Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

Asante kwa elimu.. swali langu katika aina za wanawake uliowaongelea. Kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao katika mahusiano mambo yako yanaenda vizuri na kuanza kufanikiwa.. hawa wanawake ni wa aina gani? Au wana kitu gani ndani mwao?? Cc Mshana Jr
 
Nitakucheki Inbox mkuuu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa elimu.. swali langu katika aina za wanawake uliowaongelea. Kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao katika mahusiano mambo yako yanaenda vizuri na kuanza kufanikiwa.. hawa wanawake ni wa aina gani? Au wana kitu gani ndani mwao?? Cc Mshana Jr

Asante hao nyota zao ni kali sana
 
Huwa sitak pombe inizoee kwakweli naiogopa sana, mama alikuwa akisema kila mara atakaerithi hiyo tabia ya baba yake itakuwa ni mara 3 zaid sasa hii si kama laana,?
Shika neno la mzazi tena likishilie kwa makini sana! Hiyo ni laana na inaweza kuondoka na mtu..kuna mada yake nitaandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kaka[emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…