Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakucheki Inbox mkuuuNB:mimi sio mzuri sana kuandika visa ila enzi zile za mpambano wa barabarani nilishuhudia mengi ya ajabu na ni kisa cha kusisimua siku nikipata mwandishi mzuri au kama Mshana Jr utakuwa tayari nikusimulie ukiandike ili wasioamino waamini ila yote kwa yote HAKUNA LINALOSHINDIKANA KWA MUNGU[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Simulizi zako zimenisisimua sana ...tuwasiliane kwa ajili ya hiyo story nyingine
Asante kwa elimu.. swali langu katika aina za wanawake uliowaongelea. Kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao katika mahusiano mambo yako yanaenda vizuri na kuanza kufanikiwa.. hawa wanawake ni wa aina gani? Au wana kitu gani ndani mwao?? Cc Mshana Jr
Wanakuwa wamerogewa pepo la pombe...HAWAFI
Pombe haina tatizo..shida ni hicho kirogeo na kirogewaNi hatari sana hadi niliiogopa pombe kabisa
Shika neno la mzazi tena likishilie kwa makini sana! Hiyo ni laana na inaweza kuondoka na mtu..kuna mada yake nitaandikaHuwa sitak pombe inizoee kwakweli naiogopa sana, mama alikuwa akisema kila mara atakaerithi hiyo tabia ya baba yake itakuwa ni mara 3 zaid sasa hii si kama laana,?
Shika neno la mzazi tena likishilie kwa makini sana! Hiyo ni laana na inaweza kuondoka na mtu..kuna mada yake nitaandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo lenye mchakato mrefu na sometimes huenda mpaka kwenye ukoo na matambiko
Asante sana kaka[emoji123]Changamoto kubwa ipo kweny kujua chanzo ama asili ya tatizo.. Ni muhimu sana kufahamu msingi wa tatizo na baada ya hapo ndio unaweza sasa kuelekezwa namna ya kutatua
Wengi tunafeli kwakuwa hatutibu chanzo bali matokeo ...na wengi wanadhani matatizo yanafanana hivyo nikitumia njia fulani mwingine naye anadhani akitumia njia hiyo atafanikiwa
.
Pata chanzo ama asili ya tatizo mengine yote ni mepesi
Kama kawa masofa mpyaMagindu chalinze?
Nimeshapiga mitoto miwili hapa kwa masai natafuta ka kulala nako kesho nitimue[emoji3][emoji3]kwa masai? Au jirani yake? Loh nimemiss hayo maeneo