Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
Wacha nichekeHadi hapo uwemba hauna marinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha nichekeHadi hapo uwemba hauna marinda
Unashangaa Kaja mwanamama na zigo lake kuinika 😂😂😂Au mwanaume wa Dar anayetafuta nguvuNiliona ni la kushare wanaosha kwa kuchemsha kitu kama hicho kwahiyo unakuta mtaani wenye vibomba ni wachache na wanajulikana
Mila hatarishiSingida wanaita Ndulele.
Ni hatari sana kuharisha kwa muda mrefu kwasababu hiyo, unapoteza maji na madini chumvi, unaweza kupoteza maisha. Baadhi ya dawa za kienyeji zinaharibu figo, tumepoteza watu wengi tu. L
I salute you boyIla kuna wazee humu duuh wakiongozwa na huyu mmh😁😁🙌🙌🙌🙌
Thanks father, mpe hi mzee mwenzio naona bado yupo kijiweni kwake Biafra Kinondoni😁😁😁I salute you boy
😂😂😂Ilikuwa utani maana hicho kipindi kulikuwa na homa kali nchini,,kingine nafuu ya yule mtoto ilinipa nguvu kwamba kuinika ni tiba konki, tatizo njia inayotumika bado ilinipa mashaka sana😂😂😂😂ushakuwa fundi ukataka, utest mitambo?
Hahaha 🤣🤣🤣 balaa,, walinisimulia wapo wanaume wasio wa huko walienda wakainikwa ili kupata nguvu na walizipata kwa mujibu wao nikasema iiihiiiii🙄🙄Hili tatizo la nguvu za kiume litawatokea watu puani
Hapo sasa nikawa naimagine mwemye zogo kuja kulipata tundu ili ainikwe hapo inakuwaje!!! Labda ujiinike ila km si mzoefu dawa haiingii vizuri kwahiyo happ ni mpk mtu akuwekeeUnashangaa Kaja mwanamama na zigo lake kuinika 😂😂😂Au mwanaume wa Dar anayetafuta nguvu
😁😁😁😁wanarudi kupiga show, Siri yao wanaijua wenyeweHahaha 🤣🤣🤣 balaa,, walinisimulia wapo wanaume wasio wa huko walienda wakainikwa ili kupata nguvu na walizipata kwa mujibu wao nikasema iiihiiiii🙄🙄
😂😂😂😂,Mnakesha kuingiza dawaHapo sasa nikawa naimagine mwemye zogo kuja kulipata tundu ili ainikwe hapo inakuwaje!!! Labda ujiinike ila km si mzoefu dawa haiingii vizuri kwahiyo happ ni mpk mtu akuwekee
Hata ingekuwa ukiinikwa unapata hel,, tatizo zoezi husika linachachafya uvue nguo zote,, ubon'goe 🙄, ,,,,, __ uharishe na mwisho kabisa usafishe kinyesi,,, si kudhalilishana huko sasa😁😁😁😁wanarudi kupiga show, Siri yao wanaijua wenyewe
🤣🤣🤣😂😂😂😂,Mnakesha kuingiza dawa
Haulali Leo 😂😂😂niDM mkuu
Shida yote hiyo ya nini ,,ili tu kumridhisha mwanamke ,,binafsi hua naridhika na hua nakua na furaha sana nikiwa na pesa kuliko kitu chochote....Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.
Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.
Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.
Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Sina wa kunibong'oa, usingizi nao sina bora niwakumbuke waha watani zangu hawa walinitoa ushambaHaulali Leo 😂😂😂niDM mkuu
Hisia huondoa akili. Watu wa Kigoma hawajui hiloShida yote hiyo ya nini ,,ili tu kumridhisha mwanamke ,,binafsi hua naridhika na hua nakua na furaha sana nikiwa na pesa kuliko kitu chochote....
Ngoja tumshitue nanilihiii yule wa ACT WazalendoSina wa kunibong'oa, usingizi nao sina bora niwakumbuke waha watani zangu hawa walinitoa ushamba
Kwa sauti ya mwendazakeHahaha 🤣🤣🤣 balaa,, walinisimulia wapo wanaume wasio wa huko walienda wakainikwa ili kupata nguvu na walizipata kwa mujibu wao nikasema iiihiiiii🙄🙄