Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Hahahahaaahhhh yule Mzee lazima alikuwa anachoma sio Bure🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuna yule engineer aliulizwa we unaweza kujenga nyumba yako bila lifti,akajibu nyumba yangu sio for public use.
Magufuli alikuwa anasema hakuna sababu ya kuweka lift. Engineer akamwambia wanaweka kwa sababu majengo yote ya serikali yenye gharofa yanatakiwa kuwa na lift. Ni sheria. Magufuli akamuuliza ingekuwa nyumba yako ungeweka lift? Akajibu nyumba yangu siyo ya public.
 
Kuna yule albino aliongea mengi sana na Ile lafudhi yake ya kikurya.....

Akawatuhumu uongozi wa maaskari magereza kua wana mihuri ya ikulu πŸ˜…πŸ˜…

Jamaa akaenda mbali zaidi Kwa KUSEMA ukiwa Mwanaharakati au mjuaji unapoumwa unachomwa sindano ya SUMU very sad 😒

Pia akaomba JPM amuhakikishie uhai wake maana Watamuua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…