwamini mtu kabisa,Duuh. Kwa nusu bei tena Mkuu. So ndio mwanzo wa kuniletea milango ya mbao ambazo kesho tu mchwa wamefanya makazi. Tatizo sio being Bali quality
Utaenda kwa mganga uumroge,kumbe mwenzio ni fundi zaidi. Yanakurudia wewe mwenyewe,unazidi pata hasara na maumivu.Dunia ya leo mtu akinitapeli nafuu nifanye ushirikina nimuue tu
Inahuzunisha!Kuna jamaa hapa mtaani kwetu alikuwa japan anapiga kazi akawa anamtumia kaka yake magari auze alafu pesa afungulie biashara kaka mtu akawa anatuma mapicha ya miradi mikubwa tu bc kule japan dogo alizaa na raia wa huko kukatokea ugomvi na huyo mzazi mwenzie dogo akapiga hesabu za akaona bongo anamiradi mikubwa tu bora arudi hom siku anafika bongo anakuta hakuna hata mia wakagombana na kaka yake sana kaka mtu akaona isiwe kesi akamloga mdogo ake mpk leo jamaa kawa chizi kbc aisee
Hahaha, nimecheka hapo "subiri"Kuna jamaa mmoja wa iringa nilimtumia hela anunue Mzigo wa watu atume sehem, (2,300,000) akawa ananikwepa nnikipiga simu hapokei mara anidanganye, anachukulia advantage yangu kuwa nje ya Tanzania ananiletea ujinga nishaweka mitego yangu atasoma namba , subir
Kama haina maandishi mtafutie jini kutoka Bagamoyo narabuku zake huyo!Yaani hapa sijui hata nifanyeje. Ni shemeji yangu kabisa. Wakati naanza ujenzi alikuwa ni mshauri Wangu lakini najuta. Kwanza aliniambia kuweka dirisha za grill ni gharama sana ila kwa kuwa yeye ni Fundi seremala atanitengenezea madirisha ya mbao kwa 150,000 kila moja. Alalamba hela ya dirisha zote, hela ya from za milango na hela ya top wakati naanza msingi. Hadi napaua hajanikabidhi Kazi hata moja. Nikamsamehe hela ya madirisha laki 9 Ili anitengezee vitu vilivyobaki. Hamuwezi kuamini ndugu zangu Leo Fundi wanamalizia Skimming bila kuweka fremu za milango wala top zake. Hapa nimekaa nawaza nimfanyeje. Naombeni ushauri wenu wakuu. Nimfanyeje kama amechukua zaidi ya Million 2 na sijapata Kazi hata moja
Kama ni mimi hapo najali changu tu! Maswala ya ushemeji sijui wapwa au mapenzi yao na dada ni kivyaovyao wala mimi hainihusuMkuu kama ni hivyo pole sana maana mpira uko kwa maadui tena golini kwako!
Ikishindikana tafuta wazee wa kwao wenye busara na hekima walishukhulikie hilo!Kwani ukimbana sana anaweza kukutesea dadako pamoja na wanae( wajomba zako) kama kigezo cha kukutuliza!