Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
KavuuMg[emoji3064] wanatumia kilainishi ama kavkav?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KavuuMg[emoji3064] wanatumia kilainishi ama kavkav?
Naaam mkuu😁😁😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuuu!!!!
Huwezi waza ngono ukawa na maendeleoHuu ubunifu tungeutumia kuwaza vitu vya kiteknolojia tungekuwa mbali
Kaamua kuwa mbishi tu kama jina la ugonjwa aliojiita
Walisema inatibu chango, ngiri, kuongeza nguvu za kiume na hata za kike,, hii ishu ni ngumu watu kutoa ushuhuda sababu itaonekana marinda hawana ila kwa mujibu wa wale wenyeji wangu kule ni utamaduni lazima upigwe bomba kama njia ya kuweka mwili sawasawa, inazuia kuugua ovyo ovyo pia,,Aisee, kwahiyo hiyo dawa inachuruzika kwenye mfereji wa kunduh hadi tumboni?
Msikubali kuolewa na WAHA.. mwisho wa siku mtagombania MUME.
Kitu Ngesi hiyoHao wanapenda na wameshanigewa na utamaduni wa kupigwa mabomba.
Kisa cha kupigwa mabomba nini wakati wanasai wana dawa inafanya kazi zaidi ya hiyo ya kupigwa bomba.
Dawa ya Wamasai inakuvurugua tumbo hasa, utaharisha siku nzima, yaani wewe chooni utapaona ndiyo the best place on earth.
Comment deleted!
Comment deleted!
MaweeeeeeeeeeeUnaweza ukafikiri ni Bomba la sindano ukiwa unashangaashangaa unakuta heee![emoji44][emoji15][emoji15][emoji15] Kumbe Bomba la nyama na unamwagiwa ndani mayonnaise.
Mkuu sisi tumeitumia sana bush na lengo lake jingine ni kutibu Amoeba. Inasaidia nguvu za kiume kwani kisababishi komojawapo cha hilo suala ni Amoeba iliyokomaa na ya muda mrefuWalisema inatibu chango, ngiri, kuongeza nguvu za kiume na hata za kike,, hii ishu ni ngumu watu kutoa ushuhuda sababu itaonekana marinda hawana ila kwa mujibu wa wale wenyeji wangu kule ni utamaduni lazima upigwe bomba kama njia ya kuweka mwili sawasawa, inazuia kuugua ovyo ovyo pia,,
Kwa macho yangu yule mtoto ilitakiwa alazwe kabisa lakini baada ya kupigwa hiyo kitu alipata nafuu ya ajabu sana kama vile kile kinyesi ndo kilikuwa kinamletea kuugua, sijui kina uhusiano gani hapo na mtoto alikuwa anaumwa malaria, kikohozi ni zile homa za watoto
Ni tiba tatizo njia tu🙄🙄ila nikipatwa tatizo nitaitumia hiyo tiba itabidi tu siwezi kupingaMkuu sisi tumeitumia sana bush na lengo lake jingine ni kutibu Amoeba. Inasaidia nguvu za kiume kwani kisababishi komojawapo cha hilo suala ni Amoeba iliyokomaa na ya muda mrefu
Uko sawa sawa mkuu, hawaingizi syringe, tena maeneo mengine tulitumia hizi syringe za mahospitalini za mls 5 au 10.Kwani mgoja ni nomba lote au kaseme tu cha mbele kalichochongoka kuingizia sindano..sidhani kama ni bomba lote
Mkuu, kwanza hawaingizi syringe yote. Na sisi kule kwetu hata ukiingiziwa dawa, inachukua muda kidogo ndo sasa choo inakuwa partner wako. Nakumbuka tulikuwa tuna mabeseni ili vyumbani li siku ya kuwekewa dawa uwaachie wanafamilia nafasi ya kutumia chooNi tiba tatizo njia tu🙄🙄ila nikipatwa tatizo nitaitumia hiyo tiba itabidi tu siwezi kupinga
Kama na wanawake wanapigwa kuongeza nguvu hili nakubali.Huo utamaduni upo sana Kigoma wanapigwa hiyo kitu tangu utotoni mpaka utu uzima, kwa lengo la kutibu magonjwa na kuongeza nguvu za kiume, hata wanawake wa huko wanapigwa bomba nasikia inaongeza nguvu sana kwa bed,, tatizo ni njia yake hiyo inatia ukakasi sana
Mi sikuona 💉, ila kilikuwa kibomba cha plastic chembamba hivi kuzidi mdomo wa 💉,Mkuu, kwanza hawaingizi syringe yote. Na sisi kule kwetu hata ukiingiziwa dawa, inachukua muda kidogo ndo sasa choo inakuwa partner wako. Nakumbuka tulikuwa tuna mabeseni ili vyumbani li siku ya kuwekewa dawa uwaachie wanafamilia nafasi ya kutumia choo
Walisisitiza sana kuhusu hilo la kuongeza nguvu za kimwiliKama na wanawake wanapigwa kuongeza nguvu hili nakubali.
Kulala na mwanamke wa kigoma inahitaji nguvu za kiume za kutosha sana vinginevyo utamkimbia na boxa mikononi.
Na masharti yake lazima izame hadi hapo mwenye 500 ndiyo unapress mchongo.Kama hii ndio sindano ya ng'ombe basi mpaka hapa asilimia 100 marinda wameyapoteza
View attachment 2466919