Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Aisee, kwahiyo hiyo dawa inachuruzika kwenye mfereji wa kunduh hadi tumboni?

Msikubali kuolewa na WAHA.. mwisho wa siku mtagombania MUME.
Walisema inatibu chango, ngiri, kuongeza nguvu za kiume na hata za kike,, hii ishu ni ngumu watu kutoa ushuhuda sababu itaonekana marinda hawana ila kwa mujibu wa wale wenyeji wangu kule ni utamaduni lazima upigwe bomba kama njia ya kuweka mwili sawasawa, inazuia kuugua ovyo ovyo pia,,

Kwa macho yangu yule mtoto ilitakiwa alazwe kabisa lakini baada ya kupigwa hiyo kitu alipata nafuu ya ajabu sana kama vile kile kinyesi ndo kilikuwa kinamletea kuugua, sijui kina uhusiano gani hapo na mtoto alikuwa anaumwa malaria, kikohozi ni zile homa za watoto
 
Hao wanapenda na wameshanigewa na utamaduni wa kupigwa mabomba.
Kisa cha kupigwa mabomba nini wakati wanasai wana dawa inafanya kazi zaidi ya hiyo ya kupigwa bomba.
Dawa ya Wamasai inakuvurugua tumbo hasa, utaharisha siku nzima, yaani wewe chooni utapaona ndiyo the best place on earth.
Kitu Ngesi hiyo
 
Kwani mgoja ni nomba lote au kaseme tu cha mbele kalichochongoka kuingizia sindano..sidhani kama ni bomba lote
 
Walisema inatibu chango, ngiri, kuongeza nguvu za kiume na hata za kike,, hii ishu ni ngumu watu kutoa ushuhuda sababu itaonekana marinda hawana ila kwa mujibu wa wale wenyeji wangu kule ni utamaduni lazima upigwe bomba kama njia ya kuweka mwili sawasawa, inazuia kuugua ovyo ovyo pia,,

Kwa macho yangu yule mtoto ilitakiwa alazwe kabisa lakini baada ya kupigwa hiyo kitu alipata nafuu ya ajabu sana kama vile kile kinyesi ndo kilikuwa kinamletea kuugua, sijui kina uhusiano gani hapo na mtoto alikuwa anaumwa malaria, kikohozi ni zile homa za watoto
Mkuu sisi tumeitumia sana bush na lengo lake jingine ni kutibu Amoeba. Inasaidia nguvu za kiume kwani kisababishi komojawapo cha hilo suala ni Amoeba iliyokomaa na ya muda mrefu
 
Ni tiba tatizo njia tu🙄🙄ila nikipatwa tatizo nitaitumia hiyo tiba itabidi tu siwezi kupinga
 
Kwani mgoja ni nomba lote au kaseme tu cha mbele kalichochongoka kuingizia sindano..sidhani kama ni bomba lote
Uko sawa sawa mkuu, hawaingizi syringe, tena maeneo mengine tulitumia hizi syringe za mahospitalini za mls 5 au 10.
 
Ni tiba tatizo njia tu🙄🙄ila nikipatwa tatizo nitaitumia hiyo tiba itabidi tu siwezi kupinga
Mkuu, kwanza hawaingizi syringe yote. Na sisi kule kwetu hata ukiingiziwa dawa, inachukua muda kidogo ndo sasa choo inakuwa partner wako. Nakumbuka tulikuwa tuna mabeseni ili vyumbani li siku ya kuwekewa dawa uwaachie wanafamilia nafasi ya kutumia choo
 
Huo utamaduni upo sana Kigoma wanapigwa hiyo kitu tangu utotoni mpaka utu uzima, kwa lengo la kutibu magonjwa na kuongeza nguvu za kiume, hata wanawake wa huko wanapigwa bomba nasikia inaongeza nguvu sana kwa bed,, tatizo ni njia yake hiyo inatia ukakasi sana
Kama na wanawake wanapigwa kuongeza nguvu hili nakubali.

Kulala na mwanamke wa kigoma inahitaji nguvu za kiume za kutosha sana vinginevyo utamkimbia na boxa mikononi.
 
Mkuu, kwanza hawaingizi syringe yote. Na sisi kule kwetu hata ukiingiziwa dawa, inachukua muda kidogo ndo sasa choo inakuwa partner wako. Nakumbuka tulikuwa tuna mabeseni ili vyumbani li siku ya kuwekewa dawa uwaachie wanafamilia nafasi ya kutumia choo
Mi sikuona 💉, ila kilikuwa kibomba cha plastic chembamba hivi kuzidi mdomo wa 💉,

Nachokumbuka yule dogo lile bomba lilipokuwa likitolewa tu hapo hapo na kinyesi kinatoka kwa kasi mara ya kwanza yaliruka mpaka miguuni kwa mama yake
 
Kama na wanawake wanapigwa kuongeza nguvu hili nakubali.

Kulala na mwanamke wa kigoma inahitaji nguvu za kiume za kutosha sana vinginevyo utamkimbia na boxa mikononi.
Walisisitiza sana kuhusu hilo la kuongeza nguvu za kimwili
 
Back
Top Bottom