Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

Na haikupita muda jamaa akaachiwa huru ila inaonekana alikuwa mnokonoko sana
 
Na haikupita muda jamaa akaachiwa huru ila inaonekana alikuwa mnokonoko sana
Kuna ndugu yangu alipataga kesi ya mauaji akawa maabusu Kwa muda mrefu sanaaa enzi za utawala wa mkapa....

Alikua ananisimulia uongozi wa Gerezani ulikua unawapikia mapumba ya mahindi.....unga unaendwa kuuzwa....

Ikafik siku wakatembelewa na mkubwa wakaulizwa kero zao jamaa akawa kama huyo albino akatoa details nyingi na kuwa mwagia upupu maaskari na uongozi wa Gereza....

Kilicho mtokea baada ya mkubwa kuondoka alipigwa kipigo Cha mbwa mwizi na kuvunjwa mguu kumbe kisirisiri alikua amepewa mawasiliano ya Siri na yule mkubwa yaani aftermath jamaa alianza kutetemekewa na kuishi maisha mazuri sanaaa mpaka akaja kutokaga Gerezani Kwa msamaha wa raisi mkapa....
 
Huyo jamaa alitoka kwa msamaha wa rais Samia pia ukimsikiliza vizuri n kama alieenda kukamilisha mission flan humo gerezani
 
Hii imeendaa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Yule Jiwe alikuwa mpumbavu sana
Yaani hata hakuweza kufikiria kuna walemavu ambao wangeweza kuwa waajiriwa au wanafika hapo kupata huduma, na lifti ndio suluhisho lao kufika ghorofa wanayohitaji kufika.
On a serious note , kwa nchi ambazo ziko serious Jiwe asingewahi kuwa rais .

He was a serious psychiatric case.

Yule magenge ya Msoga na Monduli ndio yalileta ile product .

Mathias Chikawe akakamilisha kazi , ndio maana nikisia suala la vetting kwa viongozi wa bongo huwa nabaki kucheka tu.
 
Hii tabia ya viongozi kuwapa vimada vyeo haikuanzia awamu ya 5.

Kwa kumbukumbu zangu awamu ya 3 mzee wa whiskey za uskochi alikuwa anakatiza mitaa fulani na benz kwenda kwa kimada wake.

Mpaka siku wadau walipomuona kwa bahati mbaya.
 
Mathias chikawe alifanyaje?
 
Mkuu Kennedy jioni hii ndugu yangu tujiandae kurudi makwetu soga zimetosha sasa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