Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Shida ni kwamba Mungu Hakuletei Umekaa Unatafuta mwenyewe.
Hakika, Mungu anakuongoza na kukuonesha njia sahihi utakayoiendea anasema atakushauri jicho lake likikutazama.
 
Wanaokataa ndoa ndio wapiga nyeto pia mwisho wa siku vinyeo vyao vitawasha na watatafuta watu wa kuwakuna.
Endeleeni tu kukataa ndoa siku mbaya zaja.
 
Utapata amani ya moyoni ukiwa nae bila wasiwasi wowote

Yaani utaondoa ile dhana ya kutomwamini.
Kimsingi Mwenyewe kuna bint namwamini sana na Naeza oa hata sahii, She is Perfect. Ila in General Hakuna waolewaji saivi siwez tumia Mwanamke mmoja kuwasafisha wote.
 
Inawezekana hakuoneshwa, alijionesha mwenyewe au alifuata tamaa zake mwenyewe.
Tamaa zako zitakua juu yake, Sasa ukionyeshwa ambae huna hisia nae mtaishije?

Hivi unaeza muomba Mungu amfanye mtu uliemchagua awe Mke Mwema?
 
2. ✔️ ✔️ Nakubali ndoa halali kwani huu utaratibu wa kuzoa-zoa wanawake au wanaume na kuanza kuzaana hovyo bila kuzingatia taratibu zilizokubalika katika jamii ni chanzo cha machafuko katika Jamii husika.
 
Robert Heriel mwenyewe kasema hapo juu kuwa ameoa!
Na siku zote watu Positivu Wako hivi, Kaoa lakin hatumii hiyo kama sabubu ya Kuhalalisha ndoa. Yaani hajitetei kwanini kaoa. Mtu mjanja mjanja atataka upite alimopita yeye kuna watu wanafagilia ndoa sababu tu washaoa ila uko ndani wanaona Moto.
 
Sasa kwanini uoe mtu anaejikuta anaweza vyote umo ndoani wote mtakua mikia au?
Unadhan nini hatima yako ukioa mwanamke mwenye tamaa ya mali kuliko kujali upendo?

Kwa kua ushaoa nisikuvunje Moyo, Mpende Mke wako Mwombee akuheshim siku zote.
Na wewe kwanini usitafute mwanamke ambaye ataendana na principles zako za kimaisha. Mwenye tatizo ni wewe unayeoa sio anayetaka kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…