Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

Ndege moja tu tena ya Rais ndo iathirike na ukungu zingine mbili za raia zipete.Shughulisha ubongo!
Dah! Vp? hadi dk hii bado Iran hawajaweza hata kidogo kutoa fununu za kisababishi chenye mashiko kilichopelekea hadi chopa pekee lililombeba mvaa kobazi liathirike ilhali wenzake hawakudhurika?
 
Ndege moja tu tena ya Rais ndo iathirike na ukungu zingine mbili za raia zipete.Shughulisha ubongo!
Umesoma vizuri lakini? Nimesema kwenye scene kunaonekana ukungu,kuhusu nini kipo nyuma ya hii issue report zote zinasema bad weather

Fine,nambie wewe najua ubongo wako umepata kitu kutokana hili tukio nambie nini chanzo cha hii ajali(Don't ask about other two helicopters,I made it clear man. I wasn't on the scene and all I did previously was to tell what media tell about the event)

Hakuna sehemu yoyote nimetoa hitimisho kwamba ni bad weather ndio iko dedicated kwenye hii event nachokikataa wakati wote ni mtu kujaribu kupika story then ukimuliza nipe mpangilio mzuri wa matukio mpaka umefika hapo hakuna jibu anakupa
 
Mkumbuke, Iran ndiyo Taifa pekee lenye Full Islamic Theocratic Govt. Matukio yajayo Serikali kama hiyo haitatoa ushirikiano. An eye is still on Putin with his war on Ukraine
Hivi hii vita haiishi tu!
 
Mkuu;
1. Ni kweli Israel waliahidi kulipiza kisasi. Lakini ww unaamini kwamba kwakuwa Israel aliahidi (Alitoa ahadi),basi haiwezekani tena ikatokea ajali yoyote isiyohusika na ahadi hiyo au tukio lingine la maafa? Kwani ahadi ya Israeli ndo imeweka zuio/katazo la ajali za kawaida kutokea?
2. Kwamba eti ni kweli au sio kweli majasusi wa Israeli wameingilia mawasiliano ya anga ya Iran - Tusubiri Taarifa za Uchunguzi wa Kitaalam. Ukituuliza sisi ni kama Unatuonea tu. Hatujui.
3. Kesho ya Iran kwenye mapambano wanaijua Wairan wenyewe na Ayatola wao. HAITUHUSU.
 
Pale Syria Wairan wapo kwa ajili ya kuidhoofisha Israel.. ndio maana Idf inawatandika kila mara
Israel imepora mpaka Golan Heights kutoka Syria mnaona ni sawa, kingine Israel haotaki Syria itawalike ndio maana kila siku wanashambulia mabomu Syria maana wanajua Syria Imara ndio kaburi la wayahudi.

Hata ISIS ilikua partly funded na Israel ili kumdhoofisha Al Assad ila pona yake alipata support ya Putin otherwise wayahudi wangempora nchi nzima.

Hawa wayahudi ni kansa, siku USA atakapojitoa kumsaidia ndio mwisho wa Israel.
 
Mkuu unajua 20% ya Raia wa Israel ni waislam? Nao ni taifa teule?
 
Hizi nazo ni ndoto kama ndoto zingine.
Kumbuka/Zingatia Israeli hapigani kwa lengo la kuonesha Umwamba bali Israeli anapambana ili aweze kuendelea kuwepo hapa kwenye uso wa dunia.Yan Israeli anajua fika kwamba siku ikatokea akazubaa hata walau kwa nukta moja tuu, basi, habari yake itakuwa ni imeisha. So, Israel is fighting for his SURVIVAL. Ni tofauti kabisa na Nchi za Kiarabu ambazo zinapigana ili Kuoneshana Umwamba-Nani zaidi. Haya mapigano(Vita)Ni kama shilingi moja lakini ina pande mbili kila mhusika ana mtizamo wake. Nchi za kiarabu zinaona kama zinadhulumiwa (Oppressed) lakini Myahudi anaona lazima ajiwekee mkakati mahsusi (Strategic plans) ili aweze kuendelea kuwepo hapa duniani.
 
