Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

Nimesema tatizo kubwa ni jinsi dawa inavyowekwa inatia ukakasi mzaha uko wapi we nae nitolee utakatifu wako
 
Duhh kupigwa Bomba la nukta fiche na kunyunyuziwa maji, Kuna tofauti gani na kuingiziwa pipe na kumwagiwa? Hapa Kuna ukakasi sio Bure.
 
Hiyo njia inatia ukakasi. Kwani hawawezi kumeza hiyo dawa?
 

Kwa unavotetea lazima wewe ni mtu wa kigoma tu
 
Hebu tueleze mkuu, naona una idea kidogo kuhusu hii issue
Niliwahi shuhudia watoto wanapigwa hiyo kitu kipindi hicho ndo corona imeanza tu,, yanaruka kama mpira wa maji uliopasuka nikawa nashangaa wenyeji wakanishawishi na mimi eti nipigwe bomba nikakataa aisee,,

Wanasema hata mgonjwa akipigwa hiyo kitu anapata nafuu na nguvu,😲

Tembea uone, duniani kuna mambo
 
hawawezi kuiwekea coating ili ikaanzie kufanya kazi kwenye rectum? No other way πŸ€”πŸ€”
 
Unajifanyaga malaika mtukufu sometime unakera,

Kujifanya unatupa habari za china na japan ili tuone ishu ya kupigwa bomba ni veeeery spesho,, inasaidia sikatai ila bado njia yake ni ngumu sana kuwekewa bomba mkunduni unafikiri ni sahihi,, ungekuja na njia nyingine mbadala hapo sawa

Nimekujibu bila kusoma comment yako yote, sipendagi hata kujibishana na wewe
 
Hii inanifanya niwaangalie kwa jicho jingine wenyeji wa kigoma
 
Kama kuna njia nyingine sawa hiyo hapana 😁😁😁
 
Kwao ni utamaduni na asiepigwa bomba wanamuona km ni mchafu,, ni aina flani ya kuflash mwili,, na kitendo cha kuimimina dawa tu kunduni ni papo hapo kinyesi kinamwagika kwahiyo kule kundu lilipoelekezwa hakai mtu vinginevyo utakula kinyesi
😁😁😁😁,nawaza kwa nyumba zetu za mjini itabidi uondoe watu wote nyumbani. Wasipatwe na majitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…