Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #181
Mkiwa wapi hapo Medical Store au pharmacy kama pharmacy..Sisi wagawa dawa pharmacy tushazoea kuwa chakula cha mbu na kukakaa ni mikoti mikubwa kujikinga na viyoyozi...
Mkuu naaacha yaani hii si utani mkuu wangu naacha naach kabisa tena bila kulazimishwa naaacha mkuuHuyo jamaa fundi anayekunywa.tatu asubuhi ni kijana kabisa wa miaka 35 na hana hata miaka 7 ya kuzinywa.
Ila pia nadhani kuongezeka kwa shida za moyo na figo kwa vijana wengi wa 40s nadhani ipo namna energe drinks zinahusika maana vijana wengi wanazitumia kuchanganya na pombe kali.
Na hapo energe drinks zinajumlisha hadi hizi za kwenye vi can kama redbull na monster.
Mkuu jitahidi tu uziache maana afya ndio kila kitu kiongozi.
OK ππ½π€πΏMkuu mkuu mbona kama upo seriously kabisa kunishauri about that things...
Mkuu japo nafanya tuu ila kuna umri ukifika tatafuta one ambaye ta spend nae life mazima ila kwa sasa acha nikomae na hawa watu maana wamefanya mambo mengi makubwa kwangu mkuu
Nimeona kopo la X TRA Tanzania hapoVishu Mtata acha kulewa ππππ
Mchana na lala si chini ya masaa6 halafu usiku unakuwa busy na kazi. Achna na energy kwa kazi hizi. ni mazoea tu hata hapa wengi huwa wanakuja nazo hasa Red blu kung fu nkUtakuja kufa vibaya wewe na mke wako wahuni tukamuwoa...
Sasa mkuu huwa unatumia nn ili ku balance huo usingizi mkuu
Pamoja kakaMkuu naaacha yaani hii si utani mkuu wangu naacha naach kabisa tena bila kulazimishwa naaacha mkuu
Mimi nilikuwa napiga za 119 na hotline za usiku kuanzia saa 12 hadi saa 10 ila siku hizi nimepunguza.Prondo kashavurugwa sasa hv wee jiweke barabarani hvyo uwone
Mkuu kumbe ishu hapo ni caffeine..Badala ya energy drink,kunywa kahawa bila sukari,chemical compound ya energy drink itakuuza zaidi kuliko kahawa,kuna flavour nyingi ambazo ni chemicals kuliko kwenye kahawa,kitu kilochosawa ni caffeine only ila energy drink wanaongeza na madawa ambayo baadae yatakuletea cancer.
Kua na kahawa na maziwa plus bites zakutafuna km korosho or karanga.
Shukran mkuu kwa ushauri wako maana mi kwangu energy nilikua nasema ni mystery tuuPamoja kaka
Duuuh nyie mlikua miamba mjue...Mimi nilikuwa napiga za 119 na hotline za usiku kuanzia saa 12 hadi saa 10 ila siku hizi nimepunguza.
Ilikuwa kila siku kuanzia jumatatu hadi ijumaa, ukipiga na jumapili unapewa bonus. Siku hizi naweza maliza hata miezi 3 sijafanya.
ππππππ Ndiwooo ndiooo mkuu hatar hatarrr sanaNimeona kopo la X TRA Tanzania hapo
Tatizo la Google Pixel battery majanga sinunui tena Google Pixel mpaka wakizindua simu yenye battery 6000 mhA
Anza kubalance kunywa maji usiku na usingizi kiasi mchana, utajikuta unakesha bila matatizo kiongozi.Shukran mkuu kwa ushauri wako maana mi kwangu energy nilikua nasema ni mystery tuu
Asante mkuu ngoja nichukue hatua sasa maana mlikua mnanipoteza kijana wenu aiseeeMchana na lala si chini ya masaa6 halafu usiku unakuwa busy na kazi. Achna na energy kwa kazi hizi. ni mazoea tu hata hapa wengi huwa wanakuja nazo hasa Red blu kung fu nk
Siku ambayo nitalala na kazi sijamaliza ahahahhaha ntakutafuta mkuu πππAnza kubalance kunywa maji usiku na usingizi kiasi mchana, utajikuta unakesha bila matatizo kiongozi.
Tunaishi nazo kibishi tuu mkuu....Tatizo la Google Pixel battery majanga sinunui tena Google Pixel mpaka wakizindua simu yenye battery 6000 mhA
Energy haifai kuitumia kila siku. Sema usiku ni usiku tu bila kuwa na kazi utalala tu hivyo lazima ujiweke busy ama story na wanaAsante mkuu ngoja nichukue hatua sasa maana mlikua mnanipoteza kijana wenu aiseee
πcc Joanah Poor BrainHizo kazi ni zipi na sisi tuzifanye ili tupunguze muda wa kuota ndoto mbaya usiku
Wana hakuna an hii ni man alone Bora hata ningekua na duu anae ni sapport lakini hakuna an man alone zaid ni jf tuuEnergy haifai kuitumia kila siku. Sema usiku ni usiku tu bila kuwa na kazi utalala tu hivyo lazima ujiweke busy ama story na wana