Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Hadi hapo uwemba hauna marinda
Wacha nicheke
IMG-20221231-WA0004.jpg
 
Aaaah dah! aisee kwisha kazi, oi wakuu mwanaume kinachotakiwa kupita pale ni haja tu ikiwa inatoka.
 
Unashangaa Kaja mwanamama na zigo lake kuinika 😂😂😂Au mwanaume wa Dar anayetafuta nguvu
Hapo sasa nikawa naimagine mwemye zogo kuja kulipata tundu ili ainikwe hapo inakuwaje!!! Labda ujiinike ila km si mzoefu dawa haiingii vizuri kwahiyo happ ni mpk mtu akuwekee
 
😁😁😁😁wanarudi kupiga show, Siri yao wanaijua wenyewe
Hata ingekuwa ukiinikwa unapata hel,, tatizo zoezi husika linachachafya uvue nguo zote,, ubon'goe 🙄, ,,,,, __ uharishe na mwisho kabisa usafishe kinyesi,,, si kudhalilishana huko sasa
 
Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume.

Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza mchanganyiko huo na kujiingizia kwenye njia ya haja kubwa.

Baada ya muda fulani, hupatwa na tumbo la kuhara ambapo uharisha mafuta kwa siku nzima hadi ikate yenyewe.

Baada ya hapo wanaamini ufanisi kitandani huongezeka sana.
Shida yote hiyo ya nini ,,ili tu kumridhisha mwanamke ,,binafsi hua naridhika na hua nakua na furaha sana nikiwa na pesa kuliko kitu chochote....
 
Back
Top Bottom