Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Kwenye kifo ndo naogop tuu kuchomwa nilisikiliza yule jamaa anayechoma watu makumbusho anasema ni approx 40mio sasa hiyo mpk niwe tajiri kweli kweli ili nikifa niwe na wosia kwamba 40mio zitumike kuniunguza na sio kuchangishana tena,,Hiii hua mbaya sana
Vizuri sana
Kushindiliwa kifusi unaogopa
So bora moto
anyway kama unaweza waambie ndugu zako
Usijitutie furahia maisha
Umesema upo 30 na zaidi kwanini tayari umesema umekinai maisha kwa umri huo?Jukwaa huru mkuu,
Unaweza kuuliza usiwe na shaka na privacy yangu, nitakujubu yaliyopo ndani ya uwezo wangu.
Karibu
Heh kwema mkuu?Asante Mke wangu hw punda wa Bara watawaza kufa hd wafe vibudu
Zanzibar iyeeeee
Mkuu hiyo kusema wanaokujua wanajua moyo wako sidhani kama ni kweli, kwenye hiyo story yangu huyo babu alitaka afe mwenyewe ila bibi akataka waende wote, mwisho wao uwe wa pamoja. End of the day kaenda mmoja huku mume akifa akiamini mpendwa wake yuko nyuma yake kumbe ndio hivyo mioyo tofauti.sijui kama itawezekana kubadili huu mtazamo wako
Mf: mimi kwa wanaonijua wanajua moyo wangu ulivyo clean kabisa
siwezi sipendi kuumiza wengine
Wala kushiriki kua sehemu ya mtu yoyote kuumia nakusahihisha kua mawazo yako hayana ukweli wowote
So ningekuomba tu mkuu kama unavyowaza future yako
Basi usiache kuwaza na mwisho wako
@Marcostilone ongezea hapa k
Kua kupenda mwisho wako uwaje ni siri yako, sioni kama ni vizuri kushare. Kwa dunia ilivyo sasa unaweza kuuawa kwa style upendayo ikaonekana ndivyo uliwish kifo chake kiwe hivyo na ukizingatia vyombo vyetu vya usalama vilivyo vya hovyo.Hii story yako ina funzo lipi
Au inahusiana vipi na hii mad
Kuna maradhi yakiingia mwilini hata kama ulijiandaa vipi kifo kitakuwa cha maumivu makali sana, maana unaweza kulala kitandani mwaka au zaidi unapambania uhai ambao unatoweka.Kifo ni kujiandaa, ukitaka ufe kifo cha amani bila kelele basi jitahidi kuishi maisha mema
Ooh sawa mkuu you never knowKwenye kifo ndo naogop tuu kuchomwa nilisikiliza yule jamaa anayechoma watu makumbusho anasema ni approx 40mio sasa hiyo mpk niwe tajiri kweli kweli ili nikifa niwe na wosia kwamba 40mio zitumike kuniunguza na sio kuchangishana tena,,
Eniwei
Ni kweli madamOoh sawa mkuu you never know
Any time can happen
Hebu nyooka baasiMkuu hiyo kusema wanaokujua wanajua moyo wako sidhani kama ni kweli, kwenye hiyo story yangu huyo babu alitaka afe mwenyewe ila bibi akataka waende wote, mwisho wao uwe wa pamoja. End of the day kaenda mmoja huku mume akifa akiamini mpendwa wake yuko nyuma yake kumbe ndio hivyo mioyo tofauti.
Kwa mawazo haya naomba nikutakie wakati mwema brother 🙏🙏🙏Wewe utawaza hivyo ila wapendwa wako huenda wakatafsiri tofauti.
Kua kupenda mwisho wako uwaje ni siri yako, sioni kama ni vizuri kushare. Kwa dunia ilivyo sasa unaweza kuuawa kwa style upendayo ikaonekana ndivyo uliwish kifo chake kiwe hivyo na ukizingatia vyombo vyetu vya usalama vilivyo vya hovyo.
Nimejikuta nacheka sana 😁Sio vibaya kuwaza ufe vipi ila sio vizuri zaidi kushare unapenda ufe vipi.
Hatari sana babu dahKuna maradhi yakiingia mwilini hata kama ulijiandaa vipi kifo kitakuwa cha maumivu makali sana, maana unaweza kulala kitandani mwaka au zaidi unapambania uhai ambao unatoweka.
So, unaweza kuishi maisha mema sana, ila mwisho ukawa wa taabu tupu.
Hapana Mkuu napingana na wewe kwenye hili, ukiishi maisha mema, hata mabaya yanakaa mbali na wewe, ukiwa mtu wa haki, usiyenyanyasa wenzako mabaya yanakuwa mbali na wewe amini hilo, utakufa katika uzee mwemaKuna maradhi yakiingia mwilini hata kama ulijiandaa vipi kifo kitakuwa cha maumivu makali sana, maana unaweza kulala kitandani mwaka au zaidi unapambania uhai ambao unatoweka.
So, unaweza kuishi maisha mema sana, ila mwisho ukawa wa taabu tupu.
YesNi kweli madam
Kwa hiyo wanaopata saratani(vifo vya saratani visikie nyumba ya tano) wote waliishi maisha mabaya? Kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu tunasoma "nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne" unaelewaje hapo?Hapana Mkuu napingana na wewe kwenye hili, ukiishi maisha mema, hata mabaya yanakaa mbali na wewe, ukiwa mtu wa haki, usiyenyanyasa wenzako mabaya yanakuwa mbali na wewe amini hilo, utakufa katika uzee mwema
Kuna jirani aliumwa saratani alikatwa matiti yote mawili aliteseka sanaKwa hiyo wanaopata saratani(vifo vya saratani visikie nyumba ya tano) wote waliishi maisha mabaya?
Hii sasa ni mada nyingine kabisa babu ngoja niiacheKwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu tunasoma "nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne" unaelewaje hapo?
Mie nimemuua nani sasa ?Sawa
but usiue wengine
Kila la kheri
Haujamalizia huo mstari, anasema nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao, kwani chanzo cha saratani nini mkuu?Kwa hiyo wanaopata saratani(vifo vya saratani visikie nyumba ya tano) wote waliishi maisha mabaya? Kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu tunasoma "nitawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne" unaelewaje hapo?
Hiyo saratani aliirithi?Kuna jirani aliumwa saratani alikatwa matiti yote mawili aliteseka sana
Na sikuona ubaya wake aliokua nao hata akateseka vile aiseee
apmzike kwa amani
Hii sasa ni mada nyingine kabisa babu ngoja niiache
Na ndio maana hasa ya kupatilizwa maovu ya wazee wetu, tunalipia makosa ya vizazi vilivyopita, tunarithi magonjwa hatari waliyopata wazee wetu, sukari, moyo, shinikizo la damu, saratani nk. Mtu anapata saratani ana miaka 35 tu, kuna baya gani huyu mtu kafanya ili apitie maumivu makali namna hii kukatwa matiti yote?Kuna jirani aliumwa saratani alikatwa matiti yote mawili aliteseka sema
Na sikuona ubaya wake aliokua nao hata akateseka vile aiseee
apmzike kwa amani
Hii sasa ni mada nyingine kabisa babu ngoja niiache
Nimekwambia umemuua mtu?Mie nimemuua nani sasa ?
Sina uhakika na hilo mkuuHiyo saratani aliirithi?
😅😅 dahNimekwambia umemuua mtu?
Wewe umesema hutaki kufa na hutakufa pia
Ndio nikasema basi kama ni hivyo
Na wewe usiue mwingine na hata sio kwa ubaya wala
Kama umeelewa vibaya samahani