Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Japo mmeanza kuingiza mzaha lakini tiba hiyo ni tiba maarufu kwa jamii ya Mongolian Race hasa wajapan na wachina. Well it's all about science, hakuna uchawi wala ushirikina!

Afya ya mtu inategemea chakula chake kama kawaida yetu wabongo tunakula chakula ili kujaza tumbo bila kufuata ulaji sahihi hivyo inapelekea mgandamano wa mavyakula na Cholesterol kibao mwilini. Sasa tumbo lako kama haliko vizuri lazima Utendaji wa mwili utadorora, ndio maana tuka ukiwa mtoto hua wanapiga bomba... Magonjwa mengi yanayotokana na tumbo kama bengu, ngiri, shurua nk hudhibitiwa.

Sasa kwenyw nguvu za kiume kama nilivyo sema ulaji wetu mbaya hupelekea mgandamano wa mavyakula tumboni na mafuta kwenye mishipa. Nguvu za kiume zinategemea na damu yako maana dyudyu lahitaji damu ilikusimama kama mishipa itakua na mafuta haitasimama kwa ufanisi.

So kuna dawa ukizitumia una zinaondoa maduta hayo tumboni na kwenye mishipa na kuongeza ufanisi wa homoni ya Dihydroxyphethylamine. Hapo unaweza kwenda hata siku nzima bila kuchoka
Nimesema tatizo kubwa ni jinsi dawa inavyowekwa inatia ukakasi mzaha uko wapi we nae nitolee utakatifu wako
 
Huo utamaduni upo sana Kigoma wanapigwa hiyo kitu tangu utotoni mpaka utu uzima, kwa lengo la kutibu magonjwa na kuongeza nguvu za kiume, hata wanawake wa huko wanapigwa bomba nasikia inaongeza nguvu sana kwa bed,, tatizo ni njia yake hiyo inatia ukakasi sana
Duhh kupigwa Bomba la nukta fiche na kunyunyuziwa maji, Kuna tofauti gani na kuingiziwa pipe na kumwagiwa? Hapa Kuna ukakasi sio Bure.
 
Japo mmeanza kuingiza mzaha lakini tiba hiyo ni tiba maarufu kwa jamii ya Mongolian Race hasa wajapan na wachina. Well it's all about science, hakuna uchawi wala ushirikina!

Afya ya mtu inategemea chakula chake kama kawaida yetu wabongo tunakula chakula ili kujaza tumbo bila kufuata ulaji sahihi hivyo inapelekea mgandamano wa mavyakula na Cholesterol kibao mwilini. Sasa tumbo lako kama haliko vizuri lazima Utendaji wa mwili utadorora, ndio maana tuka ukiwa mtoto hua wanapiga bomba... Magonjwa mengi yanayotokana na tumbo kama bengu, ngiri, shurua nk hudhibitiwa.

Sasa kwenyw nguvu za kiume kama nilivyo sema ulaji wetu mbaya hupelekea mgandamano wa mavyakula tumboni na mafuta kwenye mishipa. Nguvu za kiume zinategemea na damu yako maana dyudyu lahitaji damu ilikusimama kama mishipa itakua na mafuta haitasimama kwa ufanisi.

So kuna dawa ukizitumia una zinaondoa maduta hayo tumboni na kwenye mishipa na kuongeza ufanisi wa homoni ya Dihydroxyphethylamine. Hapo unaweza kwenda hata siku nzima bila kuchoka
Hiyo njia inatia ukakasi. Kwani hawawezi kumeza hiyo dawa?
 
Why? Kwanini watu wanapenda kunihusisha na utakatifu aisee?
See, mimi hata sikukulenga wewe kua ndio umesema mzaha. Nilisemea comment ya watu8.
Btw dawa hizo hupitia njia hiyo maana baadhi can't be drinked or swallowed coz you might be dead! Why????
Coz ukiinywa itafanyiwa diegestion na kuingia kwenyeFigo +Blood circulation... You won't survive it. Unapopiga bomba dawa haifiki tumboni bali kwenye Rectum au Utumbo mpana.

Kwa unavotetea lazima wewe ni mtu wa kigoma tu
 
Hebu tueleze mkuu, naona una idea kidogo kuhusu hii issue
Niliwahi shuhudia watoto wanapigwa hiyo kitu kipindi hicho ndo corona imeanza tu,, yanaruka kama mpira wa maji uliopasuka nikawa nashangaa wenyeji wakanishawishi na mimi eti nipigwe bomba nikakataa aisee,,

Wanasema hata mgonjwa akipigwa hiyo kitu anapata nafuu na nguvu,😲

Tembea uone, duniani kuna mambo
 
Why? Kwanini watu wanapenda kunihusisha na utakatifu aisee?
See, mimi hata sikukulenga wewe kua ndio umesema mzaha. Nilisemea comment ya watu8.
Btw dawa hizo hupitia njia hiyo maana baadhi can't be drinked or swallowed coz you might be dead! Why????
Coz ukiinywa itafanyiwa diegestion na kuingia kwenyeFigo +Blood circulation... You won't survive it. Unapopiga bomba dawa haifiki tumboni bali kwenye Rectum au Utumbo mpana.
hawawezi kuiwekea coating ili ikaanzie kufanya kazi kwenye rectum? No other way 🤔🤔
 
Why? Kwanini watu wanapenda kunihusisha na utakatifu aisee?
See, mimi hata sikukulenga wewe kua ndio umesema mzaha. Nilisemea comment ya watu8.
Btw dawa hizo hupitia njia hiyo maana baadhi can't be drinked or swallowed coz you might be dead! Why????
Coz ukiinywa itafanyiwa diegestion na kuingia kwenyeFigo +Blood circulation... You won't survive it. Unapopiga bomba dawa haifiki tumboni bali kwenye Rectum au Utumbo mpana.
Unajifanyaga malaika mtukufu sometime unakera,

Kujifanya unatupa habari za china na japan ili tuone ishu ya kupigwa bomba ni veeeery spesho,, inasaidia sikatai ila bado njia yake ni ngumu sana kuwekewa bomba mkunduni unafikiri ni sahihi,, ungekuja na njia nyingine mbadala hapo sawa

Nimekujibu bila kusoma comment yako yote, sipendagi hata kujibishana na wewe
 
Niliwahi shuhudia watoto wanapigwa hiyo kitu kipindi hicho ndo corona imeanza tu,, yanaruka kama mpira wa maji uliopasuka nikawa nashangaa wenyeji wakanishawishi na mimi eti nipigwe bomba nikakataa aisee,,

Wanasema hata mgonjwa akipigwa hiyo kitu anapata nafuu na nguvu,😲

Tembea uone, duniani kuna mambo
Hii inanifanya niwaangalie kwa jicho jingine wenyeji wa kigoma
 
Unajifanyaga malaika mtukufu sometime unakera,

Kujifanya unatupa habari za china na japan ili tuone ishu ya kupigwa bomba ni veeeery spesho,, inasaidia sikatai ila bado njia yake ni ngumu sana kuwekewa bomba mkunduni unafikiri ni sahihi,, ungekuja na njia nyingine mbadala hapo sawa

Nimekujibu bila kusoma comment yako yote, sipendagi hata kujibishana na wewe
Kama kuna njia nyingine sawa hiyo hapana 😁😁😁
 
Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
😁😁😁😁,nawaza kwa nyumba zetu za mjini itabidi uondoe watu wote nyumbani. Wasipatwe na majitaka
 
Back
Top Bottom