Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je, unakubali ndoa au unakataa?

Je ni MSHANA JR au ROBERT HERIEL?


  • Total voters
    136
Ndoa ni jambo la lazima kwa wenye akili timamu kwani hujenga mawazo na misingi imara kwenye usimamizi wa kifamilia.
Ila huon ni chazo cha ukosefu wa furaha mfano mangalie DR MWAKA au masanja
 
Siku mtu akijijibu kwanini Mbinguni hakuna Kuoa wala Kuolewa ndo nitamjibu sili ya Ujinga uliojificha katika ndoa ambao MUNGU hataki kuuona Mbinguni
 
Hoja sio nzito kivip?

Better unakedefend upande tambua wengi wanalelewa na sio wapiga kelele na watunga stori.

Angalia poll mpaka dakika za mwisho utakuja gundua mko wachache sana na utoto ndo unawasumbua.
Anglia nyuzi nyingi za wanaolalamka kuhusu wanawake wengi wao ni wenye ndoa ndio utagundua utoto na ujinga ndio unawasumbua
 
Mwanaume Hutaki kuoa unataka kuolewa? Ushoga unaanzaga hivihiv mwanaume unakimbia majukum unaanza kuvaa wigi
Mkuu nani kakuambia ukiwa hauna ndoa hauna majukumu , kuna Mario mmoja yupo kwenye ndoa mbona ninamlisha yeye na mke wake na watoto wangu wawili na huyo mmoja wakwake, mimi nakataa ndoa kwa mfano hai.
 
Kwani swala ni kuishi na mwanamke au kufunga ndoa,mwanamke mkiishi bila ndoa anakuwa na adabu sana,mimi kaka yangu aliishi na mke wake miaka 7 bila kufunga ndoa,walikuja kuachana miezi minne toka wafunge ndoa
 
Kwani swala ni kuishi na mwanamke au kufunga ndoa,mwanamke mkiishi bila ndoa anakuwa na adabu sana,mimi kaka yangu aliishi na mke wake miaka 7 bila kufunga ndoa,walikuja kuachana miezi minne toka wafunge ndoa
Anakuwa hana assurance
 
Mimi namkubali mshana kwenye nguvu za giza ila kwa hapa Robert amekomaa kiakili kwenye hili .

Mshana Jr ni Kaka yangu Mkuu.
Nina mengi ya kujifunza kutokea kwake.

Kiumri, Mshana ni kizazi cha Nyuma yetu kidogo hivyo yeye kuwa na mawazo ya nguvu za Giza ni Jambo la kawaida kwani wengi WA umri wake kurudi Nyuma wapo hivyo.
 
Back
Top Bottom