Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Ishu yenyewe inafurahisha,, sina ukomedi wowote,, sasa ukiwa eneo la tukio, wenyeji wanakuwa bize na serious wenyewe na waona ufahari kufanya hivyo,, mgeni unakuwa umetumbua macho ukilinganisha tukio lenyeww na ishu za kugeuzana nyuma halafu wao hawaoni ishu kabisa,,, aisee nilishangaa sana sana yani,
Huo nao ni utamaduni wa Mtanzania?
 
Kwamba ni kadogo 😂😂😂hii kitu siwezi lengo ni zuri lakini hiyo njia ni EXIT ONLY Hakuna ENTRANCE 🚱🚩
Yeah tatizo njia ya kuweka hiyo dawa ndo kakasi,, vinginevyo ni tiba nzuri maana kitoto kilikuwa hoi kweli, siku tatu hatukulala ndani,, mie mgeni maza mtu mgonjwa na wanae,, mie ndo nilikuwa nakesha na kubeba mtoto,, wakawa wakija majirani nasikia wanasisitiza kuinika kuinika ndo maza mtu jioni yake na kikosi wakafanya zoezi,, nikatoka nje maana sikutaka hata kushuhudia kesho yake ndo nikakaza kushuhudia eeeh ni shughuli si mchezo,, kinyesi kilivyolipuka kama bomu,, 😲
 
Wakiwa hapa mjini wanainikia wapi,Majumbani kwao au? 😂Nyumba zina Siri kubwa
 
Hawajabong'oa vizuri hao,, kuna picha ngoja niitafuteView attachment 2467165

Hiyo hapo,, umeona kiuno kilivyobinuliwa ndivyo na wapigwa bomba inabidi wabong'oe namna hiyo hiyo, kumbuka pia matako hupekenyuliwa ili tundu lionekane,, sasa hapo ndo panapokuwa pagumu na kitendo cha bomba kuingizwa dawa kumiminwa na kuchomolewa,,,, aaaaahh kiukweli nilichoka niliuliza maswali mengi ila na wao walinishangaa ukubwa wote sijapigwa bomba waliniona kama mchafu mara nitakuwa naumwa mgongo sana nk
Mambo ya kisenge hayo 🤣😂🤣🤣
 
Hivi hapo unaongeza au unapunguza nguvu!??

Swali la kijiuliza ni kwamba wanapigwa Bomba kila baada ya muda gani?

Maana Hii ni hatar sana!!!💉
 
Hivi hapo unaongeza au unapunguza nguvu!??

Swali la kijiuliza ni kwamba wanapigwa Bomba kila baada ya muda gani?

Maana Hii ni hatar sana!!!💉
 
Back
Top Bottom