Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

Nataka kuwa MONK kwa baadae, no family ties and totally disconnected from this crazy world.
So kifo changu kinikute nikiwa nafanya Meditation kwenye yale Ma temple makubwa ya Buddha, utulivu na natural sounds soothing my mind while my soul is departing out of my body.
 
 Kumbafuuuuuuuuuuu🤣🤣🤣

Sijui niambie why
Kwa sababu nikifa nataka nile mabikra 72 kwa raha zangu (zana ya kuwala mabikra iko chini ya kiuno). Pia nataka niwe nakula kitimoto ningali hai (mudomo uko juu ya kiuno).

Are we together?
 
Tunashauriwa tufe kifo cha matumaini kwamba utapokelewa na Mungu baba kutokana na maisha uliyoishi kama ulitimiza mapenzi yake.Anayeogopa kifo hajui kama atapokelewa katika ufalme wake.Mungu atusaidie kuishi sawasawa na mapenzi yake ili tusiogope kifo kitakapopiga hodi
 
Kila la kheri mkuu🙏
 
Sio kweli. Wapo watu wema wamekufa vifo vya simanzi sana. Maisha hayana formula ndugu yangu.

Refer: kifo cha mchungaji Christopher Mtikila, Dkt. Mvungi Sengodo, Prof. Juan Mwaikusa etc.
Una uhakika walikuwa wema??
 
Amen 🙏
 
Mimi naomba Allah ajalie mwisho wangu uwe ktk ibada niipendayo ya tahajud mida ya saa tisa au kumi before morning ana niwe ktk hali ya total Submission kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…