Mkuu unajua 20% ya Raia wa Israel ni waislam? Nao ni taifa teule?
Kwa sababu za msingi kabisa kutoka biblia, sitaki kujihusisha na hoja hiyo endapo Israel ni Taifa Teule la Mungu. Hoja zangu ziko kwenye uislam ambao ni Dini ya Shetani. Dini nyingine zote anachofanya shetani ni kuwahadaa wafikiri wanamuabudu Mungu wa kweli kumbe siyo. Lakini Dini hizo nyingine Budha, Hindu, Judaism pamoja na baadhi ya madhehebu ya kikiristo hazijaanzishwa na shetani; islam ndiyo pekee imeanzishwa na shetani
 
Hivi hii vita haiishi tu!
Biblia inasema at the peak of the wars, Gafla muafaka fulani utafikiwa na UN, na hapo watatangaza AMANI, amani hiyo ni ya muda tu na ndipo madini ya Uongo kama uislam na baadhi ya nyingine zitapigwa marufuku. Kwa sasa kama vile hatujafikia peak! Kuna vita mfano inafukuta kati ya China na Taiwan, keep your ear on that
 
So, Israel is fighting for his SURVIVAL.
Vipi Palestina hawa fight for survival? Au Israel ndio ana haki ya kusurvive kuliko Palestine?
Nchi za kiarabu zinaona kama zinadhulumiwa (Oppressed)
Which is true, mfano West Bank hawana Hamas ila Israel inawapora ardhi kila siku na kuwaua, cha ajabu siku wakija kutaka lipiza kisasi utasikia eti ISRAEL INAJILINDA?

Is it fair?
 
Chokoza wote usichokoze Israel....utajuta
 
Mrejesho na ushahidi
 
1. Naam. Palestina hawa fight for survival wao wenyewe wanasema wanaikomboa ardhi yao iliyoporwa na Waisrael.
2. Hoja ya West Bank ni kwamba Israel anasogeza mipaka "anapanua wigo" kwa kutumia mabavu kwa lengo la kujihakikishia usalama zaidi. Lakini Hili sio jambo jema kwani linaongeza na kukuza uhasama miongoni mwao.
BTW: Inafaa wahusika hao wangelikaa meza ya majadiliano na kuona ni kwa namna gani suluhisho au suluhu itakayoridhisha pande zote inaweza kupatikana. Lakini hii ya kutunishiana misuli sio njema kabisa.
 
Na ww ujiulizi kati ya helkopta 3,ilombeba raisi ndo Pekee ilokumbana na Hali ya ukungu,acha ujuhaji , seasoning capacity yako ni mdogo sana
 
Hoja zangu ziko kwenye uislam ambao ni Dini ya Shetani
Vipi uyahudi ni dini ya nani? Kwa wakristo Dini inayopinga kuwa Yesu sio Mungu sio ya shetani kweli?
sababu za msingi kabisa kutoka biblia
Biblia gani? Nachojua Biblia inatambua wafuasi wote wa Yesu kama taifa teule?
islam ndiyo pekee imeanzishwa na shetani
Kwamba Budha sio ya shetani ila uislam pekee ni wa shetani? Nimeshajua una chuki tu za dini.
Gafla muafaka fulani utafikiwa na UN, na hapo watatangaza AMANI, amani hiyo ni ya muda tu na ndipo madini ya Uongo kama uislam na baadhi ya nyingine zitapigwa marufuku
Biblia gani inasema haya? Unaweza nipa sura au mstari unaodai haya?
 
Japo ni ajali,ila kwa kiongozi mkubwa wa nchi kutumia ndege iliyotengenezwa miaka zaidi ya 40 huko,pia nalo linafikirisha kwa Taifa kama Iran.......tena ndege ya mtu wanayemuona adui yao......na spea akawanyima
 
Hili nalo neno! Haijawahi tokea Iran kuigusa Israel sasa huyu bwana kaamua kujilipua na yeye kaondolewa na Mungu wa Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…