Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Mkuu...kuchange ID hakubadilishi majibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....

Sio kwamba nimekuwa mtu mupya..Ni yule yule....Nyoka kavua gamba TU

Anyway...maoni yenu ntayazungatia... Ila kuhusu kununua chopping board mpya..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....
 
Tunauza chopping body za kisasa kabisa,digital chopping body,kwa anaihitaji inbox..
Wallahi sinunui...yaaani ukweli kabisa....

Kwani hiyo.inatoa sumu..
 
Nimesoma mwanzo mwisho...nikarudi tena kucheki picha.... Kwaaani wadau wakosoaji karrot na hoho zinatakiwa kukatwaje? Na vitunguu vya round ndo vinaongeza ladha au vinafanyanye chakula?

Mm huwa nakata karrot,hoho na vitunguu kwa staili ya mtoa mada..wingi au uchache kutegemea na mapishi ya siku.
Nyanya huwa nakwangua.

Mpangilio wangu natumia sahani pana napanga viungo vyangu kimafungu....sipendi kuwa na vyombo vichafu mana mara nyingi napika mida mibovu...baada ya kutoka kazini

Ubao situmii labda mara chache sana kama nakata nyama.....
 
Nilisikia kwenye radio mtangazaji alisema... Ukiweka kitu kwenye mtandao unaweza kiona kidogo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Kumbe waja wa MUngu wanakikuuuza...

Nilijua ntapata Kama comment kumi Hivi.. loooh...Sio kwa kichambo hiki.
 
Kabisa ,mtoa mada hajui kupika kabisa,nyanya inatakiwa isagwe au atumie kile kitude cha kusugua nyanya inakuwa mchuzi kabisa na si mapande mapande,hakuna vitunguu saumu wala tangawizi.
Wewe ni chef wa hotel ipi mkuu? Au unafundisha kilimanjaro institute of technology nini?
 
Nikweli chopping baord yangu imechoka......lakini swala lakunua nyingine HALIPO kabisa..
 
Sema baada ya kutumia na kusafisha mahali utakapo hifadhi sasa...inaweza kukutisha hata ww...
Hii chopping baord imechoka KWELI...but haitishi hata kidogo...naitetea chopping board yangu....Hadi mwisho....
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Haiongezi chochote ila ndio the best.
Mtoa mada nahisi alitaka kuchop namna hii 👇 ila hajawa pro. Sema hii ina kimachine chake, unaingiza kitunguu unabana inatoka hivyo. Inapendezea sana kwenye salad.


Pia kuna chopping za round/ slices zinapendezea kwenye kitunguu na hoho tu. kila mtu na vile amezoea lkn.
 
Huyo Nia yake ilikua nikuonesha ...anavyochop ..kazingatia hata mwaga Kabla ya kupiga picha.... Mimi heading yangu ilikua Ni chopping board...nadhani nisingeonesha hayo mavitunguuu

Kwanini utumie picha ya Google...kwanini usichop Wewe ukatuma....
 
Hakuna chopping board ya kuuza ya namna hiyo
Mkuuu...nimekwambia Ina Miaka zaidi ya kumi...na Nilinunua ..Sasa Kama unalazimisha Basi...Niliokota jalalani ...nikaanza tumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…