Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
- Thread starter
-
- #121
Hatari πKatika clip zote ambazo JPM alirekodiwa katika ziara,hii kwangu was the best.Naweza hata kuitizama mara kumi kwa siku na kucheka mno.Ambao hawaikumbuki, Nimewawekea hapa chini.
Machawa na wanafiki ndio walikuwa wanamuogopa ila ukimkazia Kwa lugha zile zile ambazo hakutegemea alikuwa anadhoofika nafasi anakuwa mdogo.Yule Alimtisha Sana Jiwe
Alimwambia Kuanzia Ghorofa Moja Nyumba Ya Serikali Hasa Hospital Lazima Kuwe Na Lift
jiwe Akasema Kwako Kuna Lift Jamaa Akasema Kwangu Siyo Jengo La Umma
Pia Lift Inawekwa Kwa Matakwa Ya Sheria Siyo Mtu Kutaka
Huyo ndio Jiwe mzilankende Intarahamwe kutoka Ufundi π€ͺπ€ͺMwili wake ulipatikana ziwa Victoria baada ya kutafutwa kwa siku 21 akiwa hajulikani alipo
WalimkomeshaH
Huyu mkuda ndio alimchomesha sana hyu mwamba wakuniinua
Maana yye alisisitiza kuwa wamwondoe pale Kwa sababu usalama wa wake utakuwa wa hatihati π
Jiwe nae alikuwa anakwepa shida individuals,Sasa wale wafuasi wake waliodai kwamba alikuwa anatatua shida za watu wako wapi?
Mtera kapewa u das wapi tena mkuu?Na Sasa mama amempa u das tena
Mtendaji mkuu TBA huyo Mr KondoroKuna yule engineer aliulizwa we unaweza kujenga nyumba yako bila lifti,akajibu nyumba yangu sio for public use.
Yule ndio kiboko,alipangua hoja zote Yule mwamba kabisa anastahili pongeziKuna yule engineer aliulizwa we unaweza kujenga nyumba yako bila lifti,akajibu nyumba yangu sio for public use.
Akamwambia hata pale ikulu magogoni ,jengo la annex kuna lift ya ghorofa moja ,yule mwamba alipangua hoja za jiweYule Alimtisha Sana Jiwe
Alimwambia Kuanzia Ghorofa Moja Nyumba Ya Serikali Hasa Hospital Lazima Kuwe Na Lift
jiwe Akasema Kwako Kuna Lift Jamaa Akasema Kwangu Siyo Jengo La Umma
Pia Lift Inawekwa Kwa Matakwa Ya Sheria Siyo Mtu Kutaka
Alisema Mfungwa amemuinuaHuyu mwamba yupo wapi siku hiziView attachment 2846906
π€£π€£π€£Alisema Mfungwa amemuinua
Mtela Mwampamba a.k.a GanziJiwe Alisema Kwa Hasira Kuna Mteule Wangu Hapa Kisarawe Nimempa Kazi
Anachofanya Ni Kutongoza Wake Za Watu, Tumemuonya Ila Haonyeki
Waziri Jafo Nataka Umpangie Kazi Ya Chini Kabisa Huyu Bwana
Mwamba Aliingilia Nyumba Ya Mtu, Kama Ujuavyo Mamlaka Zina Nguvu Sana SanaMtela Mwampamba a.k.a Ganzi
Kwamba hajui kuwa anabishana na jiweπ€£πΉπΉHakuwahi kubishana na Jiwe, yeye alikua anajitetea tu.... Sema hakua akijua kwa mtu wa aina gani.
Jamaa kapiga sana hapaView attachment 2847156
View attachment 2847159
Kalikuwa kanachovya buyu la asali ya wakubwa πππ