Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njia hiyo hutumika kujisafisha mtu akiwa na shoo kwa mpalangeKigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Wao wanaona ni fahariSiwezi kukubali mwanaume wangu au kijana wangu afanyiwe ivo
Hawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafute
Hadi hapo uwemba hauna marinda
jamani jamani subirini basi tumalize hata wikiKigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
UmwiniroWenyewe wanaitwa Mwino kama sio Mwano [emoji23]
Duh, hii hatari! Wanatumia kilainishi au😁😁😁😂Watu wa kigoma heshima kwenu, Kina Mondi +Kiba 😂Hawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafuteView attachment 2467165
Hiyo hapo,, umeona kiuno kilivyobinuliwa ndivyo na wapigwa bomba inabidi wabong'oe namna hiyo hiyo, kumbuka pia matako hupekenyuliwa ili tundu lionekane,, sasa hapo ndo panapokuwa pagumu na kitendo cha bomba kuingizwa dawa kumiminwa na kuchomolewa,,,, aaaaahh kiukweli nilichoka niliuliza maswali mengi ila na wao walinishangaa ukubwa wote sijapigwa bomba waliniona kama mchafu mara nitakuwa naumwa mgongo sana nk
Wakipatwa na Malaria? Kwanini wasitumie mseto?hii sio zamani
hadi sasa ukanda wa kigoma na katavi inafanyika
wao wanaita kujiinika, mara ya kwanza nilishangaa jamaa ana dalili za marelia akanambia ngoja akachukue dawa ajiinike (kupiga bomba)
ko wanafanya sana sio zamani hadi leo
Ila wee msenge ni comedian, unachekesha kishenzi utavunja watu mbavuHawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafuteView attachment 2467165
Hiyo hapo,, umeona kiuno kilivyobinuliwa ndivyo na wapigwa bomba inabidi wabong'oe namna hiyo hiyo, kumbuka pia matako hupekenyuliwa ili tundu lionekane,, sasa hapo ndo panapokuwa pagumu na kitendo cha bomba kuingizwa dawa kumiminwa na kuchomolewa,,,, aaaaahh kiukweli nilichoka niliuliza maswali mengi ila na wao walinishangaa ukubwa wote sijapigwa bomba waliniona kama mchafu mara nitakuwa naumwa mgongo sana nk
Inakuwa kama "kimputu" eti mkuu??Hamsini putuka
Kilainishi gani,, hivyo hivyo mie kibomba nilichoona hakikuwa kipana sana kama vile viplastick vinavyowekwa kwenye pipi vijiti au kuzidi hapo kidogoDuh, hii hatari! Wanatumia kilainishi au😁😁😁😂Watu wa kigoma heshima kwenu, Kina Mondi +Kiba 😂
Kwamba ni kadogo 😂😂😂hii kitu siwezi lengo ni zuri lakini hiyo njia ni EXIT ONLY Hakuna ENTRANCE 🚱🚩Kilainishi gani,, hivyo hivyo mie kibomba nilichoona hakikuwa kipana sana kama vile viplastick vinavyowekwa kwenye pipi vijiti au kuzidi hapo kidogo
Ishu yenyewe inafurahisha,, sina ukomedi wowote,, sasa ukiwa eneo la tukio, wenyeji wanakuwa bize na serious wenyewe na waona ufahari kufanya hivyo,, mgeni unakuwa umetumbua macho ukilinganisha tukio lenyeww na ishu za kugeuzana nyuma halafu wao hawaoni ishu kabisa,,, aisee nilishangaa sana sana yani,Ila wee msenge ni comedian, unachekesha kishenzi utavunja watu mbavu