Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Hao nilishuhudia walikuwa watoto sasa sipati picha jivi la mtu mzima inakuwaje,, waliniambia kuwa wakwenda km mie walikuwa wanapigwa bomba wanakunya,, fresh maisha yanaenda hawaoni km ni ajabu kabisa๐๐๐๐,nawaza kwa nyumba zetu za mjini itabidi uondoe watu wote nyumbani. Wasipatwe na majitaka