Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

Asee situnambiwa ni binadamu na Dolphins tu ndo wanagegedana kwa starehe hao wengine ni kwa kuzaliana tu iyo nyegere niaje ase?

Afu mimi nikigumiana nae porini ntajitahdi nimdake halafu nimfunge nianze kujiachia na jike lake huku yeye anaona, bwege sana uyo nyegere yani anaminyana na K ivo
 
Msiombe kukutana na Nyegele hafai hafai hata kidogo, Kuna Jamaa uliumizwa na huyo mdudu, alipona baada ya kukutana sisi akauwawa, nakumbuka alikufa kwa fimbo ya mti mbaazi, coz alipigwa sana lakni kufa ikawa ngumu, kuna mzee akaja akasema itafutwe fimbo ya mti wa mbaaz iliyokauka ndo apigiwe, na baada ya kumtindika na iyo fimbo akafa kilain sana
 
Afadhali Ngonidema umeleta ushuhuda hapa...Kuna watu walikuwa wanasema hizi ni chai kama chai za kwenye "Vimbweta" vy ule "mdegree"
 
Afadhali Ngonidema umeleta ushuhuda hapa...Kuna watu walikuwa wanasema hizi ni chai kama chai za kwenye "Vimbweta" vy ule "mdegree"
#barafu# nyegele ni Noma zaid ya noma, yan nakumbuka tulikuwa wanaume kumi na kitu, baada ya kufka pale kwa hasira ya kufukuzana na jamaa, akavimba kwa hasira na kila tukimtisha kwa mawe ndo anapndisha hasira akataka kupambana sisi wote pale, yan ni kadogo lakn ni kababe sana
 
Ha ha ha ha ha jamani huyo Nyegere wacha habari zake kabisaaa, huyo mimi nilikutana nae kwa Bibi huko sehemu za Iringa,nikiwa bwana mdogo nimeenda likizo,sasa babu akawa amenambia twende na watoto wa kina shangazi na baba mdogo kuchunga
Tukakutana nako huko porini..maana mi nilikuwa napenda sana asali,sbb nimetoka town kila mtu ananipenda na anataka kuonyesha mwamba,tumeenda tumekuta asali tukapakuwa,tumeenda jua linazama tunarudi zetu kunywesha ng'ombe maji

Ee bwana ee, kumbe kijamaa kinatufatilia nyumanyuma muda mrefu...tumefika home tukasikia mbwa wanalia sana nyuma ya zizi,kwenda tunakuta mbwa wamekula sana kichapo...palikuwa na varangati la kufa mtu,yaani ukongwe wa babu tu ,akasema "Beee mele taa ikisonzo kilipanzingo ipo"

Babu alikuwa mfugaji na mwindaji, akavaa ngozi ngumu kiunoni, akaanza kukabliana nako....It was a fighting of one hr and ahalf

Jamani huyu mdudu msikieni tu, kwanza mbishi halafu mgumu sana kufa...yaani sitaki hata kumkumbuka
 


Wacha uwongo, nyegere hajambii mzinga wa nyuki hata siku moja. Ni kweli kuwa yeye anakula asali na ndiyo maana anaitwa "Honey Badger," ila ikumbukwe kuwa asali si chakula pendwa ama pekee alikacho. Nyegere ni Omnivores maana kwamba anakula kila kitu bila ubaguzi, anakula nyoka tena mambas (koboko) na aina yote ya nyoka bila tatizo kwani ana anti venom inayomfanya asife kutokana na kugongwa na nyoka. Anakula pia wanyama wadogowadogo kama paka hata vitoto vya mbwa na aina zote za ndege mwituni. Akikuta asali anaishambulia bila tatizo na nyuki wala hawamsumbui. Kule kunuka kwake anatumi ile harufu kwa ajili ya ku-mark territories tu au akiwa under threat kutoka kwa wanyama wengine wakubwa kama Simba, chui, fisi, Rock python na wengineo. Anawajambia kuwatishia.
 
Duh! Huyu Nyegele noma, but nadhani hawezi fanya kitu kwa wanaume wa Dar!...

Mkuu ile mada inaendelea mdogo mdogo, wapo wanaosema Kuna ulakini kwa mujibu wa video, wengine wanasema waafrika kila kifo tunakitafutia sababu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…