Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Ni utamaduni wao mkuu, Napata shida Sana mtu mnaheshimiana vizuri kumbe kajipiga bombaKabwela mzito na aje hapa kukanusha vinginevyo tutaamini kuwa ni kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utamaduni wao mkuu, Napata shida Sana mtu mnaheshimiana vizuri kumbe kajipiga bombaKabwela mzito na aje hapa kukanusha vinginevyo tutaamini kuwa ni kweli.
Huo nao ni utamaduni wa Mtanzania?Ishu yenyewe inafurahisha,, sina ukomedi wowote,, sasa ukiwa eneo la tukio, wenyeji wanakuwa bize na serious wenyewe na waona ufahari kufanya hivyo,, mgeni unakuwa umetumbua macho ukilinganisha tukio lenyeww na ishu za kugeuzana nyuma halafu wao hawaoni ishu kabisa,,, aisee nilishangaa sana sana yani,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni utamaduni wao mkuu, Napata shida Sana mtu mnaheshimiana vizuri kumbe kajipiga bomba
Mtoa maada anataka niwachukulie vipi marafiki zangu wa kigoma?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yeah tatizo njia ya kuweka hiyo dawa ndo kakasi,, vinginevyo ni tiba nzuri maana kitoto kilikuwa hoi kweli, siku tatu hatukulala ndani,, mie mgeni maza mtu mgonjwa na wanae,, mie ndo nilikuwa nakesha na kubeba mtoto,, wakawa wakija majirani nasikia wanasisitiza kuinika kuinika ndo maza mtu jioni yake na kikosi wakafanya zoezi,, nikatoka nje maana sikutaka hata kushuhudia kesho yake ndo nikakaza kushuhudia eeeh ni shughuli si mchezo,, kinyesi kilivyolipuka kama bomu,, 😲Kwamba ni kadogo 😂😂😂hii kitu siwezi lengo ni zuri lakini hiyo njia ni EXIT ONLY Hakuna ENTRANCE 🚱🚩
Wa huko Kigoma sie wengine hautuhusuHuo nao ni utamaduni wa Mtanzania?
Wakiwa hapa mjini wanainikia wapi,Majumbani kwao au? 😂Nyumba zina Siri kubwaYeah tatizo njia ya kuweka hiyo dawa ndo kakasi,, vinginevyo ni tiba nzuri maana kitoto kilikuwa hoi kweli, siku tatu hatukulala ndani,, mie mgeni maza mtu mgonjwa na wanae,, mie ndo nilikuwa nakesha na kubeba mtoto,, wakawa wakija majirani nasikia wanasisitiza kuinika kuinika ndo maza mtu jioni yake na kikosi wakafanya zoezi,, nikatoka nje maana sikutaka hata kushuhudia kesho yake ndo nikakaza kushuhudia eeeh ni shughuli si mchezo,, kinyesi kilivyolipuka kama bomu,, 😲
Je ikiwa hiyo ndiyo option tu bila hivo anakufa??Siwezi kukubali mwanaume wangu au kijana wangu afanyiwe ivo
Nimewaza hilo pia… haitakuwa sawa tena 🤣🤣🤣🤣🤣Mtoa maada anataka niwachukulie vipi marafiki zangu wa kigoma?
Singida wanaita Ndulele.Wenyewe wanaita mwano/ mwino
Cc Mshana Jr
Hakuna hayo mamboHivi wandengereko hawana hii kitu?
Mambo ya kisenge hayo 🤣😂🤣🤣Hawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafuteView attachment 2467165
Hiyo hapo,, umeona kiuno kilivyobinuliwa ndivyo na wapigwa bomba inabidi wabong'oe namna hiyo hiyo, kumbuka pia matako hupekenyuliwa ili tundu lionekane,, sasa hapo ndo panapokuwa pagumu na kitendo cha bomba kuingizwa dawa kumiminwa na kuchomolewa,,,, aaaaahh kiukweli nilichoka niliuliza maswali mengi ila na wao walinishangaa ukubwa wote sijapigwa bomba waliniona kama mchafu mara nitakuwa naumwa mgongo sana nk
Najaribu kuwaza lile sindano ni single use only, ama wanashare Hawa jamaa.🤣🤣Kigoma nako hakuishiwi vituko.
Yani principle yangu ni moja tu kwamba huko nyuma ni njia ya kutole sio kuingizia. Yani hata kama ni kidogo mithili ya sindano huko hakuna kupitisha
Niliona ni la kushare wanaosha kwa kuchemsha kitu kama hicho kwahiyo unakuta mtaani wenye vibomba ni wachache na wanajulikanaNajaribu kuwaza lile sindano ni single use only, ama wanashare Hawa jamaa.🤣🤣
Dooh hii mbna hatar sana,Niliona ni la kushare wanaosha kwa kuchemsha kitu kama hicho kwahiyo unakuta mtaani wenye vibomba ni wachache na wanajulikana