Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

🤣🤣🤣 Israel kaweka ukungu, acheni kuwatukuza hao mashoga hawana uwezo hata wakujilinda wenyewe wanamtegemea basha wao Amerika.
 
Hakuna mkono wa Israel hapo! Huko ni kuisingizia bure!
Ajali iliyotokea kulingana na ilivyoripotiwa na media mbali mbali za kimataifa ni ajali ya kawaida tu!
Ni kweli ni ajali ya kawaida tu, helcopter tatu zinafuatana ila "moja tu" tena "iliyombeba rais" ndio inaangushwa na ukungu huku nyingine zikichanja mbuga freeesh, na mpaka mda huu bado haijaonekana. Ni AJALI YA KAWAIDA TU.
 
"Kila nafsi itaonja mauti. Na hakika mtalipwa kikamilifu ujira wenu Siku ya Kiyama. Na atakayeepushwa na Moto na kuingizwa Peponi, basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu."

Aya hii inasisitiza ukweli kwamba kifo ni sehemu isiyoepukika ya maisha na kwamba malipo ya kweli ya matendo yetu yatapatikana Siku ya Kiyama. Inahimiza pia umuhimu wa kutafuta mafanikio ya kweli ambayo ni kuokolewa na Moto na kuingizwa Peponi.
 
Nimesoma historia yake, kwa kweli inatisha. Sikujua kama alikuwa mtu katili wa kiwango cha juu kiasi hicho dhidi ya wananchi wake.

Kuna wakati Mungu hutenda kwaajili ya kuwaokoa watu ambao kama kiongozi angeendelea kuishi, wangeteketea wengi. Huyu bwana alikuwa ni mkono wa chuma ambao haukuthamini uhai wa Wairan wengine, hasa wenye kuthubutu kumkosoa. Maandamano ya akina mama yalishuhudia mauaji ya watu zaidi ya 500. Lakini pia kabla yake alitoa idhini ya mauaji ya wafungwa zaidi ya 5,000 na majaji 6!! Leo naye amewafuata aliowatanguliza.

Uwe kiongozi, uwe tajiri, uwe msomi au maarufu kiasi gani, juu yako kuna mamlaka iliyo juu zaidi kuliko kiumbe chochote. Yawezekana kuna watu wenye ujuzi na uwezo mkubwa, walimtafuta, lakini wote walishindwa. Ila kwenye muda ulio sahihi, Mungu ametimiza mapenzi yake kwa namna aliyoitaka.
 
Historia imesoma kwa wakiristo? utadhani wakiristo wataandika historia nzuri?
 
mambo ya ki intelligencia ni magumu mzee!! kwasababu hutumia akili nyingi hivo hujulikana had muda mrefu kupita
 
Kila kitu kinawezekana tu mkuu. Vipi kama Mossad waliingilia mawasiliano ya hilo chopa kisha wakalielekeza kwenye ukungu. Vita ni plan mzee
 
Iko hivi Israil bila kujali dhambi za Raia wake ,Iko Hadi ya Mungu kwa Abraham aka Ibrahim ya kwamba ni Taifa teule na Israil ndipo Mungu huonyesha Dunia uweza wake kupitia hao ,kifupi Israil ni exhibition room ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…