Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.

Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.

Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.

Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
njia hiyo hutumika kujisafisha mtu akiwa na shoo kwa mpalange
 
lazima ubon'goe🙄🙄🙄hapana ilinishinda
Kama mbuni kajificha

1672688262502.png
 
Hawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafute
FB_IMG_16726890908180805.jpg

Hiyo hapo,, umeona kiuno kilivyobinuliwa ndivyo na wapigwa bomba inabidi wabong'oe namna hiyo hiyo, kumbuka pia matako hupekenyuliwa ili tundu lionekane,, sasa hapo ndo panapokuwa pagumu na kitendo cha bomba kuingizwa dawa kumiminwa na kuchomolewa,,,, aaaaahh kiukweli nilichoka niliuliza maswali mengi ila na wao walinishangaa ukubwa wote sijapigwa bomba waliniona kama mchafu mara nitakuwa naumwa mgongo sana nk
 
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.

Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.

Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.

Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
jamani jamani subirini basi tumalize hata wiki
 
Hawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafuteView attachment 2467165

Hiyo hapo,, umeona kiuno kilivyobinuliwa ndivyo na wapigwa bomba inabidi wabong'oe namna hiyo hiyo, kumbuka pia matako hupekenyuliwa ili tundu lionekane,, sasa hapo ndo panapokuwa pagumu na kitendo cha bomba kuingizwa dawa kumiminwa na kuchomolewa,,,, aaaaahh kiukweli nilichoka niliuliza maswali mengi ila na wao walinishangaa ukubwa wote sijapigwa bomba waliniona kama mchafu mara nitakuwa naumwa mgongo sana nk
Duh, hii hatari! Wanatumia kilainishi au😁😁😁😂Watu wa kigoma heshima kwenu, Kina Mondi +Kiba 😂
 
hii sio zamani
hadi sasa ukanda wa kigoma na katavi inafanyika
wao wanaita kujiinika, mara ya kwanza nilishangaa jamaa ana dalili za marelia akanambia ngoja akachukue dawa ajiinike (kupiga bomba)
ko wanafanya sana sio zamani hadi leo
Wakipatwa na Malaria? Kwanini wasitumie mseto?
 
Hawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafuteView attachment 2467165

Hiyo hapo,, umeona kiuno kilivyobinuliwa ndivyo na wapigwa bomba inabidi wabong'oe namna hiyo hiyo, kumbuka pia matako hupekenyuliwa ili tundu lionekane,, sasa hapo ndo panapokuwa pagumu na kitendo cha bomba kuingizwa dawa kumiminwa na kuchomolewa,,,, aaaaahh kiukweli nilichoka niliuliza maswali mengi ila na wao walinishangaa ukubwa wote sijapigwa bomba waliniona kama mchafu mara nitakuwa naumwa mgongo sana nk
Ila wee msenge ni comedian, unachekesha kishenzi utavunja watu mbavu
 
Ishu yenyewe inafurahisha,, sina ukomedi wowote,, sasa ukiwa eneo la tukio, wenyeji wanakuwa bize na serious wenyewe na waona ufahari kufanya hivyo,, mgeni unakuwa umetumbua macho ukilinganisha tukio lenyeww na ishu za kugeuzana nyuma halafu wao hawaoni ishu kabisa,,, aisee nilishangaa sana sana yani,
 
Back
Top Bottom